Mfano unafanya biashara ya duka dogo unauza vinywaji, kuna mda friji linakua limepoa sana kiasi kwamba wateja wanalalamika vinywaji vyabaridi sana.
Namatan kulizima friji lkn nakumbuka watu wengi...
Nimepanga kwenda Matembezi Baada ya Mwezi wa 6
Nataka Niwe uko kwenye huo mkoa kwa Siku 20 au kama zitazidi pia Ni jambo Jema.
Naomba isiwe mikoa hii.
1.Musoma/ Mwanza, hapana, kwa Baba yangu(...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa changamoto iliyojitokeza leo asubuhi katika njia za manunuzi ya umeme (LUKU) imefanyiwa kazi. Kwa sasa wateja wetu wanaweza...
Wakuu,
Kuna vitu vinakasirisha kwa kweli iko hivi,
Mimi ni mteja mwaminifu wa huduma ya maji mtaani kwetu,na ni miongoni mwa watu wanaotumia maji bombani kwa kiasi kikubwa
Mtakubaliana na Mimi...
Si Serikali wala Sekta binafsi, ukiangalia, kwa uhalisia, kwa watu walio wengi, wanapata mishahara iliyo chini na uhalisia wa gharama za maisha. Mfano unakuta mwajiriwa wa Serikalini, graduate...
Mimi ni mkazi wa Mahina Mwanza, hii kero ya maji imekua Sungu Sana.
Sasa tunazaidi ya siku 3 Hakuna Maji na Hakuna taarifa yoyote.
Hivi wewe Mabula ni Mbuge au Boga
Jana nimefunga mita ya maji yaani maunganisho mapya kwa mara ya kwanza. Cha ajabu na cha kushangaza mita inaonesha nimetumia unit mbili.
Sasa nikamuuliza fundi kuwa hizo unit 2 zimetokea wapi...
Miaka hio ya 2000s hadi 2010s
Zilikuwa shule flani za kishua na ndoto ya kila mtoto kwenda
Kuna wakati walisema ni za yule mama Lwakatare
Sijui zimeishia wapi siku hizi?
Hi 👋
Siyo jambo jipya wala geni au kwamba hujawahi sikia la hasha.
Neno kahaba limetajwa sana kwenye vitabu vya dini bila shaka ukahaba ulianza tangu enzi hizo.
Swali langu ni hili hapa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya tunajivunia mafanikio makubwa tuliyoyapata katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi...
Watanzania wanatakiwa wafahamu kina LISU, Heche, Mnyika nk hawana cha kupoteza hata CHADEMA ikifa leo. Watakaopoteza na kula hasara ni watanzania.
Madhila yote yanayowapata sasa Watanzania...
Kila kukicha au dakika hapa JF ni mada ambazo utolewa na wanaccm wakijua undani wa Mbowe kuliko wa wasira,nchimbi wala yule CPA makala.
Lengo lao ni lipi na kwa nini wasijadili kuhusu watu wao...
Jana pale Kisutu iliunguruma kesi ya uchochezi namba 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Malisa na Boniyai. Jamhuri iliwakilishwa na Mawakili Clemence Kato na Cathbert Mbilinyi. Upande wa utetezi...
Nimemsikia shehe wa DSM sheikh Walid akisema Mtume Muhammad SAW ndiye Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu
Swali:
Hawa akina Mtume Mwamposa na wenzake ambao sheikh mstaafu wa mkoa wa DSM Alhad Musa...
Ni jambo la kushangaza kuona baadhi ya wasomi(waliobobea katika elimu ya juu) wanaposhindwa kujibu hoja mitandaoni, wanakimbilia kutoa matusi ya kisaikolojia. Hoja hujibiwa kwa hoja.
Mtu...
Ni kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari...
Deodatis Balile amechaguliwa bila kupingwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa kipindi cha miaka minne ijayo. Uchaguzi huo umefanyika leo, Jumamosi, Aprili 5, 2025, mjini...