Ramadhani: Waislam kufunga mara mbili mwaka 2030
Kila Ramadhani huchukua siku 10 hadi 11, kwani miezi ya Hijri ni siku chache kuliko kalenda ya kawaida, ambayo ina maana kwamba kila mwaka...
Kabla ya ujio wa Julian calendar 46 BC watu wa zamani walikuwa wanatumia calendar ipi?
Miaka ilikuwa inahesabiwa vipi enzi za Biblia ya agano la kale?
Walioishi miaka 900 ni kwa kutumia calendar...
Kama kuna jambo ambalo wakristo wengi wanadanganywa na kuibiwa basi ni kwenye kitu kinaitwa Sadaka.
Kila ujanja ujanja wa viongozi wa kikristo kutaka kuwatapeli waumini pesa na mali zao basi...
Enzi zetu wakati tunasoma, kwenda shule ilikuwa ni kwa lengo la kujua kusoma na kuandika tuu.
Baada ya hapo ilikuwa ni optional kwako either urudi nyumbani ukaendelee na michakato mingine ya...
1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate
2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu
Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama alitaka Baraza la watumishi wa Wizara ya Afya na Taasisi zake mijadala yao ilenge kuleta tija na ufanisi ili kuendelea kuinua sekta ya afya nchini.
Waziri wa...
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa CCM Mkoa wa Morogoro, Kuhani Zangina S Zangina, kipindi cha Uandikishaji Wananchi katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura 2025 alitembelea maeneo mbalimbali ya...
Dini zimekuwa zikitumia kifo kama dhana ya kutisha toka na ujinga na ujanja ujanja wa kutaka kuwatisha ili kuwatawala na kuwaibia waumini. Mara utaingia motoni, mara peponi. Nani amewahi kwenda...
Katika bara zima la Afrika, vijana sio tu wamekuwa washiriki, bali ni sehemu muhimu ya kuongeza kasi ya mageuzi ya bara hilo. Kwa mujibu wa Umoja wa Afrika na Benki ya Maendeleo ya Afrika, bara...
Leo nimekuja kuipa Kongole Hospitali ya Rufaa kanda ya ziwa Bugando hususani kwenye idara ya kijamii na huduma nje ya mfumo wa matibabu, Hapa nazungumzia Huduma rafiki, safi, salama na nafuu ya...
Wakubwa shikamooni,
Mdogo wenu hapa JF ninaomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya Taifa la New zealand, utaratibu wao wa viza, kama kuna changamoto za uingiaji na kama kuna mianya ya kuitumia ili...
Wakuu wangu mambo yamekuwa magumu sana nami naamua kuachika,
Mpaka sasa nimesha jenga nina biashara lakin imedorora sana, mpaka nimeifunga,
Nimeamua kwamba sasa hii 5,600,000 niliyonayo niende...
Ni hivi , Baba Mkubwa wangu alikuwa na mke na akapata naye watoto ,mwishowe akamfukuza huyo mwanamke .
Lakini kutokana yule mwanamke alipendwa sana na Bibi yangu ( Mama yake Baba mkubwa )...
Nimewahi kuwa muumini wa dini fulani kubwa ulimwenguni. Nilisoma kidogo basic ya dini ile.
Ile dini lengo lao ni moja tu, nalo ni kupata pepo ya Mwenyezi Mungu. Baadaye nikapata Neema ya kuwa...
Mimi niliwahi kuitwa mahali na mtu nikaenda hiyo sehemu nikakutana na marafiki zake, sasa huyo mmoja niliwahi kudate nae aisee hii aibu ilikuwa kubwa sana na huyu jamaa niliekuwa nae akawa...
Kwa sasa Mwanza kuna tabia ya asilimia kubwa ya Daladala kutofika katika ‘ruti’ zao husika walizopangiwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) hasa zile zinazotoka Nyashishi kwenda...
Ujumbe huu uwafikie LATRA Pwani na Dar es Salaam nakala kwa wadau wote Serikali, Wasafiri, Wamiliki na UWAMADAR
Kwa ,uda mrefu sasa kumekuwa na Tabia ya Daladala zinazokwenda nje ya Dar es Salaam...
Habari wana JF
Mwenzenu nna kitu leo natamani ku share na nyie wakuu mwenye mwanga au wazo juu ya hili nigependa kupata wazo ama ushauri.
Mi natamani sana sana na ni ndoto yangu kubwa sana...
Heshima kwenu nyote wana jamii forum. Nimekuwa nikifuatilia matakwa na makusudio ya rais Trump toka aingie madarakani, matamanio yake yamekuwa yakiniachia maswali ya kujiuliza pamoja na kwamba...