Wakuu Tumeambiwa Mkurugenzi wa Shirika La Umeme Tanesco atazungumza Na Waandishi wa habari Kuelezea Kuhusu Mambo yaliyofanyika na yatakayofanyika Kwenye Shirika La Umeme
Wamesema Muda ni saa 4:00...
Wakazi zaidi ya 300 wa kitongoji cha Makei, kijiji cha Bangalala kata ya Bangala wilayani Same wameondokana na changamoto ya ukosefu wa maji safi hali ambayo imewatesa kwa muda zaidi ya miaka 20...
Tarehe 20 Machi, Adnan Mpyagila, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nachingwea, amefanya ziara ya kutembelea miradi ya ujenzi wa shule za sekondari. Ameangalia ujenzi wa Shule ya Sekondari Kata Mtua...
Hello habari wadau, nimekuja humu kushare na nyie kifu kimoja juu ya aina ya watu wanaoboa kama huyu mtu ambaye hawezi kukaa kimya na mambo yake;- yaan akiwa na jambo lake lazima akuambie muda...
Kama kawaida nikatia chimbo Uswahilini nyuma ya JNIA almaarufu airport.
Aisee watu wamechakaa hatari. Vijana kama wazee, wamama na wadada wamekaa vibarazani asubuhi tu ukipita macho yao yote...
Tarehe ya Harambee:
Jumanne, 25.3.2025
Mahali:
Kitongoji cha Kamatondo, Kijijini Nyambono, Kata ya Nyambono
Washiriki wa Harambee:
*Wanakijiji
*Wazaliwa wa Kijiji cha Nyambono
*Viongozi...
Wazazi na walezi katika Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwekeza kwenye elimu ya watoto wao ili kuandaa Watumishi bora wa baadaye watakaoisaidia jamii na taifa...
Kuna taarifa za walimu huko mkoani Kilimanjaro kutakiwa na wazazi waondoke shuleni hapo wakidai sio wazawa ,wazazi wanawatamkia kabisa kuwa wanataka Wachaga wenzao na sasa walimu hao wameomba...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camilius Wambura, ametoa msaada wa Bajaji kwa kijana Masima Nyau kwa ajili ya kujiendeleza kiuchumi baada kujeruhiwa mguuni wakati akitekeleza majukumu yake ya...
Wakuu, nipo kwenye gari la kutokea Kawe kuelekea Mbezi via Goba road.
Tumefika stendi ya Mbezi Beach kibao cha shule kwa mbali naona kijiwe cha boda boda wametundika tangazo kwa juu kinosemaka...
Katika maisha nimepata kujifunza kuwa dini haijaweza kumfanya mtu kuwa huru kifikra na kimaamuzi. Kwa mfano; kuna dini zinamakatazo mengi katika mambo mbalimbali na wenye hizo dini wanaweza...
Maeneo 111 katika mikoa 24 yenye makazi duni na yanayoendelezwa kiholela nchini, yanaanza kufanyiwa maboresho kupitia upangaji upya wa miji, huku Serikali ikiahidi kushirikisha wananchi kwa karibu...
Nimekuwa nikijiuliza maswali kuhusu utaratibu wa maegesho ya SGR kwenye stations zote kama mapato yatokanayo na ada ya maegesho yanaenda wapi?
Kama ni mapato ya serikali kwanini yasilipwe kwa...
Tunaelezwa katika maandiko ya Injili kwamba siku Yesu alipofufuka wanawake watatu walienda kaburini wakiwa na marashi/manukato ili waupake mwili wa Yesu.
Je, kweli kihistoria hii ilikuwa desturi...
DODOMA:
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya...
Mkaguzi kata ya Kisangura Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Genuine Kimario amepokea shukrani kutoka kwa mwananchi wa kata yake Emmanuel Bhoke Jackson baada ya...