Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau hamjamboni nyote? Naleta majina yanayotumika kwa watu ambao hawajafanyiwa tohara kwenye makabila mbalimbali nchini Isemboo Kichaga Warisyaa Kikurya Isekaa Kimeru Laiyok Kimasai Akakata...
6 Reactions
73 Replies
3K Views
Mwandishi wa Habari wa The Citizen amesimamishwa kazi. Taarifa zaidi zinabainisha kuwa ni kwa kukiuka Aidha, mwandishi mwingine Neville Meena naye amesitishiwa mkataba kwa sababu hizo hizo...
13 Reactions
237 Replies
30K Views
Habari wadau? Kuna jambo linanikwaza sana. Unakuta mtu ana harusi. Anaomba mchango kama deni vile! Unamchangia mtu laki ukiingia ukumbini mtu unapewa kifungashio cha juice na soda hata elfu kumi...
11 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu! Mimi ni mgeni humu ,nimeona nitoe nukuu kuwatia watu moyo. Ahsanteni!
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Hali halisi inavyoonekena kwa nje kwa upande wa wasanii wetu kuonekana wakijihusisha na siasa hasa wengi wao kwa asilimia kubwa kuonekana kuunga mkono chama tawala inaweza isiwe kama tunavyo...
1 Reactions
23 Replies
896 Views
Kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotangazwa 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini uki-ingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine...
9 Reactions
156 Replies
5K Views
Ukiwa mfanyabishara Afrika /Tanzania kaa mbali sana makundi ya kisiasa usioneshe kufungumana na upande wa chama chochote au mtu yeyote . Nchi zetu hizi za kiafrika bado utawala wa kidemokrasia...
2 Reactions
2 Replies
265 Views
Habari wanajamii. Mimi ni kijana mpambanaji mchapakazi ishu imenileta kwenu ni hii mimi nimekuja huku Kenya niko na miaka 2 sasa, kiukweli naishi poa na nimebahatika kupata msichana na tayari ni...
12 Reactions
124 Replies
4K Views
Unaweza kudhani magari yameegeshwa au kuna maandamano ya magari, lakini uhalisia ni kwamba gari zinasubiri kujaziwa gesi. Hali hiyo ipo leo Jumanne Oktoba mosi, 2024 kwenye kituo cha kujazia gesi...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
𝐉𝐄! π‘π€πˆπ’ πŒππ˜π€ 𝐖𝐀 π“π€ππ™π€ππˆπ€ πŸπŸŽπŸπŸ“ ππ€π˜π„ π€π“π€π•π€π‹πˆπ€ 𝐍𝐉𝐔𝐆𝐀 π”π“π„πŠπ€π‰πˆ 𝐖𝐀 π€πŠπˆππ€ π’πŽπŠπ€ 𝐍𝐀 πŒπ€π”π€π‰πˆ π˜π€ πŒπ™π„π„ πŠπˆππ€πŽ? Trump ametia saini amri ya kufichuliwa kwa nyaraka kuhusu kuuawa kwa Rais John F Kennedy, kaka...
7 Reactions
12 Replies
996 Views
Wizara ya afya imedhibitisha kifo cha mgonjwa mmoja wa Marburg ambaye alikuwa akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospital ya Wilaya Biharamulo. Aliyefariki ni kati ya wagonjwa wawili waliobainika...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Asee huu mradi apewe Bakhresa atatisha sana
2 Reactions
4 Replies
461 Views
Nasikitika kwa kile kinachotokea kwa Chama chetu cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kwa baadhi ya viongozi kuona sasa chama hiki...
0 Reactions
3 Replies
453 Views
Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi imefanya kikao na wadau wa kodi mkoani Iringa, ikilenga kupokea maoni na mapendekezo kuhusu changamoto za kodi na tozo mbalimbali zinazokwamisha maendeleo ya...
1 Reactions
0 Replies
319 Views
  • Closed
Habari za wakati huu, Sijui wapi pa kuanzia Ila tangia mwaka 2018 niliamua kuacha kazi na kuanza maisha ya kujiajiri. Kazi niliacha baada ya kuona biashara zangu zingine ndogo ndogo zinalipa Ila...
68 Reactions
243 Replies
11K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza watu wenye ualbino nchini kutembea kifua mbele na kutojiona wanyonge kutokana na hali yao na badala yake watambue kuwa wao ni...
1 Reactions
0 Replies
278 Views
Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman. Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk...
17 Reactions
56 Replies
2K Views
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa kupitia mfumo wa usafirishaji wa vifurushi, mizigo, na abiria Serikali itaimarisha uchumi wa kidijitali...
0 Reactions
1 Replies
384 Views
Wakuu dunia ina mengi sana.Huku kwetu Gongo hutegenezwa kwa malighafi ya muhongo au jina maalfu ni udaga. Nadhani kila sehemu wanatumia malighafi tofauti tofauti kulingana na upatikanaji wake...
1 Reactions
10 Replies
572 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limefanikiwa kumpata mtoto mwenye umri wa miezi sita aliyechukuliwa na watu wasiojulikana, baada ya kuvamia nyumba ya Melksedek Mrema na mkewe Joan Gabriel, ambao nao...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…