Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kila mtu huwa ana imani yake Kila mtu ana mbinu zake za kutatua matatizo yake. Wapo ambao wakipata shida kidogo tu ni kwa babu sangoma wanakimbilia. Tujuzane, vipi gharama huko? Shida...
8 Reactions
509 Replies
93K Views
Serikali ijikite kuangalia na kuchukua hatua kwa kituo cha mkata kwenye suala la Afya .Juzi wakati nasafiri kutokea Tanga tulisimama hapo kupata Chakula nilichukua takeaway wakati nipo kwenye gari...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Polisi huko Lang'ata, Kenya wanachunguza tukio ambalo Faith Momanyi, binti mwenye umri wa miaka 19 aliyemaliza kidato cha 4, alifariki kwa kutatanisha nyumbani kwa mpenzi wake baada ya...
8 Reactions
77 Replies
4K Views
Hali ya gumzo imetanda kwa baadhi ya Wananchi wa Manispaa ya Songea mjini Mkoani Ruvuma baada ya Mwanamke mmoja katika Ofisi za Shirika la Umeme TANESCO Mkoani humo akiwa hana nguo huku baadhi ya...
0 Reactions
2 Replies
502 Views
Sisi baadhi ya walimu wa wilaya ya Busega ambao tuko 153,mnamo mwezi wa 7/2024 tulimwandikia mkurugenzi wetu ndugu Marco Kachoma barua ya kutuondoa chama Cha walimu CWT na kutuhamimishia chama...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
JOHN ROBERT MAITLAND DHIDI YA JAMHURI Mshtakiwa alishtakiwa kwa kosa la kuingia na kuwepo kinyume cha sheria ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mahakama ya Wilaya Bukoba, Kavera...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Oilcom’s arbitral tribunal support The story about the claim opposing Oilcom and Oryx is putting light on an unknown process in Tanzania, the Arbitration Tribunal. As spotted by legal expert...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tanzania inadaiwa kudondokea pua katika mwendelezo wa kesi zinazoikabili ambapo sasa itatakiwa kuilipa Kampuni ya Montero zaidi ya Tsh. Bilioni 71 kama fidia kwa kukiuka masharti ya mkataba...
8 Reactions
89 Replies
5K Views
Isingekua kwa huyu mwamba wazungu wangesilimishwa kwa mapanga, leo bara Uropa lingekua la hovyo limevurugwa kama ilivyo Mashariki ya kati na maeneo mengine yenye hii dini. Hii ilikua enzi ambapo...
5 Reactions
63 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu, shule binafsi za msingi zimekuwa na utaratibu wa kupitiliza muda wa masomo kwa madarasa ya mitihani, kiasi cha kuwafanya watoto wakae darasani kwa saa nyingi kupita uwezo wa...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Sasa unaingia mkoa wa Mara!Utakutana na maandishi yakiwa kwenye hiki kibao mara tu unapoiacha Simiyu na kuingia mkoa wa Mara.Jina la mkoa halijulikani sana ukilinganisha na jina la makao makuu ya...
3 Reactions
12 Replies
969 Views
1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!! Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie. Picha...
32 Reactions
119 Replies
3K Views
Wajumbe habari ya leo Nakitafuta sana hii series inayoitwa ROOTS maarufu KUNTA KINTE Library za movies nilizotembelea haipo na hata mtandaoni Kuna vipande vidogo vidogo sana. Naomba kujua wapi...
2 Reactions
4 Replies
532 Views
Ukienda kutazama tovuti za Baadhi ya wilaya nchini Tanzania utakuta taarifa za mwaka 2022, jambo ambalo linakatisha tamaa na kutoa taswira mbaya kwa halimashauru husika inawezekanaje mwaka 2025...
2 Reactions
5 Replies
394 Views
Juzi nilimsikia mheshimiwa rais mama samia suluhu hassan akisema vigogo waliopo serikalini kama Wana Nia ya kugombea nafasi yoyote basi waseme mapema ili mama atafute watu wengine wakujaza nafasi...
2 Reactions
4 Replies
351 Views
Wimbo wa kasongo
2 Reactions
6 Replies
560 Views
Habari TANESCO boresheni maslahi ya vibarua shinyanga mjini kwa maana wanateseka na kupitia changamoto ngumu sana kwa sasa ni miezi miwili huu wa tatu hawajalipwa wengi wao huacha kazi kwa...
0 Reactions
1 Replies
280 Views
NUKUU KUTOKA KWA WATU WENYE HEKIMA 1. “Gereza kuu ambalo watu wanaishi ndani yake ni hofu ya kile ambacho wengine wanafikiria.” — David Icke 2. “Jihadharini na wale wanaoomba msamaha haraka...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari Ndugu Zangu, Kwanza Nianze Kwa Kuwashukuru Wote Mlionipatia Ushauri Wakati Napitia Hali Ngumu, Hakika Jamii Forums Kuna Watu Wema Sana. MUNGU Awabariki 🙏 Uamuzi Niliouchukua Ni Kwenda...
0 Reactions
3 Replies
412 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…