co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,569
- 2,584
Hello habari wadau, nimekuja humu kushare na nyie kifu kimoja juu ya aina ya watu wanaoboa kama huyu mtu ambaye hawezi kukaa kimya na mambo yake;- yaan akiwa na jambo lake lazima akuambie muda mwingine huwa sipendi kutaka kujua mambo yake ila utashangaa tu huyo anaanza kukuhadithia, vingine unakuta ni vitu ambavyo mimi sina so huwa sijisikii vizur kuniambia jambo ambalo mimi nimepambana kulipata. Sina roho mbaya ila naona mtu huyu kazidi