Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huku mtaani kuna mwizi alichezea kichapo usiku baada ya kutuhumiwa ni mwizi na kama mnavyojua hili neno ukiitiwa usiku wa saa 7 hata kama sio mwizi raia wanapiga. Sasa inasemekana kapona hajafa...
22 Reactions
135 Replies
6K Views
Kumekuwa na wizi wa mita za maji maeneo ya Mbweni Teta kwa kasi sana na hakuna jitihada yoyote ya uchunguzi inayofanyika na DAWASA. Pia soma ~ Albert Chalamila: Sijaridhishwa na hiki mlichofanya...
0 Reactions
6 Replies
892 Views
Kama unahisi something wrong on ur life circulation, i recommend to you this book, 'The Power of Your Subconscious Mind'. Kama unahisi Maisha yako yamepoteza maana Soma hiki Kitabu. Kila kitu...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
CHANYA Maji- Kwa mara ya kwanza tangu kuwekwa historia ya dunia majinsafi yaliletwa mtaani kwetu. COVID 19. Nilikuwa na msimamo wa kuovaa Barakoa maana niliamini Covid 19 haipo. Msimamo wake...
6 Reactions
15 Replies
779 Views
Kumekucha. Ni neno pekee utakaloweza kulitumia kwa sasa. Yule mfalme wa biashara zote, Said salim Bakhresa anaingia barabarani rasmi muda sio mrefu. Anaanza na Dar hadi Arusha, Dar hadi Dodoma na...
15 Reactions
57 Replies
5K Views
Mlnakumbuka ya Brazili 2023? Walivyofanya sherehe ya kumtukuza Shetani? Kesho kutwa yake Mungu afutilia mbali kamji kote . Vipi kuhusu walomtukana Mungu...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Zilipita wiki 2 Hadi 3 ndipo yakatangazwa mafunzo ya walimu kwa ajili ya kuuanza mtaala mpya! Walimu wengi hawakuhudhuria sababu walikuwa likizo (waliyoipata kisheria kabisa kwenye ess)...
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Nimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala, Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7 Wapo wanatuomba...
50 Reactions
102 Replies
4K Views
MSOMI NI NANI AU NI MTU WA NAMNA GANI Na: Comred Mbwana Allyamtu. Hivi karibuni nilikuwa na mjadala mzito na na makomled wenzangu kuhusiana na dhana nzima ya mtu kujiita kuwa ni msomi.Chan zo...
3 Reactions
1 Replies
4K Views
Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mheshimiwa waziri wa elimu. Kama ilivyokawaida kwa kila shule ya bweni lazima pawepo na matron ambaye majukumu yake makuu; 1. Kutunza nidhamu bwenini 2. Usalama wa wasichana na mengineyo. Shule...
1 Reactions
2 Replies
627 Views
Kama una mdogo wako wa kike awe makini aache tamaa ya mambo ambayo hana uwezo nayo, kwa sababu mabinti wengi wanaingia kwenye vishawishi vya kutembea na wanaume walio wazidi umri (Sugar dads) ili...
16 Reactions
129 Replies
5K Views
Habari za wakati ndugu zangu! Mimi ni Mkazi wa Dar es Salaam na nianze kwa kuipongeza sana Serikali kwa kuendelea na ujenzi wa miundombinu kurahisisha usafiri japo sio kwa maeneo mengi. Leo...
1 Reactions
3 Replies
468 Views
Wizi wa mfukoni umeliza sana watu mjini kwenye msongamo, daladala n.k Watu wameibiwa hela, simu n. K Zingatia yafuatayo 1. Jiadhari na mtu anayekufatilia Labda uko mjini unamuona mtu mpya...
2 Reactions
7 Replies
644 Views
Mimi binafsi sioni kabisa kinachofanyika katika ujenzi wa barabara ya mwendo kasi kwa phase hii ya njia ya tegeta posta na kipande cha ubungo tofauti kabisa na ujenzi wa njia ya Morogoro road au...
0 Reactions
1 Replies
594 Views
Utawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za...
27 Reactions
99 Replies
4K Views
Wataalam wa UTT nipo acc ya ukwasi Kwa maelezo, niliambiwa ni siku mbili za kazi mpunga unakuwa ushasoma leo ni wiki. Hadi napata wasiwasi
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Hakuna time travel Huo ni mpango wa shetani, dhamila ni ile ile anataka tusahau kitu kinaitwa kufa ili azidi kupromosheni harakati zake za kumpinga mungu Achana na hao kuna hawa wanaomini hii...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Habari za leo wakuu, Moja kwa moja kwenye mada, pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya zimefika wilayani ileje yapata wiki mbili Sasa, hili lilithibitishwa na katibu ofisini ya DMO kupitia kundi...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Hivi ukiingia kwenye dating apps, unatafuta mapenzi au unatafuta maumivu? Watu wengi wanajaribu bahati yao huko, na wengine wanajikuta wakipoteza muda huku wakichanganywa na maswipe right na swipe...
4 Reactions
60 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…