Wana jamvi ni kwema? huku leo kuna baridi sana na kwa sababu hii kilimo cha watoto hakina mbadala.
Leo hii watu tumekuwa wabaguzi sana tofauti na kipindi cha nyuma utu ulikuwa sehemu ya maisha...
Mods tafadhali msifute huu uzi wangu hili kuwapa funzo watumishi wa umma wapya wanaongia kwenye utumishi wa umma kwa lengo la kujitajirisha kuliko kuwahudumia wananchi
Mie ni mtumishi wa umma...
Yule aliyesema ajira ni uti wa mgongo aisee hakukosea hata kidogo na kiukweli kilimo nitakiheshimu na nitazidi kukiheshimu kusema za ukweli ukubali au ukatae
Baaada ya kuachana na ajira niliingia...
Uchaguzi Mkuu unakaribia. Huu ndio wakati watu wanamwomba Mungu maisha marefu,afya njema na pia wawe diwani au wapate cheo chochote.
Wengine wanaenda kwa waganga.
Hakuna kitu nakiogopa (nina hofu nacho) duniani kushinda radi.
Radi zinapopiga huwa nakosa amani kabisa.
Tena zikigonga zile kubwa zaidi wakati nipo homu huwa nafunga milango na madirisha naingia...
Unageuka kichaa ama chizi anayejua anavaa nguo nzuri
Na kwenda kwenye jengo fulani kukutana na wenzake.
YAANI paka anaweza pita nyumbani kwako,kisha akakutizama wewe
Kwa kukukodolea macho tu...
📖Mhadhara (56)✍️
Unaishi miaka 70 mpaka unakufa hujawahi hata kuzunguka maeneo yaliyopo ndani ya nchi yako (Tanzania) ambayo yataifurahisha akili yako. Si kwamba huna hela, bali unaendekeza sana...
Wakubwa heshima kwenu!
Ninaomba mwenye kujua gharama za kufanya utalii wa ndani katika mbuga zilizopo Arusha ikiwemo ada ya viingilio pamoja na gharama za kukodi gari!!
Mbuga zenyewe ni pamoja na...
ITANIGHARIMU KIASI GANI KUTALII KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI?
Napenda kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi kwa wale wanaotamani kwenda kutalii lakini hawajui itawagharimu shilingi ngapi...
Burigi ni moja kati ya Hifadhi tano zilizopo Mkoani Kagera ambazo ni Biharamulo, Burigi, Kimisi, Ibanda na Rumanyika yaliyotangazwa hivi Karibuni kuwa hifadhi za Taifa ambapo mapori hayo yalikuwa...
Wataalamu naombeni msaada Kumbe nilifuta barua ya muhimu sana.
Sina utaalamu sana kwenye simu. Vitu ninavyodelete sijui hata vinaenda wapi?
Barua inahitajika sasa halafu haipo kwenye simu...
Katika reform ya elimu yetu ambayo inakwenda kuanza soon wasisahau kuweka somo la bodaboda huko sekondari.
Bodaboda ni nyanja iliyoajiri vijana zaidi ya milioni 1. Ndio sekta iliyobeba vijana...
Kuna jambo ambalo nimekutana nalo nikiwa likizo huku Mkoa wa Songwe, Wilaya ya Mbozi, kuna baadhi ya Shule za Msingi, Walimu wanamiliki mashamba na kuwafanyisha kazi Wanafunzi.
Nimezungumza na...
Kwa hatua hii je? Niendelee kujifunza au nitakuwa napoteza tu muda wangu?
Nia ninayo.
Asante sana kwa mdau mmoja aliyenipa hii njia naamini nitatonoa kwa kiasi chake.
Habari wakuu.
Katika huu mchezo wa Maisha Kuna mambo mengi sana Sisi wanaume tunapitia.
Sometimes unaenda kutafuta unarudi na kitu kidogo mfukoni kufika home watoto wanakukimbilia Kwa shangwe...
Walihisi anachekesha katika hoja zake na michango yake bungeni lakini, alikuwa anaona huruma kwa vijana wa taifa hili kuhitimu vyuo na kupewa makaratasi ambayo kwa ujumla na ulimwengu wa sasa...
Kuna kipindi walitangaza kwamba tozo kwenye miamala ya simu zimeondolewa.
Pia nakumbuka mchanganuo wa matumizi ya hizo tozo ulitolewa ikiwemo ujenzi wa vituo vya afya, barabara nk...
Nataka nitoe barua nikaoe sasa niachane na huyu anaenitesa bila taarifa nataka ashangae tu nmeoa mke mwngine Ili ajifunze zaid kwamba mwanaume ni mwanaume usishindane nae
Kwahyo natarajia sample...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.