Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Unakuta mtu kakupa lifti kwenye gari yake binafsi, tena wala hukumwomba alafu cha ajabu sasa...barabara nzima anazungumzia mambo ya mafuta, mara oooh nnapokuaga safari huwa nasave hela nyingi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkiambiwa hakuna cha kumzidi akili binadamu mjue hakuna kwelikweli. Huyu jamaa wanamwita akili Mnemba au kwa lugha ya kuzoeleka zaidi akili bandia kwakweli ana vituko sana. Nitaweka hapa baadhi ya...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwako jenerali mwamunyange : Mimi Technically bila kushinikizwa na mtu nikiwa na akili timamu nimeamua kukuandikia barua fupi nikikumbusha baadhi ya mambo muhimu!! Kwanza kabisa napenda...
19 Reactions
51 Replies
9K Views
Nimesikiliza kwa juu juu hii habari ya "housegirl" kumuua mtoto Kimara lakini kwa hisia tu nahisi huyu housegirl ni muhanga wa jambo ambalo linaweza kuwa limejificha. 1. Jambo hili linaweza kuwa...
43 Reactions
164 Replies
17K Views
Katika mambo ambayo yanichekesha ni kutokana na nchi za africa jinsi wanavyotukana nchi za magharibi na kusifia urusi,china,iran, Pakistan, korea, na nchi nyingi zinazopambana na nchi za...
1 Reactions
1 Replies
286 Views
Uwepo wa Ukumbi wa muziki ambap pia una baa ndani yake (Night Club & Bar) uliopo kwenye eneo la Hifadhi ya Mto Kanoni ni jambo ambalo inaonekana kama mamlaka husika zinazotoa vibali vya ujenzi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za Nchi kavu na makini LATRA imepiga marufuku watu ambao hutumiwa Mabasi kufanya mahubiri na kufanya biashara mbalimbali zikiwemo za Madawa ya Asili nk. My Take...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege kanda ya Afrika, mkutano unaotarajiwa kufanyika jijini Arusha mnamo Aprili 24 hadi Aprili 30 mwaka...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Kijana wa Miaka 17 ahukumiwa kifungo cha nje Miezi miwili kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi Halikadhalika, Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 17 Mkazi wa Kijiji cha Kilambo, mwanafunzi wa kidato cha...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Mimi ni mkazi wa Mfaranyaki, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, mtaani kwetu tumechoshwa na matukio ya watu kupata majanga ikiwemo kupoteza Maisha katika eneo hilo la Mto Ngerengere uliokatisha...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Mtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M . Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika...
29 Reactions
146 Replies
8K Views
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya. Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja Elimu nzuri ni gharama...
26 Reactions
223 Replies
7K Views
Kwa mliowahi kutana na kesi kama hii NAOMBA msaada wenu maana ni mwaka sasa umetimia na nahisi nitakuwa nadaiwa ada ya maintainance kubwa kiasi Kwamba nikiamua kuweka hela yeyote inakatwa papo...
0 Reactions
2 Replies
367 Views
Wakuu Tanzania inashika nafasi ya tatu katika orodha ya nchi waagizaji wakubwa wa nguo za mitumba barani Afrika, ikiwa na thamani ya $148 milioni kwa ripoti ya mwaka 2022. Biashara hii...
2 Reactions
16 Replies
842 Views
Wakuu, Naona baada ya JamiiForums kuwazundua huko wajuba wametenga fedha kukarabati kituo hicho. Kusoma zaidi uzi wa mdau aliyewasanua angalia hapa: KERO - Geita inatoka dhahabu lakini Stendi...
0 Reactions
8 Replies
951 Views
Mtu mmoja asiyefahamika ambaye amepachikwa jina la Pdidy anatafutwa kwa udi na uvumba kwa tuhuma za kubaka wanawake na watoto kimiujiza. Inadaiwa mbakaji huyo inapofika usiku kuanzia saa 7 usiku...
1 Reactions
9 Replies
791 Views
Rais mteule Donald Trump ameitaka Panama kupunguza ada kwenye Mfereji wa Panama au irejeshe kwa udhibiti wa Marekani, akiishutumu nchi hiyo ya Amerika ya kati kwa kutoza "bei kubwa" kwa meli na...
0 Reactions
1 Replies
550 Views
Wakuu kweme ni matunda gani? Yana faida gani na wapi yanalimwa Tanzania?
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Chekechea na Primary nimesoma english medium private. Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana. Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba...
16 Reactions
102 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…