Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

What do you usually put in your handbag? Cosmetics, money, keys and what else? Any woman can easily fit in a tiny bag of almost the whole wardrobe. Handbag is still women affairs! If only you knew...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
UKIMWI upo ndugu zangu, nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa. Tuwe makini na wadada.
58 Reactions
483 Replies
28K Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe.Daniel Chongolo, amepongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Momba iliyopo katika Kata ya Chitete, akibainisha kuwa licha ya kasoro ndogo zilizojitokeza...
0 Reactions
2 Replies
355 Views
In a case that has captured national attention, the arbitration dispute between Oryx Energies and Oilcom Tanzania has raised profound questions about business integrity, arbitration practices, and...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi kwa jua hili, mbuzi au ng'ombe anafungwa juani kuanzia asubuhi hadi jioni. Hii sio sawa kabisa, kama mtu hawezi mkatia majani basi aende akachunge. Unakuta mnyama anahema mpaka unamuonea...
6 Reactions
19 Replies
826 Views
Habarini za wakati wakuu. Nashindwa kujua namna ya kufanya kupandisha humu jamii forums video za mitandao mingine hasa youtube naombeni mnipe njia. Amani ya bwana iwe nanyi. mshamba_hachekwi...
3 Reactions
65 Replies
2K Views
Januari 28, 2025 imekuwa ni siku ya pili ya utekelezaji wa mradi wetu wa Afya ya Akili mashuleni, mradi ambao unalenga kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu afya ya akili kwa wanafunzi na walimu hapa...
1 Reactions
3 Replies
468 Views
Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu watakuonaje? Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha? Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio...
28 Reactions
45 Replies
2K Views
Town Kuna joto ndani ya muda mfupi unaweza jikuta umekata hata 2 litres kimbembe kinakuwa unapokuwa kwenye mazingira ambayo hayana access ya restroom kama Bank. Je na wenzetu huko Ulaya bank zao...
2 Reactions
7 Replies
654 Views
Akili ya mwafrika ninaijua vizuri utafikiri Mimi ndio nimewaumba waafrika. Waafrika watasema: " Ooh! GeorDavie anachukua nyota za watu anao wasaidia ndio maana kila akiwapa magari wanapotea...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Shahidi wa 16 katika kesi ya mauaji inayomkabili Miriam Mrita, mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara tajiri maarufu wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Gari la Polisi lililodaiwa kutumiwa na washtakiwa wa kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis kwenda katika kituo cha Polisi Mitengo Mtwara na kisha kuondoka na mtu aliyebebwa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakati ambao zimekuwa zikiripotiwa taarifa za uwepo wa ugonjwa wa kipindupindu katika maeneo mbalimbali nchini lakini inashangaza bado inashuhudiwa uwepo wa masuala ambayo yanaweza kuchangia na...
0 Reactions
1 Replies
590 Views
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010...
10 Reactions
77 Replies
6K Views
Tumezeeka kwenye vita Tumezaa Watoto kwenye vita Maisha yetu ni tabu tupu Kila siku kutanga Tanga Hatuogopi kifo Kwa sababu bila Nchi hakuna maisha...
0 Reactions
2 Replies
503 Views
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa na mpendwa wako Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa kama motisha wa kufanya vizuri zaidi Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa...
13 Reactions
64 Replies
3K Views
Vijana Wapiga Kambi viunga Vya Uwanja wa ndege wakisubiri kuwasili Kwa Rais wa Burkina Faso Captain Ibrahim Traore Vijana hao wanadai kumpungia tu mkono Captain Ibrahim Traore ni Baraka kubwa...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Sasa mm nimeamuaa kuja na wife wangu nyumbani kama nilivyosema awali nina mke mkenya sasa nataka nije nae home jee nitatakiwa kufuata taratibu gani ni mjamzito tayar
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Back
Top Bottom