Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Emmanuel Charles (25) mkazi wa wilaya ya Arumeru kwa tuhuma za mauaji ya binti mmoja (17) ambaye jina lake limehifadhiwa mkazi wa...
2 Reactions
10 Replies
906 Views
Nimetembea karibia mikoa yote Tanzania,hali ni ile ile,ukosefu wa mvua. Mikoa yenye mvua za wastani nchini ni Dar,Kigoma,Kagera,pamoja na Lukwa,kingine ni tia maji tia maji tu. Kwa upande wa...
4 Reactions
15 Replies
937 Views
Hivi ni baadhi ya vitu vilishawai kufanya nikajua kabisa hizi ni stress zinanisumbua, na wewe utaongeza ya kwako hapo chini kwenye comments: 1. Nilikuwa naongea na simu, mara ghafla nikaanza...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Dunia yenye vita, Dunia yenye kila aina ya majanga ya asili(tsunami, tetemeko n.k),Dunia yenye vichaa, Dunia yenye ukatili wa kila namna, Dunia yenye vipofu, Dunia yenye ajali, Dunia inayobagua...
4 Reactions
21 Replies
792 Views
Spika Wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson amesema licha ya kuwepo kwa Juhudi mbalimbali za kuwainua Wanawake Katika Nyanja Mbalimbali...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwamba LBL ilikua inahamisha hizo Pesa?. Kwamba hizo Pesa zipo kwenye akaunti za LBL lakini BRELA wameamua kuzifuta Kampuni hizo ,Ili Sasa wao ndio wazishikilie hizo Pesa?
2 Reactions
19 Replies
933 Views
Tunashuhudia harakati na jithada za kumwezesha mwanamke duniani kote huku Tanzania ikiwemo. Sasa tunashuhudia athari chanya na hasi za kampeni ya kumwezesha mwanamke katika nyanja mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
326 Views
Habarini za jioni wana JamiiForums, husika na kichwa tajwa hapo juu. Leo nilikuwa na safari ya kivukoni/posta, nikaona ni heri niende mbezi nikapande mwendokasi. Nilifika mbezi mida ya saa9 hivi...
7 Reactions
11 Replies
961 Views
Mpaka sasa usajili wa nyota wa kimataifa wa Ghana na Singida Black Stars Jonathan Sowah ndio umelipa kwa asilimia kubwa zaidi,Jonathan Sowah amecheza michezo sita [7] amefunga magoli [7] hii...
1 Reactions
0 Replies
409 Views
Poleni kwa mfungo wa ramadhan na kwaresma, safari hii swaumu zimeongozana, sasa ndg zangu nina swali naomba tulijadili kwa mapana yake: Ni hivi kila ifikapo mfungo wa ramadhan taasisi mbalimbali...
1 Reactions
8 Replies
656 Views
WANAWAKE WANAWEZA, TANROADS YAHIMIZA HAKI, USAWA NA UWEZESHAJI KATIKA UHANDISI Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Kilimanjaro, Mhandisi Motta Kyando, ameonesha furaha yake...
1 Reactions
2 Replies
288 Views
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) leo Machi 6, 2025 amezungumza na wanawake katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya...
0 Reactions
1 Replies
298 Views
Hellow! Katika Taasisi mbalimbali zitoazo huduma za kibenki na Taasisi zingine za Serikali na binafsi, watumishi huvaa vitambulisho shingoni vyenye Majina Yao Ili kumpa nafasi mteja Kutoa...
1 Reactions
14 Replies
613 Views
Kwa mujibu wa gazeti hili linadai kuwa ongezeko la Wanyapori limeletwa na Royal Tour. Kwamba Simba, Kasongo, Fisi na wanyama wengine walipomuona tu mama wakaanza kuzaliana mfululizo? Hivi Machawa...
1 Reactions
7 Replies
406 Views
Ndio, maana kimaana ya kugha ya kiswahili 'kafiri' ni mtu asiyeamini. Na hii ipo hasa kwenye hizi dini kubwa mbili duniani. Eti we muislam,mtu ambaye hakuzuii kujifuza dini yako,hakuzuii kufanya...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Huu utafiti umetokana na mada za ubunifu nilizopost mwezi uliopita kwenye majukwaa mbalimbali Malighafi zitokanazo na miti na mazao yake zimejitokeza karibia kila mahali Hapa Nita post bunifu...
3 Reactions
144 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Kuna video itambea sasa hivi ikionesha kiwango cha maji kuwa chini sana kuliko kawaida! Nina imani hili limeshawafikia Wizara ya Maji, DAWASA, ukweli ni upi? Hii ndio hali halisi ya...
1 Reactions
22 Replies
914 Views
Kutokana na kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa watuhumiwa wawili wanaodaiwa kufanya udanganyifu kuwa wao ni maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuwa wanao uwezo wa kusamehe madeni ya...
2 Reactions
5 Replies
627 Views
Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya, ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa na vitanda 1,757 kutoka 1,435 vya sasa ambapo...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi...
5 Reactions
66 Replies
3K Views
Back
Top Bottom