Kumekuwa na wimbi kubwa la mahubiri, imani potofu chini ya mwamvuli wa ukristo kiasi cha imani hali ya kikristo kuonekana ni uongo, utapeli, uzushi nk. Athari zake zimekuwa mbaya kwa waumini wengi...
Ukimuangalia estim akijenga gorofa na ukimuona engineer mwingine akijenga gorofa utaona kuna tofauti moja kubwa sana huyu kwenye zege anatumia mbao ilihali mwingine anatumia chuma (formwork na...
Sijajua kwa hakika yule Nahodha ama captain alikuwa anajisikiaje kwenye nafsi. Lakini jambo moja naloweza kusema nimeona Yeye na Wenzake wakiwa na Furaha isiyo na kifani.
Huku wakiteta jambo na...
Mkazi wa Kijiji cha Lubungo Kata ya Mikese wilayani Morogoro Mzee Yahaya Yahaya, anayekadiriwa kuwa na Umri wa Miaka 70 hadi 80, ameuawa kwa kucharangwa mapanga na watu wanaodaiwa kuwa ni...
Finland imeorodheshwa kuwa nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa nane mfululizo.
Wataalamu wanaamini kuwa ukaribu wa Wafinlandi na asili pamoja na upatikanaji wa mfumo mzuri wa ustawi...
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Maryprisca Mahundi, ametoa siku 14 kwa Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL) kuhakikisha linaongeza nguvu ya mtandao wa mawasiliano ya simu...
Katika historia yote ya falsafa, dini, na tafakari za kiroho, dhana ya uhusiano kati ya mwanadamu na Mungu imekuwa ikiibua maswali magumu. Mwanadamu anahisi hitaji la maana, mwelekeo, na mwongozo...
Habari za wakati kama huu wanajamvi!!!
Kama inavyosomeka hapo juu hayo ni majibu ya kijana mmoja kutoka kilimanjaro ambae ana umri wa miaka 14 akifanya kaz ya kuuza duka moja hapa jijini Dar...
Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo, jina lipitalo majina yote,
Leo ningependa kuwashirikisha juu ya watumishi wa Mungu, Wachungaji/wahubiri injili ambao nimetokea kuwaelewa sana.
Wapo wengi...
Tanzania hatuna indoor arena ya kubeba kati ya watu elfu 15 mpaka 20 hii inafanya kufanya event nyingi kuwa changamoto kwa Tanzania
Kuwepo kwa indoor arena kutavutia events nyingi kufanyikia...
Amani iwe nanyi
Angalizo: Kabla ya yote Enyi ndugu zangu napenda kutoa angalizo kwamba Yatakayoongelewa hapa ni kwa lengo la kujifunza na si katika muktadha wa maana yoyote nyingine..
Kama mada...
Habari wanaJF, Kuna haja ya kufanya mabadiliko katika jeshi la uhamiaji, Mara nyingi nmekua naona wanafanya ukaguzi kwenye mabasi tu kama Kuna raia wa kigeni lakini usiku huwa hawakagui.
Kuna...
Wasalaam
Vyama vya upinzani msiwe kama manabii wa utapeli waliojazana mijini
Mtaji wa CCM ni ujinga wa watu wengi walio vijijini...huku mjini mnakubalika sana...ushahidi ni kabla ya Mhe...
Serikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati
Ambapo moja kwa moja student anaenda...
Pombe kali zinazotengenezwa yani kemikali yake inatumika kwenye matumizi tofauti japo serikali inapata faida kupitia kodi.
Kemikali hiyo inatumika kwenye sabuni zote,madawa mbalimbali na n.k...
Katika wakati wa majaribu na changamoto, mshikamano wa Wakenya umejidhihirisha kwa nguvu na uzuri wa kipekee. Kesi ya Margaret Nduta Macharia, Mkenya aliyekamatwa nchini Vietnam kwa tuhuma za...
JINSI YA KUITAMBUA NDOTO ILIYOBEBA KUSUDI LA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO
Bwana Yesu asifiwe,
Moja ya maswali ambayo watu wengi wanashindwa kuyajibu ni “nini kusudi la Mungu katika maisha yao?”...
Ushawahi kujiuliza nini hutokea unapomuamini Mungu kwa asilimia mia moja? Ngoja nikupe stori moja hivi.
Tunarudi katika karne ya 19 huko Bristol nchini Uingereza kulikuwa na mwanaume aliyeitwa...
Upo usemi wa Kiingereza usemao, " If you can't help them, at least don't hurt them".
Haiingii akilini mtu kasoma au kasomeshwa hadi chuo kikuu tena kwa gharama kubwa sana. Kaja mtaani akiwa na...