Mratibu wa Mafunzo Kituo cha Shule ya Sekondari Bagamoyo, Winchslaus Balige akizungumza katika mafunzo hayo.
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imechukua hatua madhubuti...
Katika kuendeleza hamasa ya matumizi ya kadi kwa wateja wake na Watanzania kwa ujumla, Benki ya CRDB imepanga kumzawadia mteja atakayekuwa na matumizi makubwa ya kazi zake za TemboCard Visa gari...
Wadau hamjamboni nyote?
Ukisoma maandiko matakatifu kwenye kitabu cha kutoka 20:13 utaona mwenyezi Mungu amekataza bana Israel kuua
Napenda kujua mwanadamu anayeua mwanadamu mwenzake atahesabiwa...
Wakuu Leo Sipo Kisiasa Hata Kidogo, Japo Bado Ntamzungumzia Samia Kama Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.
Kwanza Mama, Mungu Akubariki Sana.
Katika Vitu Hua Napenda Kuona Kwenye Maisha...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Bi. Pendo Mangali katika ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo aliyoifanya Februari 22/2025, ameagiza kuondolewa kazini kwa fundi Yusuph Benias Mgogo na...
Mgogoro Longido Milioni 131 zapotea .
Zaidi ya Vijana 600 kutoka katika kijiji cha cha Ngereyeni kata ya Tingatinga wilayani Longido wamevyaamia makao makuu ya ofisi na kuharibu mali ya jumuiya...
SHIRIKA la World Wildlife Fund (WWF), limepeleka kwa wananchi wa vijiji vinne vya Alaililai, Gelai Lumbwa, Noondoto na Orpurkeri katika Wilaya ya Longido, mkoani Arusha, miradi ya kiuchumi ya...
ALTRZZA TRAVEL MLIPA KODI BORA WILAYA YA HAI
MOSSHI
Kampuni ya wakala wa Utalii ya Altezza Travel imeshinda Tuzo ya mlipa Kodi bora kwa walipa Kodi kutoka wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ...
Nikajua ukiwa chawa, haubugudhiwi.🤣🤣
TRA wamefatilia makampuni ambayo Mwijaku anayotangaza biashara nao, na kutaka makampuni hayo yalipe kodi kwa mamlaka hiyo.
Mwijaku baada ya kupata taarifa...
Zaidi ya shilingi Milioni 51 zilizotolewa na Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA zimetekeleza mradi wa ujenzi wa Vyoo matundu 24 katika shule ya Sekondari Mpechi Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani...
Ushahidi uko wazi kabisa juu ya order alizotoa kwenye mauaji yale ya wafanyabiashara ikawaje yeye hakukutwa na hatia? Inanikumbusha picha moja ya kihindi inaitwa "Andha Kanoon" maana yake "Sheria...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema serikali itaendelea kusimamia na kutekeleza maagizo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu ujenzi wa vituo vya polisi ili kuimarisha ulinzi na...
Ukisoma history unakuta maendeleo makubwa ya nchi yetu yaliletwa na Wajerumani wakiwa na nia ya kudumu milele sema tu upumbavu wa Hittler ndo ukasababisha nchi yetu iwe mikononi mwa Uingereza...
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Utalii aone uwezekano wa kupitia Kanuni za Fidia kwa wanaothiriwa na Wanyama kuvamia mashamba, wakati huohuo amesisitiza Serikali inaendelea kutafuta...
✡Nukuu hii inazungumzia uhusiano kati ya huruma na upendo wa kweli. Huruma ni hisia ya ndani inayotufanya kutaka kuwasaidia wengine wanapokuwa na maumivu au matatizo. Kupitia matendo ya huruma...
Zab 92:12-13 SUV
[12] Mwenye haki atasitawi kama mtende, Atakua kama mwerezi wa Lebanoni. [13] Waliopandwa katika nyumba ya BWANA Watasitawi katika nyua za Mungu wetu.
Inawezakana umejenga...
Ni January inakaribia ndyo nakumbuka kuna kitu kinaitwa efd machine na kutoa risiti kwakweli kwangu ni ngumu,syo makusudi bali ni kusahau tu.
Sikumbuki huu mwaka unaenda kuisha nadhani nimeitumia...
1. Maana ya "Hakuna Kijiko" (There is No Spoon)
Katika Matrix, Spoon Boy anamwambia Neo:
"Usijaribu kupinda kijiko, hilo haliwezekani. Badala yake, jaribu kutambua ukweli... hakuna kijiko. Kisha...
Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira
Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis.
Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on...