Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Uwekezaji wa Bilioni 73 uwanja wa ndege wa mtwara umewezesha uwezo wa kiwanja hicho kufanya kazi saa 24 Uboreshaji na upanuzi wa kiwanja; Kwa kujenga njia ya kurukia ndege yenye urefu wa mita 2800...
0 Reactions
1 Replies
478 Views
Sekta binafsi ni moja ya sekta muhimu sana kwenye uchumi wa nchi, sekta binafsi imekuwa ikigusa makundi ya watu wa kila aina. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaipenda Sekta binafsi na ndio maana...
0 Reactions
0 Replies
271 Views
Wakuu, Kila mtu amepitia changamoto mbalimbali tangu ukuaji wake mpaka hapa alipo, Wengi wetu tumetokea katika familia masikini,changamoto hazikosekani Pengine sasa hivi wewe ni...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Umoja wa Waalimu Wasio na Ajira (NETO) wamefunguka sintofahamu ya ajira iliyopo kwa wahitimu kuanzia mwaka 2015 mpaka 2023. Soma: Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa moja kati ya sifa kubwa za kahawa ni kuchangamsha akili, huku akitoa ushuhuda wa yeye kuwa mtumiaji mzuri wa kinywaji...
3 Reactions
8 Replies
648 Views
Hili ni ombi kwa wanao husika tarehe mosi mwenzi wa tatu mwezi mtukufu wa ramadhani unaweza kuanza rasmi. 1. Mishahara ya watumishi itoke mapema ili waweze kupangilia bajeti ya mwezi mzima...
21 Reactions
184 Replies
5K Views
Hamjambo wote Wanahisa wa Vodacom. Nakumbuka Serikali yetu pendwa ilituhamasisha tuwekeze kwenye Kampuni ya Vodacom. Kiuhalisia Vodacom inafanya biashara sana na inapata faida kubwa. Kwa kweli...
5 Reactions
12 Replies
792 Views
  • Closed
Anonymous
Japo kila kukicha wananchi wa mtaa wa kanindo wanapambana kutatua changamoto ya maji ila mambo bado na hatima yao bado ni kizunguzungu. Licha ya kufatilia katika ofisi ya serikali ya mtaa na kata...
1 Reactions
0 Replies
257 Views
Serikali ya CCM imeamua kufanyia tangazo la jirani zetu wakenya kupiga marufuku watoto kuishi shuleni kuanzia darasa la nne. Sababu kuu wanayodai ni mmomonyoko wa maadili shule za bweni kuwa ni...
9 Reactions
162 Replies
21K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa walimu kuendelea kujiendeleza kielimu ili kuwasaidia wakati wa usaili. Prof. Mkenda ametoa wito huo Jumanne Februari 11...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Nilitaka kufahamu hawa wasomi wetu wanaofundisha na kufanya tafiti nchini hususani waliopo vyuo vikuu vya umma. Maslahi yao yapoje?
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Toka zelewinsky akatae kuingia mkataba wa hovyo na Marekani wa kuwakabidhi maeneo yenye madini ya earth mineral, Marekani ameigeuzia kibao Ukraine na kudai kuwa Ukraine ndiyo chanzo cha mtafaruku...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Wafilipi 3:5 Nalitahiriwa siku ya nane, ni mtu wa taifa la Israeli, wa kabila ya Benyamini, Mwebrania wa Waebrania, kwa habari ya...
1 Reactions
0 Replies
228 Views
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar Es Salaam(DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire ametoa wito kwa wenyeviti wa serikali za mitaa kutoka wilaya ya Kigamboni...
1 Reactions
1 Replies
264 Views
Ndugu zangu habari zenu Kuhusu haya yanayoendelea kwenye ajira za ualimu ni uozo mtupu ,kwanini nasema hivi ● Huwezi kupata mwalimu bora kwa kufanya mtihani wa kuchagua tena kwa dakika 40 Kwa...
1 Reactions
2 Replies
353 Views
𝗝𝗶𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗔𝗱𝗺𝗶𝗻 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗴𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗹𝗼𝗹𝗼𝘁𝗲 𝗹𝗮 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 Najua umeshawahi kujiuliza hivi inawezekana kuwa group Admin wa Kundi lolote la Whatsapp ? 🕯️Naam inawezekana japo sio 😁 rahisi kha...
7 Reactions
67 Replies
4K Views
Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana ajira na wenye ulemavu Patrobas Katambi amekemea tabia za watumishi wa umma kubagua watu wenye mahitaji maalum wakati wanapohitaji huduma kwenye ofsi...
0 Reactions
1 Replies
324 Views
Wasalaam, Wahenga hunena "Kimtokacho mtu kinywani ndicho kiujazacho moyo wake" kwa maneno yake ya jana kwa mtu mwenye kufanya tafakuri basi ni dhahiri shahiri yale wasemayo watu yana ukweli...
12 Reactions
34 Replies
1K Views
𝘄𝗮𝗸𝘂𝘂 𝗻𝗮𝘄𝗮𝘀𝗮𝗹𝗶𝗺𝘂 𝗸𝘄𝗮 𝗷𝗮𝗺𝗵𝘂𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝘂𝘂𝗻𝗴𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮. 𝗡𝗶𝗺𝗲𝗼𝗻𝗮 𝗺𝗮𝘁𝗮𝗻𝗴𝗮𝘇𝗼 𝘆𝗮 𝗯𝗶𝗮𝘀𝗵𝗮𝗿𝗮 𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺 𝗵𝗮𝘀𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗸𝘄𝗮 𝗯𝗮𝗵𝗮𝘁𝗶 𝗻𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗻𝗶𝗺𝗲𝗼𝗲𝗻𝗱𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗻𝗶𝗸𝗮𝘂𝗹𝗶𝘇𝗶𝗮 𝘂𝘁𝗮𝗿𝗮𝘁𝗶𝗯𝘂 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗶𝗽𝗮𝘁𝗮 𝘄𝗮𝗸𝗮𝗻𝗶𝗮𝗺𝗯𝗶𝗮 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮...
1 Reactions
4 Replies
299 Views
Kwa mnaotumia barabara hii asubuhi, tumeona msongamano mkubwa wa magari kila siku. Magari mengi yamehama toka kutumia barabara ya Bagamoyo na sasa watu wengi waendao makazini mjini CBD wanaitumia...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Back
Top Bottom