Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeweka kwenye friji yangu chupa tatu za maji kutoka kampuni tatu tofauti za Hill water, Kilimanjaro na Uhai Baada ya muda nimefungua tena friji na kukuta maji ya...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Salaam wakuu. Wahenga walisema Tahadhali ni bora kabla ya hatari, na umakini unalipa kuliko uzembe, na akili ni njema kuliko ujinga, na utoshelevu ni bora kuliko kupungukiwa. Mpendwa kama...
10 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii ndo aina ya asilimia kubwa ya viongozi wetu. Chalamila ni mfano mmojawapo kati ya wengi sana. Hajaanza leo kuwa anazungumza kilevi namna hiyo. But anapewa Mkoa aongoze. Nikakumbuka miaka ya...
2 Reactions
2 Replies
388 Views
Mimi ni Mwanafunzi ninayeendelea na masomo katika Chuo Kuu Huria cha Tanzania (OUT) maarufu kwa jina la Open University ambacho makao makuu yake yapo Kinondoni Dar es Salaam ni kwa muda sasa...
0 Reactions
4 Replies
733 Views
Ikiwa kesho Januari 28, 2025 ni Siku ya Faragha ya Taarifa Duniani (Data Privacy Day), JamiiForums kwa kushirikiana na Lawyers Hub wameandaa Mjadala wa Sera za Akili Mnemba. Tanzania na Afrika...
3 Reactions
1 Replies
526 Views
Habari wadau, Uchunguzi wangu kwa wanaonizunguka nimegundua graduates wengi wanapenda sana kushinda ndani na kutazama movies kutwa nzima. Wakichoka movies wanahamia kuperuzi instagram na tik...
8 Reactions
22 Replies
982 Views
Wadau, Nimeona akina Kitenge wakitangaza fursa ya mikopo kwa kampuni ya mitandao ya Tala. Napenda kujua kwa yeyote aliyewahi kuchukua mkopo Tala uzoefu wake ukoje, hasa kuhusu: 1. Kiwango...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndugu Faris Buruhani, ameongoza BONANZA la mpira wa miguu kati ya timu za mashabiki wa Simba na mashabiki wa Yanga iliyochezwa katika uwanja wa shule ya Msingi...
0 Reactions
2 Replies
304 Views
Ni kwenye madhabahu moja maarufu na kubwa Sana jijini Dar es salaam. Apostle akasema " Kama Wewe ni mzazi unasomesha shule ya Ems na mpaka Sasa mtoto wako bado yupo nyumbani Kwa sababu una daiwa...
25 Reactions
99 Replies
3K Views
Naombeni Ushahuri, Nina mdogo wangu kapata fursa ya Kusomea Locomotive Driver (Dereva wa Treni) uko Tazara ambapo wataenda somea Huko Zambia kwa muda wa miaka Miwili cheti kilichotumika ni cha...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Wadau hamjamboni nyote? Huu ni ushauri wa kiroho na kumbusho la msingi kwa Wasabato ulimwenguni kote kuzingatia majukumu na maelekezo ya msingi ya Bwana wetu Yesu Kristo. Nimezingatia...
2 Reactions
5 Replies
361 Views
Nimeshangaa sana kuna hadi iphone za laki moja na sabini. Bora zingepigwa marufuku Tanzania. Pia soma: Huu utitiri wa iPhone 13 copy zinazouzwa laki 3 Dar zinatoka wapi? Zingetolewa simu za...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Nianze kwa shukrani , nimshukuru Rabuka, Yeye ni mwenye auni, tena mwingi wa baraka, Nguvuze zapita kani, haziwezi elezeka, HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIZA. Mengi alikujalia , wete...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Watu wanaojiita watumishi wa Mungu walio wengi kwa sasa sio wa kuwaamini asilimia 100 Hata kama mtu anajua kufundisha na anaonekana kama ana Nguvu za Mungu sana usiwe mwepesi kuamini hadi pale...
1 Reactions
2 Replies
316 Views
Nilimuuliza rafiki yangu ambaye amevuka miaka 70 na sasa anakwenda kuelekea miaka 80, ni mabadiliko gani amehisi ndani yake? Alinitumia yafuatayo: 1. Baada ya kuwapenda wazazi wangu, ndugu zangu...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
1. Nilikuwa maeneo ya parking ya Magari pale kitengo cha mifupa MOI mwaka 2014, nikiwa ninamsubiria mgonjwa ndugu yangu, jamaa alikuwa ofisini kwake, akaja akakagua kama mlango wa gari lake...
46 Reactions
126 Replies
6K Views
Nilijua wageni wanapokuja ni fursa kwa wenyeji, nilidhani watanzania watafundishwa namna nzuri ya kufanya biashara zao na kunufaika na wageni wanapokuja badala yake sisi hatujui kujiweka smart na...
22 Reactions
72 Replies
2K Views
Uwezo tunao ingawa sina uhakika kama tuna Nia.., Nilishasema kitambo kwa Kutumia Tanesco tuna uwezo wa kufanya mwananchi akatumia Umeme kwa bei ndogo (mfano kupikia kwa gharama ya chini ya Tshs...
0 Reactions
3 Replies
460 Views
Lucas Mwashambwa una la kusema mkuu?😁😁😁😁
30 Reactions
64 Replies
4K Views
Back
Top Bottom