Ramadhan Mubarak
Baada ya kuimaliza mkoa wa pwani unaingia mkoa wa lindi kwa kuanza na wilaya ya kilwa
Safari ni ndefu kama masaa matatu hivi unaingia kwenye mji mkongwe, uliotawala amani na...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amewataka Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji kutekeleza majukumu yao kwa uzalendo, uadilifu na kujiepusha na vitendo vya rushwa ambavyo...
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kufurahishwa na mwitikio mkubwa wa watu wanaojitokeza kupata msaada wa kisheria kwenye Kampeni ya Mama Samia Jijini Arusha, akisema kampeni...
Usiombe uwe unatokea Posta unakuja Bunju asubuhi kuanzia saa moja yaani magari binafsi yanaendeshwa hovyo (utadhani wahusika wamevuta msuba kidogo) lakini pia wanapita njia zote kana kwamba nyie...
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt Saada Mkuya Salum amesema serikali itaendelea kuwachukulia hatua wafanyabiashara ambao sio waaminifu wanaoenda kinyume na sheria za kodi...
Kampuni ya Mawasiliano ya simu ya Vodacom imezindua duka jipya la huduma kwa wateja kata ya Nungwi, mkoa wa Kaskazini A, ikiwa ni hatua muhimu ya kutoa huduma bora za mawasiliano na bidhaa za...
Jua letu linachukua miaka milioni 250 ( 200 light years )kuzunguka Njia ya Milky Way.
Kwa ujumla, Njia ya Milky Way ina upana wa takribani miaka ya mwanga 100,000 na upana wa miaka ya mwanga...
Hivi karibuni nilitaka kufungua website kwaajili ya kufanya project yangu fulani. hivyo niliamua kununua domain na hosting kwaajili ya project yangu.
Nikaanza kufanya research juu ya kampuni...
Kama unataka kulala njaa tegemea pesa ambayo ipo kwenye mfuko wa mtu mwingine.
Usiache jua lizame kwa kuendelea kusubiri hela ambayo umeahidiwa kupitia kauli zifuatazo;
(a) "Usijali leo uhakika...
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi
TAARIFA KWA UMMA
MWENYEKITI Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi anapenda kuuhakikishia umma kwamba hana uhusiano wowote...
Unaweza usiamini lakini ndivyo hali ilivyo katika eneo moja jijini Dar es Salaam, ambalo limegeuzwa kuwa soko la wazi la kufanyia vitendo vya ngono hadharani. Eneo hilo lililopo Mbagala Zakhem...
Wanabodi, Salaam..
Nimewiwa kuja na bandiko hili usiku wa leo kutokana na changamoto nilizokutana nazo barabarani.
Kila mtu anafahamu kwa sasa nchi yetu imepiga hatua kwa namna fulani katika...
huwa napenda kufanya uchunguzi hasa wa tiba za asili, miaka ya nyuma brother Mshana Jr alinipa funzo katika matumizi ya chumvi ya mawe niliitumia tiba hii kwa muda wa mwaka mzima japo kidogo...
Kuna uhusiano gani wa mtoto kuumwa umwa mara achemke mara infections yaani taflani nakosa raha mkienda hospital hana ugonjwa mtoto anakaribia mwaka kuna mtu kanambia eti nimpeleke nyumbani...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18 kutoka nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za...
Habari za jumapili kwa mapenzi makubwa kwa taifa langu naomba taarifa hii imfikie mwenye uwezo wa kuzuia chakula kuuzwa Nnje ya nchi
Kutokana na majirani zetu ususani Kenya na Congo kwa kipindi...
Mwanamke hata akienda sokoni na shilingi elfu moja kununua sindano ya kushonea nguo, atazunguka soko lote na kuuliza bei ya kila bidhaa.
"Hili dela ni bei gani?"
"Hivi viatu ni bei gani?"
"Hili...
Wakuu
Joseph Mbilinyi Mwenyekiti wa kitongoji cha Dombwela wilayani Makete mkoani Njombe baada ya wizki kukithiri na kufanikiwa kumkamata mmoja ya watuhumiwa amemfikisha mkutanoni na kuwataka...
Japo alikuwa CCM wenye idadi kubwa ya chawa kupitia mapambio na kwaya Zabron singers ila kuna sehemu alikuwa na yake ambayo naona wanamsifu mtu mwengine kuwa ni yake.
Kitendo cha kuivunja Dar es...