Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Niambieni Tunaongeza budget gan kwene huduma zenu!!….. Huko mbeleni taasisi binafsi zikiwezeshwa serikalini hakutakua na mteja hata mmoja. NB: Nawaza kwa sauti Mfano hako ka bundeji na kimfuko...
2 Reactions
19 Replies
856 Views
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kurejesha mikopo waliyopata kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ili wanafunzi wengine wasio na uwezo...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) ni moja kati ya Taasisi za Serikali ambayo hawajali kabisa suala la kulipa pesa za kujikimu kwa Wafanyakazi wao wanaposafiri. Utakuta mtu anapangiwa kituo cha...
0 Reactions
4 Replies
873 Views
Wakuu shobo mbaya sana aisee!! Hasa hasa kwa hawa watu maarufu hapa mjini ukiwaona mtaani usishoboke kausha kama vile huwajui utanishukuru baadae Enzi hizo nikiwa shabiki kindaki ndaki wa...
3 Reactions
7 Replies
471 Views
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University of Tanzania - OUT), Adam Namamba amezungumza na JamiiForums kuhusu madai ya baadhi ya Watumishi wa Chuo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkoa wa Mwanza upo kasikazini Magharibi mwa Tanzania na umekuwa kitovu kikuu Cha biashara kwa wakazi zaidi ya milioni 10 wa mikoa ya kanda ya ziwa. Kuna jambo limekuwa likinishangaza kidogo...
2 Reactions
12 Replies
962 Views
Nianze na Salamu kwanza ndugu wa zangu wa JF, wakubwa shikamoo na wadogo kwangu habari zenu na rika langu je mambo vipi!? Baada ya Salamu naomba niseme kwa yoyote mwenye changamoto yoyote...
2 Reactions
5 Replies
520 Views
Siku hizi, mtu akisema hana social media tunamshangaa kama kiumbe cha ajabu. Kila kitu kipo mtandaoni—kuanzia meme, trending stories, biashara, hadi mahusiano. Ila swali linabaki: Vijana tunatumia...
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Mambo Huangamia (kwa Kiingereza "Things Fall Apart") ni riwaya iliyoandikwa na Chinua Achebe. Ilitolewa mwaka wa 1958 . Hadithi ya riwaya hii imefuatiwa na Hakuna Starehe Tena (1960) na Mshale wa...
14 Reactions
262 Replies
28K Views
Mwaka 2003 kwenye mtihani wa Taifa wa NECTA ya kidato cha sita hapa nchini, kulitokea kituko cha Karne kama siyo cha Millenium. Vijana walioshiba dogma za Kikristu, waliokuwa brainwashed...
16 Reactions
54 Replies
2K Views
Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga imefanikiwa kumfanyia upasuaji na kumtoa mwanamke mwenye miaka 55 ujauzito aliodumu nao kwa miaka minne. Kwa mujibu wa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya akina...
2 Reactions
4 Replies
567 Views
Jaribio la kimatibabu la HIV lililofanyika barani Afrika limeonesha kuwa baadhi ya wanawake wanaweza kudhibiti virusi vya UKIMWI bila kutumia dawa za kupunguza makali ya virusi (ARVs) kwa muda...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Wanabodi, Suala la serikali mbalimbali kukopa fedha kwenye taasisi za fedha kama vile benki ya dunia au IMF halijaanza leo na wala halitaisha hivi karibuni. Katika dunia ya sasa, inaaminika...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
WABABE WA KIVITA NA MAJIDAI , WASIKLIZE
1 Reactions
2 Replies
309 Views
𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐌𝐎 𝐅𝐎𝐔𝐍𝐃𝐀𝐓𝐈𝐎𝐍 𝐙𝐎𝐄𝐙𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐓𝐎𝐀𝐉𝐈 𝐖𝐀 𝐌𝐊𝐎𝐏𝐎 𝐎𝐍𝐋𝐈𝐍𝐄 𝐁𝐀𝐃𝐎 𝐋𝐈𝐍𝐀𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄 𝐇𝐔𝐃𝐔𝐌𝐀 𝐍𝐈 𝐇𝐀𝐑𝐀𝐊𝐀 𝐙𝐀𝐈𝐃𝐈. KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA WATOA HUDUMA WETU KUPITIA NAMBA 0715531483 Tunatoa mikopo Kwa...
0 Reactions
7 Replies
576 Views
1. raraa reree 2. min -me 3. Smart911 4. Anastasia21 5. mrangi 6. Kiranga 7. Tlaatlaah 8. USSR 9. Extrovert 10. Magonjwa Mtambuka 11. Binti Sayuni03 12. leo dada 13. Cocastic
36 Reactions
115 Replies
4K Views
MATOKEO YA USAILI TRA KUTANGAZWA APRILI 25.2025 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya Usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa watahiniwa walioomba nafasi...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Mabasi mabovu,yanamaliza raia mwanga! -- Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi kampuni ya Mvungi walilokuwa wakisafiria kupinduka katika milima ya Pare, Wilaya ya Mwanga mkoani...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Tumewasikiliza vijana wa Mirerani kuhusu huduma rafiki za afya ya uzazi, na tumepata maoni ya wanakijiji wa Naisinyai kuhusu ushiriki wa watu wenye ulemavu kwenye uongozi na mikutano ya maamuzi...
3 Reactions
5 Replies
406 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…