Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii itasaidia sana kuongeza uwakilishi wa wananchi katika vyombo vya maamuzi kitaifa na kusogeza huduma za kijamii kisiasa na kiuchmi karibu zaidi na walipo wananchi. Zaidi sana, itarahisisha...
0 Reactions
4 Replies
483 Views
5 Reactions
16 Replies
848 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Kagwa iliyopo Manispaa ya Sumbawanga aitwaye Novatus Adelhard...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na: 1.Kubeti 2. Energy drinks 3. Pombe 4. Club life 5. Too much time on social media 6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza...
26 Reactions
115 Replies
5K Views
Kampuni kubwa za Kichina zinazojihusisha na uzalishaji wa saruji zimeibuka kuwa tishio kubwa kwa wazalishaji wa ndani katika Afrika Mashariki. Kwa kutumia mitaji mikubwa na mbinu za ushindani wa...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari wakuu nimekuta bandiko katika ukurasa wa Prof. Jay kuhusu kukamatwa kwa msanii ROMA na kuchukuliwa kwa baadhi ya vitu vya studio ya Tongwe record sijui ni kiki au kweli? Mwenye kujua...
6 Reactions
651 Replies
116K Views
Serikali imebadili mtaala na kuanzia mwaka huu, wanafunzi wa kidato cha kwanza wataanza kusoma mtaala mpya. Hivyo Serikali imeamua kuwapa semina walimu ili kuendana na kasi ya mtaala mpya. Pia...
25 Reactions
180 Replies
7K Views
Za jioni ndugu, nahamia sehemu, na sababu ni nyumba mpya Umeme Bado haujaunganishwa na zero taarifu, ila lengo langu nikitimiza masharti basi niunganishiwe ili niweze kuchezea kwenye units 75...
3 Reactions
82 Replies
19K Views
MAMBO MAKUU YANAYOONYESHA ALIYEMBELE YAKO NI MWANAMKE WA SHOKA. SUPER WOMAN; SIFA ZA MWANAMKE BORA ANAYEJITAMBUA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli mwanamke Bora,mwema na super woman...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Iko hivi kipindi nasoma miaka hiyo nilikua na jamaa yangu mmoja tulikua majirani na wazazi wetu walikua marafiki sana. Tulikua tunasoma darasa moja kuanzai darasa la tatu hadi form four...
17 Reactions
30 Replies
2K Views
MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic...
10 Reactions
15 Replies
987 Views
Wasalaam, (Maalumu kwa kijana wa kiume kati ya umri wa miaka 20-30) Kwako mpendwa kijana wa kiume. Inaweza hii ikawa si mara ya kwanza kuona nyuzi za namna hii au zenye kufanana na hii...
47 Reactions
142 Replies
5K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku tabia ya waganga katika hospitali za serikali kuwaandikia wagonjwa dawa na kuwaelekeza kununua dawa hizo katika maduka ya dawa ya watu binafsi wakati...
1 Reactions
2 Replies
558 Views
Ndugu zangu leo napenda kujua mambo gani ya msingi kipindi unapokosa kazi ni kipi cha kufanya kukabiliana na hali hii kwani mimi ni muanga wa kukosa kazi hivyo napenda kujua nini cha kufnya...
2 Reactions
5 Replies
349 Views
Hatimaye nimetimiza safari yangu ngumu niliyoianza Jumapili Kwa jumla ya game 25 pesa niliyoshinda kwa ujumla ni milion 46 ukitoa Kodi ambayo imekatwa salio langu limebaki milioni 45 kwenye...
27 Reactions
145 Replies
5K Views
Naona kumekuwa na mijadala kuhusu ongezeko la wachina nchini ambao wanatishia kuchukua au kufanya biashara ambazo ziko categorized kama za wazawa. Ongezeko hilo la wachina limewatia hofu watu...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Mpaka sasa 90% ya Online Tv za Watu Maarufu Tanzania zinaelekea Kufa huku wakiwa na Madeni na Wafanyakazi wao Kulia kwa kutokulipwa Mishahara. Na kuna Mmoja nae kaanzisha yake, ila Kutwa ni...
15 Reactions
55 Replies
2K Views
Muhubiri wa Kanisa la Arise and Shine International, Boniface Mwamposa, amesema Watanzania wanapaswa kubadilisha mtindo wa maisha na kuachana na uvivu unaowafanya kupoteza muda mwingi kwenye...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
OUR MAN IN ITALY: Romano Prodi, waziri mkuu wa zamani wa Italy aliwahi kuhusishwa na tuhuma za kuwa kwenye payroll ya Idara za usalama za Russia/USSR. PICHA HAPO JUU: Putin akiwa na Prodi. KWA...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Unaambiwa mkurya akitaka kuoa hajali wewe una watoto atakuchukua tu na pia atahakikisha hao watoto wako wanakuwa wa kwake kama yeye ndio aliotwaa na hadi kuwapatia majina ya ukoo wake na na hadi...
1 Reactions
1 Replies
261 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…