Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuzaliwa mwanaume ni zawadi ya kipekee sana ambayo hukuichagua ila ulipewa kwa mapenzi ya Mungu. Tutambue ya kwamba Mwanaume hakuumbwa MATESO bali mateso yalichaguliwa na Mwanaume mwenyewe...
8 Reactions
5 Replies
426 Views
Huenda Heading isilete maana ya moja kwa kwa moja lakini kwenye maelezo nitaeleza kwa kirefu sana.Japo ni ndefu ila nitafupiza sana mimi sijui kuandika ....".inaendelea" Hii ni familia kubwa ya...
2 Reactions
3 Replies
707 Views
Mwanafunzi Mhoja Maduhu anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa na mwalimu kupita kiasi na kusababisha damu kuvujia kwenye ubongo, amezikwa huku huzuni na simanzi kubwa vikitawala. Pia soma ~ Simiyu...
0 Reactions
3 Replies
741 Views
Wakubwa kwema!,jamani Mimi nilikua nauliza je Kuna ukweli wowote kwamba sigara aina ya embassy imetengenezwa Kwa kiwango cha juu kidogo kulikoni hizi sigara zingine,maana nilimsikia mzee mmoja...
0 Reactions
2 Replies
519 Views
Mshtakiwa Ferdnand Ndikuriyo (27), maarufu Chuma cha Chuma ameshindwa kutimiza masharti matano ya dhamana ikiwamo kusaini bondi ya Sh10milioni na wadhamini wawili raia wa Tanzania wanaotambulika...
1 Reactions
2 Replies
621 Views
Mwenye connection ya mizigo ya magari makubwa kanda ya ziwa msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Mkuu wa Idara ya Wateja Wadogo na Kati wa Benki ya Exim, Bw. Andrew Lyimo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma mpya inayojulikana kama Lipa Chapchap...
0 Reactions
2 Replies
417 Views
Jamani nchi yetu inakwenda wapi? Mahospitalini karibia mwezi wa sita sasa huduma ya chanjo kwa watoto hakuna. Mimi nina mtoto mchanga tumeshazunguka hospitali karibia zote hapa jijini na chanjo...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Members of JF tunazungumzia dhana ya ufisadi, ulaji rushwa ufujaji wa mali za umma. Lakini kuna jambo moja ambalo linanitia mashaka matumizi na mantiki au lengo madhubuti. Karibu viongozi walio...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habar ndugu zangu wa Jf Awali ya yote napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa muanzilishi wa Jf kwani naburudika na naelimika kwa mada zinazotolewa humu. Nisipoteze muda niende kwenye mada...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Viongozi wetu wana hizi. Je tutafika? Source: Kipanya
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amezindua kambi ya wiki mbili ya matibabu bure ya macho na matatizo ya mkojo kwa wananchi wa Jimbo...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Mhusika katika picha anaitwa PROSPER MHINA KWINGWA. Mkazi wa Karakata airport Dar salaam , ana matatizo ya afya ya akili.Hajaonekana nyumbani tangu tarehe 25/02/2025 .Taarifa imetolewa Polisi ...
2 Reactions
1 Replies
241 Views
Habari za uzima Nkauliza tu mbona Hawa wah wanaouza kitimoto wakatili hivyo Toka tar 5 kitimoto inepanda JUMLA Toka 8000 mpaka 11000 Kawaida Toka 12000-15000 Hivi hamna dini NYIE wauzaji...
0 Reactions
6 Replies
468 Views
MHE. NDUMBARO AKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA SONGEA Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekabidhi vifaa tiba vya huduma ya utengemao...
0 Reactions
1 Replies
344 Views
Kila siku mida hii ya usiku ñaona mabinti wanapita wanasema wanaenda msikitini, kipindi hichi cha mfungo wanaenda kufanyaje? Mbona kama NI hatari Sana? Leo nimekuta binti mmoja kavaa ushungi...
10 Reactions
71 Replies
3K Views
Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania...
15 Reactions
45 Replies
2K Views
Yule mwingine alikamatwa na ngada kwenye manywele yake. Huyu mwingine ni anatepeli watu. Alafu wakija mitandaoni wanawaonesha marenji rova ili kuwaumiza roho. Hii yote ni malue lue ya maisha ya...
9 Reactions
16 Replies
720 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Serikali imefanikiwa kuwekeza katika utekelezaji wa miradi ya majisafi yenye thamani ya Trilioni 1.19 kwa...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Mwanaharakati Maria Sarungi ambaye ni Mtoto wa marehemu Prof. Philemon Sarungi amesema miongoni mwa sababu iliyomfanya kushindwa kuhudhuria mazishi ya baba yake ni pamoja na Suala zima la Usalama...
2 Reactions
14 Replies
966 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…