Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtandao wa Instagram IG kwa sasa michango imekuwa mingi sana na muhitikio wake sio mbaya ni mzuri tu. Je hakuna Hali hasi inayojificha nyuma ya hiyo michango? Watu kujinufaisha binafsi
1 Reactions
0 Replies
52 Views
Najua ni wazi hujui ni ipi, na inaweza ikatokea umeipiga tu katika mazingira fulani yasiyo na matayarisho yoyote. Lakini niamini ni mojawapo kati ya picha zako ndio itakayotumika kuwekwa juu ya...
18 Reactions
129 Replies
17K Views
• Wananchi Wahimizwa Kutumia Mfumo wa Kidijiti wa E-Ardhi Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imewataka wananchi kutumia mfumo wa kidijitali wa E-Ardhi ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
DAR ES SALAAM Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa ushiriki wa wadau katika maendeleo ya makazi, kwa kuzingatia sera, sheria na mipango ya kitaifa. Hayo yameelezwa leo tarehe 30 Sept...
0 Reactions
0 Replies
53 Views
TABORA Kliniki ya Ardhi Kidijiti inayoendelea mkoani Tabora imefanikisha utatuzi wa mgogoro wa ardhi uliodumu kwa muda mrefu kati ya familia ya Bi. Osiana Ahadi Shauri na familia ya Saidi...
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha maeneo ya wazi yanalindwa kwa kuwekewa alama za kudumu na mabango...
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Unapata fedha unatesa watu ? Je wajua hizo mali unaweza usizifaidi hata kidogo? Penda wenzako saidia wasiojiweza
1 Reactions
4 Replies
55 Views
Gharama za kusafirisha dhahabu kilo moja (1 KG) kutoka Tanzania kwenda Dubai hazina kiwango kimoja cha usafiri (flat rate), bali zinajumuisha kodi na tozo za serikali (Tanzania) pamoja na gharama...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Mkurugenzi Msaidizi wa Urasimishaji Makazi, Bw. Nicholaus Mwakasege, na Msajili Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Rukwa, Bw. Ng’umbunela Langalanga, wakitoa elimu kwa wananchi kupitia Vos FM ,90.1 FM...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Anonymous
Katika hali ya kusikitisha, chuo hiki kikubwa nchini Tanzania na Afrika Mashariki, chenye majengo makubwa na mazuri, kinakabiliwa na changamoto ya ukarabati na usafi. Baadhi ya maeneo, hususan...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Anonymous
Kitambulisho cha kazi ni muhimu sana, hasa kwa mtumishi wa umma. Inashangaza kuona mtumishi wa taasisi za uhifadhi kama TANAPA, TAWA, TFS au Mamlaka ya Ngorongoro akifanya kazi kwa zaidi ya miaka...
0 Reactions
0 Replies
40 Views
Katika hali ambayo inaonesha kuweza kuja kulitetemesha taifa kupita kiasi mtu anayejiita "Daudi Balali" ameanza kuzungumza kupitia mtandao wa Twitter akijaribu kuwaamsha Watanzania kuwa taarifa za...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
wana jamvi tuna wakaribisha ndugu na marafiki wote wa dr daud balali alie kua gavana wa tanzania alie fia marekani,tuna andaa sherehe za kumbu kumbu yake zitakazo fanyika kijijini kwao,tarehe...
2 Reactions
125 Replies
28K Views
Katika mjadala kuhusu uwepo wa mungu haya ndio maswali matano ya hovyo sana ambayo huulizwa na waamini wengi kwa bashasha kubwa lakini uhalisia yanadhihirisha IQ ndogo tu za waulizaji 1. Kama...
1 Reactions
1 Replies
65 Views
Mbona sanaa yenyewe wanayofanya na brand deals sio ya vipato vya kushtua. Anyway, ngoja nimalizie kufua soksi za shemeji alafu nije nisome comments
13 Reactions
82 Replies
1K Views
Katika jamii ya kabila la Banyankole nchini Uganda, zipo mila na desturi za kipekee zinazohusu maandalizi ya harusi na ndoa. Miongoni mwa mila zinazovutia na kuzua mjadala ni jukumu la shangazi wa...
9 Reactions
40 Replies
706 Views
Ni historia ya kweli au hadithi tu yenye mafunzo ya kimaadili? https://youtu.be/sEqMdsyfzCQ?si=OKG3k_3yVj4rysUM
0 Reactions
2 Replies
48 Views
Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token. Shirika la umeme Tanzania Tanesco wako kwenye mchakato wa kuleta mfumo wa kisasa wa watu kuweza kununua...
4 Reactions
56 Replies
2K Views
Chini ya Mkataba wa Montreal (Montreal Convention), mashirika ya ndege yana wajibu wa kisheria kuwajibika kwa mizigo iliyopotea, kuharibika au kuchelewa. Begi kutofika kwenye mkanda wa...
9 Reactions
9 Replies
163 Views
Pesa mtaani zipo bwelele , vijana wadogo kabisa wana miliki ndinga kali . Yale mambo ya vyuma vimekaza kama kipindi cha magu siku hizi huwezi kuyasikia .Watu hawalalamiki pesa mtaani hakuna au...
7 Reactions
5 Replies
164 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…