Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ushirikina asili yake ni uharibifu, inakupa 35% huku ikichukua kwako 65%, ndio maana wazungu waliwachoma na kuwanyonga walioshiriki shirki na wakaikumbatia tasnia mpya ilioitwa teknolojia maana...
22 Reactions
46 Replies
1K Views
Mtu asikudanganye kwamba ukienda kwa wachawi au waganga utapata dawa ya kuwa tajiri. Watu wameenda huko na kutapeliwa kwamba wakiwatoa kafara watoto au wazazi wao ndio watapewa dawa ya utajiri...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 2025 Twende pamoja na mambo haya matatu; 1. Afya 2. PESA 3. FAMILIA 1. AFYA a) Kula chakula Chenye lishe bora kwa kuzingatia Umri wako. b) kunywa Maji ya...
2 Reactions
1 Replies
488 Views
Hivi ni watu kukosa akili ama ni nini? Au watu wameshaona fursa kwenye haya makanisa? Lakini hata kama umeamua kunyaka fursa uwe tajiri kama wachungaji na manabii wengine, ila ndio uje karibu...
7 Reactions
56 Replies
2K Views
Wakuu hii ni thread ya kujua machimbo ya wachina nguo viatu vyombo mashuka Kila kitu yaani mchina alipo na sisi tupo tumechoka kupigwa Kwa kigezo Cha kuitwa washamba hivyo washamba Sasa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza kabisa niikumbushe serikali kwamba swala la tatizo la ajira nchi hii sio swala la ujuzi bali ni swala la DEMAND AND SUPPLY wale ambao wanaosemwa hawana ujuzi nadhani nimeeleweka kiasi...
1 Reactions
1 Replies
450 Views
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Alhaj Jabir Shekimweri amewataka wananchi wa maeneo mbalimbali ya hapa Dodoma kushiriki katika Kliniki inayotoa matibabu bure katika kituo cha Afya Cha Chang'ombe hii leo...
2 Reactions
3 Replies
294 Views
Mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji la Kenya (KBC) Fredrick Parsayo, amefariki dunia ghafla leo Ijumaa, Machi 21, akiwa nyumbani kwake Kinoo, Eneo Bunge la Kikuyu. Kwa mujibu wa taarifa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wananchi wa kijiji cha manga kata ya funta halmashauri wilaya ya bumbuli wamemshukuru mbunge wa jimbo hilo january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji iliyokuwa ikiwakabili Hayo yamejiri...
1 Reactions
2 Replies
367 Views
Wakuu, Katika uzi wangu uliopita niliuliza wazazi wapo kundi gani kwenye malezi ya watoto na digitali, kama wataruhusu watoto kutumia simu kwa kuwapo mwongozo au kuwa wakoloni na kuacha wakikua...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Igweeee wananzengo, Leo napenda ku-share uzoefu wangu na moja ya kampuni binafsi za bima ya afya hapa Tanzania ambayo walikataa kabisa kulipia matibabu ya mke wangu, ikiwemo upasuaji, huku...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Option 1: Akuache uwe hai ila uteseke? Option 2; Achukue uhai ukapumzike? Mimi ntaenda na option ya pili, wewe je?
0 Reactions
1 Replies
296 Views
Iko hivi! Kuna taarifa ya mti uliokuwa umeanguka kuonekana umesimama tena baada ya kukatwa matawi huko geita. Tukio hili wengi wamelihusisha na imani mbalimbali za dini zao! Lakini kiuhalisia...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Rais wa Jamuhuri wa muunngano wa Tanzania Mh Dkt Samia Suluhu Hassani anatarajiwa kuzindua mradi wa maji wa Mwanga,Same,Korogwe wenye thamani ya zaidi ya Bilion 300 utakao wanufaisha wakazi wa...
0 Reactions
2 Replies
452 Views
Wakuu, mnamo mwezi wa 7 mwaka 2023 nilipata fursa ya kutembelea Australia na baadaye New Zealand, kwakifupi NILIKATA TAMAA. 1. Hakuna namna Tanzania tunaweza kuwafikia hata wakiamua kutusubiri...
75 Reactions
160 Replies
9K Views
nini kifanyike na shule za vijijini zipate waalimu wa kutosha kama za mijini?
4 Reactions
68 Replies
2K Views
Njama ya Siri: Je, Elites Huficha Alama za Emojis Kama Ishara za Kipepo? Kuna nadharia ya njama inayodai kuwa emojis si tu alama za kawaida za mawasiliano bali zina maana fiche zinazohusiana na...
1 Reactions
4 Replies
552 Views
SANDUKU LA AGANO Nadhani ushawahi kusikia neno Sanduku la Agano, lakini huenda hujui hasa ni kitu gani. Sasa leo wacha nikujulishe kama ifuatavyo: Sanduku la Agano lilikuwa ni sanduku takatifu...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Tanzania kuna fursa nyingi ila watu wenyewe ni kama penye miti hakuna wajenzi. Wafanyabiashara wengi wa tanzania ufanyabiashara ili mradi wanafanya tu. Baada ya kuangalia wenzetu wanavyo weza...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Kauli ya Chalamila kwenye wiki ya Maji '"Mwaka huu 2025 tunaamini ni mwaka wa uchaguzi, Watanzania wenyewe wataendelea kupima, kwa sababu Dar es Salaam ingelikosa maji makelele yangekuwa ni...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…