Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna taarifa za takwimu zilisambaa mwezi February, 2025 kuwa kundi la vijana ndio lenye idadi kubwa katika idadi ya watu Tanzania. Baada ya kusikia hizo taarifa machozi yalinitoka hasa nikiangalia...
2 Reactions
3 Replies
301 Views
Naomba msaada wenu namna ya Kupata pesa kutokana na kuwa na acc. Ya TikTok pia umuhimu wa live chat.
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Sikiliza upate kuelewa na tafakari kwa umakini sana kabla ya kuchukua hatua.
1 Reactions
5 Replies
352 Views
TUME ya Ulinzi wa Taarifa (PDPC), imesema kuwa unapokwenda nyumba ya kulala wageni hairuhusiwi kuandika ulikotoka na unakokwenda kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka sheria ya taarifa binafsi...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Ajira mpya utumishi wa mahakama mkoa wa iringa hatujalipwa fedha za kujikimu mpaka sasa.
0 Reactions
11 Replies
718 Views
Wanaume kuvaa 1. SKETI 2. HERENI 3. GAUNI Huwa mna maana gani? Uzi tayari.
3 Reactions
21 Replies
2K Views
MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameagiza wezi walioiba nguzo 147 katika uwanja wa ndege Moshi pamoja na fensi waya kurejesha mara moja na kudai kuwa serikali haitafumbia macho wizi huo...
1 Reactions
16 Replies
702 Views
Ni zile jamii za Wafugaji wa kuhama hama. Hawana makazi maalumu. Leo wako mbeya kwesho wako Tanga. Natoa wito kwa serikali, japo kila mtu ana haki ya kulinda, kutumza na kuishi kwa mujibu wa...
3 Reactions
16 Replies
662 Views
Prof Peter Erlinder ambaye ni wakili anayewatetea watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 ameomba kuwasilisha utetezi wake kwa niaba ya wateja wake kupitia picha za video yaani...
9 Reactions
46 Replies
7K Views
Haujachelewa 1. Kutubu na kuamua kuacha dhambi zinazokutesa kila siku 2. Kuanza kusave pesa hiyo ndogo unayoipata 3. Kuanza upya mahusiano yako ya kiimani, kimapenzi 4. Kufanya ndoto zako kuwa...
42 Reactions
102 Replies
3K Views
Tunapoelekea katika mwezi mtukufu wa Ramadhan, hali inazidi kuwa ya kushangaza. Jana na leo, hoteli na nyumba za kulala wageni zimejaa – lakini si kwa ajili ya ibada au tafakari, bali kwa matendo...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
As received! TANGAZO: KAMA WEWE AU NDUGU YAKO ALISOMA TEGETA HIGH SCHOOL NA HAJACHUKUA VYETI AU LEAVING...AENDE KUCHUKUA MWISHO MWEZI WA NNE.BAADA YA APO UTAPATA USUMBUFU SANA KWANI SHULE...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Aiseeeh, kichaa kaja tu dukani sikumbuki vurugu yoyote aliofanya despite ile kutokuwa comfortable na ujio wake Hii inaweza kuwa inamaanisha nini. Maana napitia kipindi kigumu sana katika...
2 Reactions
8 Replies
581 Views
Eneo kubwa linalo milikiwa na Serikali lililopo Kwembe/luguruni lilitolewa au lilitengwa na Serikali ya awamu ya 5 kwajili ya ujenzi wa Arena baada ya Mbunge wa eneo hilo kuliomba. sasa leo hii...
3 Reactions
5 Replies
488 Views
Dkt. Bryson Mcharo, Daktari bingwa wa mifupa kwa watoto- MOI Taasisi ya Tiba ya Mifupa na ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha kambi maalum ya upasuaji wa kurekebisha kibiongo ambapo watoto 13...
0 Reactions
2 Replies
300 Views
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), imesema washereheshaji wanaosambaza picha za washiriki wa sherehe mbalimbali wanapaswa kuwa makini kwa kuwa wanavunja sheria kwa kuwa hawajapata idhini ya...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii inaitwa "Enlightenment stage "Ambayo nimeifikia sasa. Dunia ipo katika mfumo wa duality (uwili-uwili) kuwa there is God and devil Good and evil dark and light and etc Sasa katika Ku-hold...
1 Reactions
10 Replies
564 Views
Aiseee kulala lala mchana jau sana leo nikiwa nimelala nikaota nimepigiwa simu na kaka yangu ninayemfuatia kuzaliwa akidai tumefiwa na mama yetu mkubwa japo hatruna mama mzazi wala mama wakubwa...
1 Reactions
12 Replies
568 Views
Hapa nataka watu wajifunze Uisilamu. Wanausikia sikia tu. Ila hawaufahamu. Sasa ni muda wa kuufahamu. Nasisitiza. Hatutaki matusi na kashfa kwa uzi huu. Ni uzi wa kutoa Elimu naomba moderators...
0 Reactions
7 Replies
341 Views
Back
Top Bottom