Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kijana wangu kafikisha miaka 18 na smartphone juu. Naomba orodha ya mitandao ya kujenga ambayo isipite siku mwenye maono hajapita. Binafs huwa nikipekua JF huwa najiaminisha nimejua yanayojiri...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Huu ni uchunguzi wangu binafsi. Ni kabila kubwa kabisa kusini yote na hata maneno ya kimakonde utayakuta kwenye lugha zao bila wenyewe kujua kuwa ni maneno ya kimakonde. Mfano, kule Kilwa yule...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Mwanaume anayejulikana kwa jina Peter Mayala (45) mkazi wa Kijiji cha Mwamagunguli, Manispaa ya Shinyanga, amejiua kwa kujinyonga ndani ya chumba chake cha kulala baada ya kujaribu kumuua mtoto...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Sema unavyotaka kuhusu Afrika – ardhi yenye rutuba, mandhari ya kuvutia, na utajiri wa rasilimali. Lakini angalia tunachoifanya! Tuna vipenzi wa mataifa ya kigeni, viongozi wasio na dira, na...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Baada ya takriban miezi miwili, kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili wamiliki watatu wa jengo lililoporomoka mtaa wa Mchikichi na Congo, eneo la Kariakoo, itatajwa Leo Januari 13, 2025 katika...
0 Reactions
2 Replies
483 Views
Je mwafrika ni kizazi cha nani? Mtu anaechukiwa na kudharauliwa na kila aina ya mtu hapa duniani. Mtu aliekuwa mtumwa wa kila aina ya mtu duniani. Au sisi ni nzao ya Ham?, mwana alieona uchi wa...
5 Reactions
87 Replies
3K Views
Kilimo ndiyo sekta muhimu sana katika uchumi wa Tanzania na asilimia zaidi ya 75 wanajishughulisha na kilimo. Muda wote tunategemea mvua za msimu katika kilimo chetu na mvua zenyewe zimekuwa...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
The goal haswa ni kukujenga katika upya maana utoto unafanania na una respresent mwanzo. Jiulize huyu dogo naemuona hapa angefanya unyama huu naotaka kufanya? Jiulize hivi huyu dogo namtendea...
2 Reactions
2 Replies
318 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeanzisha miradi ya majaribio (pilot projects) kwa ajili ya matumizi ya teknolojia mpya katika ujenzi wa barabara ikiwemo Armarseal. Teknolojia hii...
1 Reactions
1 Replies
604 Views
Wakuu, Babu yangu ambaye ni kaka yake marehem bibi ni mwanajeshi mstaafu na mkurugenzi mtendaji ktk kampuni moja wapo ya uchimbaji madini huko Ushirombo mkoani Geita. Nilipomaliza shule...
2 Reactions
7 Replies
606 Views
Habari za wakati huu, Waswahili husema penye wengi pana mengi. Naombeni mnisaidie katika hili ndugu zangu, Hapa nilipo sina kazi wala hata mtaji wa kufanya chochote sina, napambana lakini naona...
4 Reactions
11 Replies
779 Views
Huwezi ukaamini lakini huu ndiyo ukweli, maisha ni safari ndefu! Hawa ndiyo wanawake wa nguvu.
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu habari. Nimekuwa nafatilia Sana kuhusu mada mbali mbali kuhusu mtoto kusoma shule za kata au kayumba na kumsomesha shule za gharama Private. Kwa kuanza nitatoa mifano mifano kadhaa kuhusu...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Jambo la kwanza: ni Tanzania pakee. utakuta mtu kwenye jina la profile ya akaunti yake ya mitandao ya kijamii. anaweka na neno PhD ama Professor ili tu kujitambulisha kwa watu kua ana taaluma ya...
4 Reactions
13 Replies
710 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kasoro kadhaa katika utekelezaji wa Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, jijini Dodoma, zikiwemo ajira kwa wahandisi...
1 Reactions
1 Replies
544 Views
Biblia inasema Mungu aliwapenda sana wana Isachar ( sio Isaka ni ISACHAR: Huyu Isachar alikuwa ni kati ya watoto 12 wa Yakobo. Sasa huyu Isachar alikuwa na watoto wa kiume 200 ndio hao ambao...
77 Reactions
246 Replies
18K Views
Husika na kichwa cha habari , mbuga gani nzuri kwa kutalii Bongo Zingatia Accommodation Vyakula Idadi ya wanyama Urahisi wa kufika kwa barabara
1 Reactions
6 Replies
499 Views
"MIMI MWENYE NYUMBA WAKO APA MBONA SIKU ZINAZIDI?" 12 WAFIKISHWA MAHAKAMANI, WAKABILIWA MASHTAKA 32. Na. Jeshi la Polisi, Dar es Salaam, Mei 28, 2024 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…