Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje. Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo...
4 Reactions
12 Replies
947 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeeleza kuridhishwa na uwekezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika miundombinu ya elimu katika mikoa ya Tanga na Pwani, ikisema...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Habari njema Matajiri Wawekezaji, Hongereni wote kwa kuendelea kukaa kwenye mchakato wetu wa programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo, kwa muda...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeendelea kutekeleza programu mbalimbali zinazolenga kufungamanisha sekta ya mafuta na gesi asilia na sekta ya elimu nchini. Miongoni mwa...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Tukatae kuwachagua viongozi wanao tumia nguvu za giza/ushirikina kupata uongozi. Imekuwa jadi kwa viongozi wengi katika nafasi zao kutumia USHIRIKINA kupata na fasi na kulinda nafasi zao...
1 Reactions
5 Replies
367 Views
Wadau hamjamboni nyote? Ni ushauri wa bure kuwa wenzenu RC wamehubiri injili duniani kote tokea enzi za Mitume hivyo mnatakiwa kuheshimu hilo Nyie Wasabato mmekuja karibuni tu mwaka 1863...
1 Reactions
3 Replies
318 Views
Ni mwaka sasa, tangu Baraza La Madaktari Tanganyika (MCT) lianze kusimamia mafunzo ya interns na hatimae kusajiri wataalamu wa lishe hospitalini (Clinical Nutritionist). Nalishangaa sana kwa...
3 Reactions
4 Replies
585 Views
Najiuliza, kwa hizi nchi ambazo hazina bahari na wanaotumia bandari yetu, endapo wakanunua magari yao ya Jeshi huwa wanayasafirishaje? Yanapita humu humu kwenye barabara zetu? Yaani yanakatiza...
3 Reactions
16 Replies
693 Views
Katika umri wa miaka 17, alikataliwa kujiunga chuo kikuu. Katika umri wa miaka 25, mama yake alikufa kutokana na ugonjwa. Akiwa na umri wa miaka 26, alihamia Ureno ili kufundisha Kiingereza...
2 Reactions
0 Replies
331 Views
Hizi pikipiki ni kero sana japo kuwa zimesaidia ajila na usafiri sana. Unapokuwa barabarani au mtaani pikipiki ikipita lazima inataka ukifikie karibu wakati barabara yote kubwa. Huwa wanakuwa na...
5 Reactions
10 Replies
488 Views
Zoezi la ugawaji wa vizimba kwa wafanyabiashara wa soko la Mbuyuni umezua sintofahamu baada ya baadhi ya wafanyabiashara kudai kutoorodheshwa kwenye majina ya wanaostahili kupewa vizimba . Soko...
4 Reactions
6 Replies
566 Views
Nchini Kenya, Mwanamke aliyetambulika kama Mercy Nyasaka amejiua baada ya kuacha ujumbe mzito kwa ndugu wa karibu kupitia Whatsapp akimuaga na kueleza anayoyapitia, Mercy alifiwa na bintiye miaka...
1 Reactions
3 Replies
411 Views
Hello Jamii Forum!!! Nimewaza sana na baada ya kupata fursa hii ninataka kupata mawazo ya wadau wengine. Hivi kweli baada ya miaka 50 ya uhuru na miaka miongo kadhaa ya Univeristy of DAR na...
0 Reactions
313 Replies
25K Views
Mungu Baba, umetuagiza katika 1 Thes 5:18 kwamba tushukuru kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi yako kwetu katika Kristo Yesu. Tunakushukuru sasa Baba kwa kutulinda usiku kucha. Tumelala...
8 Reactions
11 Replies
484 Views
Unajua dunia hii ina mambo ya ajabu sana! Yani ilikuwa ala ya music ambayo nilisikiliza kupitia laptop yangu. Hakuna maneno ni ala peke yake nilisikiliza muda usiozidi sekunde 3 hivi amini...
8 Reactions
80 Replies
4K Views
Natokea Kanda ya ziwa Tanzania kubwa na nimetembea baadhi ya maeneo ila aisee hii Kanda ya kati ni shida Ukiwa safari huoni mgombea, majaruba, Mti wa mhogo n.k yaani sehemu ni kame kama Nini...
16 Reactions
102 Replies
5K Views
Salaam Nia ya uzi wangu sio kubeza wala kudhihaki mtu yoyote, ila natoa angalizo tu kwa mtu mwenye nia/ ndoto/ dhamira/ kusudi la kufanya biashara ajue anakabiliwa na mtihani mkubwa mbeleni...
66 Reactions
280 Replies
22K Views
Anonymous
Kuna jamaa alikwenda kwa dada kuomba kuazimishwa kias cha pesa ilkua 27 sept 2024 akiahid kurejesha 30 October 2024,muda wa kurejesha ulipowadia hakurejesha pesa akawa mtu wa akahidi tar fulan...
0 Reactions
1 Replies
238 Views
Bado tukiwaza Hili la Mtedendaji Mkuu wa Serikari kusema Vijana walio Maliza Elimu ya juu waende VETA Nimewaza ya kwangu pia kwa Taifa langu. Kwanza Naona maono ya Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Mwalimu wa shule ya msingi ng'weja mwalimu Nteba. M . Shija (36) ajinyonga kisa migogoro ya kifamilia. Tukio hilo limetokea juzi 13/3/2025.mwalimu huyo aliamka siku hiyo akiws salamq akaenda shule...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…