Penda nchi yako! Jivunie nchi yako! Thamini nchi yako! Tangaza nchi yako! Kuwa mzalendo wa nchi yako!
Kauli kama hizi si ngeni midomoni mwa wanasiasa na viongozi barani Afrika wanaokula kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma timu ya wanasheria watakaokuwa Mkoani Arusha kwa siku kumi kuanzia Ijumaa Machi 28, 2025 kwaajili ya kusikiliza na kutatua...
Wananchi zaidi ya Thelathini wamedai kutapeliwa zaidi ya Milioni Mia tano (500) na Mfanyabiashara Tumaini Efata Ulio Makazi wa Mbezi Shule Jijini Dar es Salaam kupitia kampuni yake ya "VICOBA...
Wakuu
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewahimiza wakina mama wa kikundi cha wanawake na Samia Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanajifunza kwa makini na kuwa tayari kupokea mafunzo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amemtaka Meneja wa Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Pwani, Mhandisi Leopold Runji, kuhakikisha wakandarasi...
aada ya uwepo wa taarifa kuwa waalimu wanaofundisha shule ya Msingi Nkweshoo iliyoko Kijiji cha Nkuu Ndoo, Kata ya Machame Mashariki, Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, kuwa wameandika barua ya kuomba...
Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wameonyesha juhudi za kujitolea kujenga kituo cha polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kitakacho saidia kudhibiti matukio ya uhalifu...
Ubalozi wa uturuki umekuwa ukiwanyima watu visa bila kuwaeleza sababu za msingi za kukosa visa hata kama una documents zote bado unaweza ukakosa visa.
Hii sio hali ya kawaida ukizingatia visa zao...
Stendi ya Mabasi Nyegezi ni moja ya wateja wakubwa wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) na Mamlaka imeweka utaratibu wa kufanya ukaguzi wa huduma na miundombinu yake mara...
Msimamizi wa Barabara ya Iringa Kilolo Injinia Salumu Mwinuka amesema kuwa marekebisho yaliyotumika kukamilisha mradi wa barabara hiyo ya Iringa Kilolo ni zaidi ya Bilioni 60 kuanzia matengenezo...
Mungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu.
Ili matajiri waende mbinguni...
Katika mji wa Moshi, kumekuwa na hali inayotia wasiwasi kutokana na kuingia kwa malori mazito yenye uzito wa zaidi ya tani 10 hadi 40 katikati ya manispaa.
Hali hii imesababisha uharibifu mkubwa...
Sababu kubwa ya rasilimali za Tanzania kusimamiwa na Wageni ni kukithiri kwa tabia ya uhujumu na uharibifu unasosababisha Serikali isifikie malengo
Kumekuwa na malalamiko mitandaoni kuwa kiwanja...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema serikali inakamilisha ujenzi wa kivuko kilichogharimu shilingi bilioni nane, chenye uwezo wa kubeba zaidi ya abiria 800 na magari zaidi ya 20 kwa mara...
Habari wakuu,
Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations)...
Picha au video inaweza kudaiwa kurekodiwa sehemu tofauti na eneo halisi, jambo linaloweza kusababisha upotoshaji unaoweza kuibua taharuki katika jamii.
Ili kubaini Uhalisia wa eneo, chunguza...
Arusha, 22 Machi 2025 – Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Japheth Asunga (Mb), ambaye pia ni kiongozi wa msafara wa Kamati hiyo, ameongoza ziara ya...
Thread
Kwa miaka mingi sasa, watu wengi wameanza kulaumu vyakula kama wali, ugali, nyama, na kitimoto kuwa chanzo cha maradhi kama kisukari, presha, na saratani. Lakini je, ni kweli chakula...
Mfanyabiashara wa Kitanzania, Edhah Abdallah, kupitia kampuni yake Amsons Industries (K) Ltd, amefanikisha ununuzi wa asilimia 96.4 ya hisa milioni 362.96 za Bamburi Cement, kwa jumla ya KSh 23.2...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika hatua ya kujali na kuthamini makundi maalumu katika jamii, imetoa msaada wa mahitaji ya kibinadamu katika kituo cha Makao ya...