Siku ya Mtandao Salama ni mpango wa kimataifa unaofanyika kila mwaka kila Jumanne ya pili ya mwezi wa Februari, ili kuongeza uhamasishaji kuhusu matumizi salama ya mtandao. Ilianzishwa mwaka 2004...
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF) umewataka wataalamu wanaosimamia miradi ya kupunguza umaskini kupitia mpango wa kunusuru kaya maskini awamu ya tatu (TASAF III) Mkoa wa Simiyu...
Wananchi wa tarafa ya Nyamiaga Kata ya Murukulazo Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera wameaswa kutokukichukulia sheria Mkononi na badala yake kuzifikisha changamoto zao katika mamlaka husika huku...
Naibu Waziri wa Mambo ya ndani Mhe. Daniel Sillo amesema katika kipindi cha kuanzia mwaka 2022 hadi 2024 jumla ya wananchi 1,113 wamepoteza maisha kutokana na ajali zilizosababisha na pikipiki kwa...
Mods mnaweza unganisha uzi huu na wa mwanzilishi wa hii mada hii Robert Heriel Mtibeli
Uzi ni : Moja ya dalili ya kijana kukosa maadili ya wazazi ni kuwafanya Wasanii wa muziki, drama na Filamu...
Ndugu wanabodi.
Mimi binafsi ni mtumiaji mzuri wa mtandao wa Airtel. Lakini pia ni freelancer na agent wa mitandao yote ikiwemo na Airtel.
Kitu kilichonistua mpaka kuandika hii thread. Ni baada...
Serikali ya Tanzania kupitia TCRA tunaomba mtusaidie Wananchi wenu, kuna mitandao ya simu (..) kila ukiweka salio la fedha unatafutwa na namba ngeni
Kuna mitandao fulani ya simu kila ukiweka...
Kumekuwa na changamoto wakati wa kuhuisha leseni za LATRA Kwa waliopata mwaka 2023 ikidaiwa kuwa tumepewa kimakosa, huku tukifanya kazi kwa takribani miaka 2, Mwaka wa tatu huu unaambiwa umepewa...
ASSETS ZA ASILI ZA MWANAMKE NA MWANAUME. HIZI UKIZIJUA ZITAKUSAIDIA PAKUBWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Assets ni rasilimali aliyonayo mtu au kampuni, taasisi au shirika, au taifa...
Ikiwa ni siku chache tu tangu Kundi la Tembo kutoka Hifadhi ya Burigi - Chato kuvamia Mashamba na Makazi ya Wakulima wa Kata ya Kasulo, Wilayani Ngara Mkoani Kagera, Wananchi wengi walioathirika...
My Take
Hakuna Nchi imewahi fanikiwa kupambana na rushwa Kwa 100%.
Ni ufisadi kwenda mbele 👇 👇
https://x.com/elonmusk/status/1888176132484211041?t=B6ACjCkp3ZcJ-bjPBv7gXw&s=19
Eti hao ndio...
Katika mijadala mingi kuhusu dini na imani, kuna mkanganyiko mkubwa kati ya neno mpagani na mtu asiyeamini kabisa uwepo wa Mungu (atheist). Nimetumia neno wapagani kwenye kichwa cha habari ili...
Ndio, hakuna kinachosaidika kwenda gaza directly, vitu vingi vinapita kwanza kwa hamas alafu wanapewa wananchi wachache kwa ajili ya ushuhuda wa bongomuvi.
Wanashirikiana katika kuua ideology ya...
Miaka kama 13 imepita wakati huo tukiwa Ilboru sekondari nilikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye tulikuwa tunaishi jirani kwenye jiji moja la kanda ya ziwa
Tulikuwa hatufahamiani kabla...
Ajali zinazotokea msimu wa sikukuu zimeendelea kuacha majonzi kwa Watanzania, baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu ofisi ya Msajili wa Hazina, Amos Nnko kufariki...
Wapendwa! Kwa masikitiko makubwa, Familia ya Banduka inasikitika kuwatangazia kifo cha Mhe. Nicodemus Manase Banduka kilichotokea ghafla jana, Ijumaa jioni, wakati akipatiwa matibabu katika...
Hiyo inaitwa danganya toto, tunawahamisha Wapalestina Kwa Muda, wanaenda Saudia ili tuwajengee kagaza kazuuuuuuri katamuuu kana maghorofa ya kunesanesa ,viwanja vikali , kagaza kama Paris vile ...
Huyu mpwa wangu tangu akiwa tumboni mimi ndo nilikuwa nimebeba majukumu ya sista (mtoto wa ma mkubwa) kumlea na kila kitu. Yaani hadi anafika umri huu kila kitu kinachohusiana na mahitaji yake...
Kiongozi wa jamii ya Somalia iliopo USA, Abdihakim Osman anadai Ilhan Omar alikiri Ilhan kuolewa na kaka yake, Ahmed Elmi, ili kupata nafasi ya kuendelea kuishi Marekani.
Osman: "Alisema...