Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dini ya Kikristo Ulaya inazidi kuwa katika hali mbaya. Uislam unashamiri, sisemi uislam ni jambo baya. Hapa kwetu viongozi wa siasa wanaweza kufanya chochote na imani za watu. Kuna tamasha...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Ukiacha tabia za utekaji zilizoibuka nchini hivi karibuni na kasoro zinginezo ambazo zimekuwepo kwa miaka mingi, Tanzania bado ni kati ya nchi ambayo naamini Raia wa Congo wanatamani nchi yao...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Toka nimehamia hapa nimeshaenda butcher zote ila kila sehemu mizani yao imechezeshwa. Kila sehemu nilikuwa nikienda nikiona nyama pungufu nilikuwa naondoka. Ila leo nimeenda buchani mwenye bucha...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu Jmosi inaendaje? Tanzania tumebarikiwa kuwa na makabila mengi yenye tamaduni mbalimbali ambazo kiasi chake zinaanza kupotea kutokana na miingiliano na wageni pamoja na sababu nyinginkede...
1 Reactions
0 Replies
727 Views
Bado huyu jamaa ambaye anasota na kesi ya mauwaji ya mke wake. Lakini kila wakati ananiacha mdowo wazi na maswali mengi kwa namna anavyojibu na kuikwepa kesi yake hii. Leo kasema mengine Alidai...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Muujiza au miraculous/miracle hii ni nguvu ya nuru isiyo ya kawaida na utumiaji wa nguvu kwa njia ya kushangaza ni istilahi chanya ya nguvu itendayo nje ya maarifa ya kawaida ya Mwanadamu...
1 Reactions
1 Replies
612 Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inapenda kuutaarifu Umma kuwa haijafanya mazungumzo wala kutoa maelekezo yoyote ya kupewa leseni au kuruhusiwa kwa kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL), tofauti...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu namtanguliza salamu nadhani mko salama kabsa, katika shughuli zangu na kutokana na mazingira ninayo ishi huduma zangu za kimawasiliano na kimtandao hua matumia mtandao wa Tigo (yas) sasa...
2 Reactions
6 Replies
646 Views
Habarini za weekend ndugu zangu? Hopefully mko poa Leo nipo hapa kuelezea kuhusu uchunguzi wangu kwanini WASANII wetu wakubwa kama DIAMOND, HARMONIZE na wengineo HAWAPATI deal izo za companies...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Mwanza. Shahidi wa 21 katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa kamanda wa polisi mkoani Mwanza, Liberatus Barlow ameieleza Mahakama mshtakiwa alivyomueleza namna alivyompiga risasi kamanda huyo...
9 Reactions
79 Replies
11K Views
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amesema mwezi haujaonekana leo Ijumaa February 28,2025 na hivyo amewatangazia Waislamu wote kwamba mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Nakumbuka enzi hizo kwenda Disco Toto Tembo Beach kila sikukuu za Mwisho wa mwaka, Wasanii wakija Karume Stadium tunasubiria mda wa fungulia mbwa ndipo tuingie wakati kiingilio ni 1000 tu watoto...
23 Reactions
423 Replies
54K Views
Kwa sasa hawa watu watakuwa washapata funzo kwa ukraine kuwa marekani ni wa kumkimbia na ni muda wa kuanza kujipanga kibabe maana wakija kuvamiwa hakuna cha bure Marekani alimzuia...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Habari za asubuhi, Samahani mimi ni mgeni humu japokuwa nimekuwa mfuatiliaji wa habari mbalimbali za JamiiForums. nimeamua kuwa mwanafamilia ili na mimi niwe nachangia hoja, Leo nitaomba...
2 Reactions
15 Replies
559 Views
Ikiwa ni siku chache baada ya kuripotiwa kutoweka kwa Kijana Deusdedith Soka ambaye ni Mwanachama wa Chadema mkazi wa Temeke Dar es Salaam pamoja na wenzake wawili, Wakili Paul Kisabo amefungua...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
Kama kuna abiria aliyetoka na treni ya saa kumi namoja jioni kwenda Moro kashafika na kaoga kapumzika huwezi amini hapa kivukoni watu wapo tokea saa 10 hamna magari Yaani abiria wa Moro kafika na...
21 Reactions
85 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema litaendelea kujikita katika kubaini na kuzuia uhalifu kabla haujatokea katika jamii pamoja na kupunguza matumizi ya nguvu kwa mujibu wa sheria. Hayo...
4 Reactions
12 Replies
786 Views
Wadau wa JF, heshima mbele! Tunapita mitaani, tunaona nyuso zenye tabasamu, lakini mioyo mizito kama kokoto. Tanzania ni uwanja wa mapambano, na kila mtu ana njia yake ya kujikwamua. Wapo...
22 Reactions
40 Replies
2K Views
Nakuja dar kwa ajili ya kupambania ndoto yangu ya uigizaji, nipeni code na ushauri wenu wadau.
1 Reactions
10 Replies
503 Views
Azam energy imepanda bei, kutoka 500/- ikaja 600/- Sasa imepanda bei maradufu mpaka 800/- Je, ipi sababu ya bei kupanda? Labda kodi imeongezeka, gharama za uzalishaji zimekuwa kubwa, kiburi na...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom