Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri, amelieleza Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuwa kuelekea miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wilaya hiyo imefanikiwa kupata ofisi...
Wasalaam
Tuliambiwa na waziri husika mradi wa Bonde la Mto msimbazi unaanza January 2025
Kwani tayari walikuwa wamesign mkataba na world bank. Lkn mpaka leo kimya
Labda tuwaulize wahusika...
Mtu anakuja kwako analia, kilio cha msibani. Anapiga magoti umkopeshe pesa. Unamkopesha kwa moyo safi kabisa. Anaondoka kwa shangwe utafikiri bwana arusi kaoa. Muda mliopatana wa kulipa deni...
Kuna degree Tanzania hamna ila zina soko sana duniani, vijana wa PCM zinawafaa.
Wazazi, mkiwa na pesa na mkiwa na watoto wazuri waliofaulu vizuri PCM pelekeni Ulaya au Marekani wakasome degree za...
picha kwa hisani ya Masoud Kipanya,toka mtandaoni!
👉🏾Kwani toka lini bodaboda hasa katika jiji la Dar Es Salaam ,mkapata exceptions kwenye mataa na junction mbalimbali hasa taa za barabarani...
Unampeleka mkeo mjamzimto hospitali ama zahanati unakutana na doctor wa kiume ndo ampime na ikibidi mpaka kumzalisha anamzalisha.
Yaani inakuwaje kuwaje anafunua sehemu ile na kuangalia kama...
𝗪𝗮𝗻𝗮𝘀𝗮𝘆𝗮𝗻𝘀𝗶 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘁𝗮𝗯𝗶𝗿𝗶 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗦𝗮𝘆𝗮𝗿𝗶 𝗬𝗲𝘁𝘂 𝗛𝗲𝘄𝗮 𝘆𝗮 𝗼𝗸𝘀𝗶𝗷𝗲𝗻𝗶 𝗶𝗻𝗮𝗸𝗮𝗿𝗶𝗯𝗶𝗮 𝗸𝘂𝗶𝘀𝗵𝗮
Kuna utafiti umefanywa na chuo kikuu Cha Toho wakishirikiana na Wanasayansi toka Nasa wametabiri viwango vya Hewa ya...
Kama unayajua piga kimya.
Kama huyajui haya hapa:-
Mambo 7 muhimu kuhusu Aircraft Carrier ya Marekani:
Idadi ya Waajiriwa – Kila aircraft carrier ya Marekani ina wastani wa 5,000 – 6,000...
Ilianza Bitcoin enzi hizo sarafu po chini sana watu na fursa wakaruka nayo... Sasa hivi sarafu haishikiki walioiwahi enzi hizo wanakula kuku kwa mrija.
Ikaja binance nakumbuka 2017 late yake...
Ndugu wanajukwaa, nawasalimu kwa jina la Mungu baba muumba wa Dunia na Tanzania yetu na wake.
Napenda kuwashirikisha kuwa inshallah katika umri wa miaka 62 ninampango wa kuanzisha chama tanzu...
Ni kama miezi kadhaa naona mtandao wa vodacom unazingua kwenye kupiga simu kawaida na internet.
Huko kwenye internet ndiyo utakuta ina load mwaka hadi MB zinakata.
Najiuliza hili tatizo ni...
Watu wengi hufunga TV ukutani kwa urefu wa kimo kikubwa sana zaidi ya mita Moja na ushee, yaani unakaa sebuleni utafika uko bar au lodge, kuangalia TV nimpaka uinue shingo juu au ulale kwenye mto...
NENO LA LEO
✓ Tendeni haki kwa wanyonge na walio chini yenu...
✓ Wasaidieni masikini na wenye uhitaji...
✓ Msijaribu kuchelewesha riziki za wenzenu...
✓ Walindeni watoto msiwadhuru wala...
Mfanyabiashara, Novita Shirima (49) na dereva, Justine Mbise (29) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro wakikabiliwa na mashtaka sita, ikiwemo kumiliki kemikali...
Wakuu,
Hivi hii mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya kuna shida gani?
Mbona kila siku maambukizi yako huku tu?
Akiwa anazungumza hivi karibuni ambaye ni Naibu Waziri-Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera Bunge...
Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani Nzega kuwakamatwa Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliovamia eneo la Machimbo ya dhahabu ya kikundi cha Wanawake...
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amelishauri Shirika la Reli Tanzania (TRC) kushughulikia changamoto zilizojitokeza katika ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam–Dodoma ili zisijirudie...
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameututaka uongozi wa TRC Dodoma kuongeza mashine za ukaguzi wa risiti za malipo kwa abiria na kutatua kero ya msongamano wa abiria pindi wanapotoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.