Mtu mmoja (jina limehifadhiwa) anadaiwa kufoji nyaraka na kujifanya mwakilishi wa mmoja wa Wakuu wa Wilaya waliowahi kuongoza Wilaya ya Kisarawe, akidai kuuza viwanja kwa niaba ya mkuu huyo wa...
Safari ya uongozi kwa Wanawake kamwe haijawahi kuwa nyepesi, Mwanamke anapita katika njia mbovu, milima na mabonde pia kona hatarishi. Licha ya ugumu huo, wengi wanapambana na mengi hadi...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemtaka Mwekezaji wa Shamba la Malonje lililopo katika Kijiji cha Sikaungu Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa kutoendeleza...
Wadau hamjamboni nyote?
Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa...
Kwa wanaotumia barabara hiyo kuanzia Feri mpaka Pemba Mnazi watakuwa mashahidi. Kwa sasa matuta yapo mapya pale shule ya Malaika na Haana Benie na hapa Makaburini Dege centre je mpaka iue?
Pale...
Nilitegemea bima ya afya ya daktari imuwezeshe kupata huduma zote za matibabu na kwa haraka fast track,na vvp.
1)Kwa kuwa daktari anahudumia wagonjwa kama viongozi wa kisiasa n.k ambao wao BIMA...
Jana Pete Hegseth alipokuwa anahojiwa na kamati ya bunge, alisema alitambulika kama mwenye "msimamo mkali" hivyo kukataliwa nafasi hio ya kulinda sherehe ya uapisho wa Rais Biden.
Lakini cha...
Kuhakikisha mtoto wako halii usiku ni changamoto ya kawaida kwa wazazi wengi, hasa kwa watoto wachanga. Hapa kuna mbinu zinazoweza kusaidia
Hakikisha mtoto ana ratiba ya kulala inayofuatwa kila...
Wakulima 2000 Wilayani Kiteto wamemuomba Raia Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro wao na hifadhi ya Makame WMA iliyodaiwa kupora maeneo yao waliyotumia zaidi ya miaka 15.
Chanzo: EATV
Salaam kwako Ndg Mussa Kilakala,
DC na M/Kiti kamati ya ulinzi Wilaya ya Morogoro (Mjini naVijijini).
Kuna mgogoro mkubwa wa Ardhi unaendelea ndani ya manispaa yako Mtaa wa Ngerengere B, kata ya...
Hivi karibuni Vatikani imeidhinisha wanaume mashoga kuwa mapadre iwapo wanaume hao watakuwa hashiriki tendo la ndoa.
Ingawa kanisa hilo halikuwahi kukataza wapenzi wa jinsia moja kuwa mapadri...
Yawezekana nyakati hizi unapitia changamoto fulani, nakuombea usibaki kwenye hilo sononeko bali mtazame Mungu ukajipe tumaini kwake na mambo yako yatakuwa sawa.
Kikubwa mwanadamu pale alipo...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Ni tikuo kubwa sana ambalo huwa nalikumbuka had leo, nikikumbuka huwa nabaki na maswali mengi sana
Vp kama...
Leo nipo zangu kwenye daladala na kavocha kangu ka 500 nimeshakwangua tayari kwa kuingiza.
Wakati naingiza nilikuwa nahangaika maana kioo changu hakitachi vizuri. Jamaa wa jirani akawa anainakili...
Wdau hamjamboni nyote?
Nimeweka nukuu ya Nabii Mke wa Waadventista Wasabato Hellen G White akidai kuambiwa saa na siku ya kurudi kwa Yesu Kristo katika njozi
"As God has shown me in holy vision...
Wanakijiji 10 wa kijiji cha Chang’ombe kilichopo kwenye kata ya Segera wilayani Handeni wamefariki dunia kwa kugongwa na lori lililopoteza uelekeo wakati walipojitokeza barabarani kutoa msaada...
Na kinachowatofautisha ni mafunzo tu.
Kwa sababu hata huyo mbwa wa kizungu inabidi kila baada ya muda flani inabidi uwe unampeleka kwa mwalimu. Na usipofanya hivyo naye anarudi kuwa mbwa koko tu...
Sewa Haji, soma historia ya mtu aliyetukuka. Ndie aliyetajwa katika moja ya wodi ama majengo ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili... Inasadikiwa Hospitali ya Muhimbili ndie aliyeijenga kabla ya...