Ukiacha kuwa Biblia haikuwahi kumzunguzia utasema ok. Ni sababu yeye alikuja miaka 600 plus baadaye. Lakini pia hakuwa na umuhimu katika Uyahudi na Ukristo. Yaani Biblia imemzungumzia hata mtu...
Wanaume mnaofanya hivyo hamuoni kinyaa Kwa Maziwa ya Watoto yanavyokuwaga na harufu?
Na nyie kina Mama mnawapaje watu wazima wanyonye Maziwa ya mtoto...
This is too contradictory.
Wanaojiita walikole wakiongozwa na KKKT wako radhi kumwabudu au kumheshimu mchungaji wao na kumuona Bikira Maria si chochote wala lolote. Naona hata yesu huwa anawashaa...
Habari za siku mingi wakuu, Nina hii ndoto inanikosesha amani na sielewi ni nzuri au mbaya
Nimetoa ni mchana ila kutazama juu nikaona mwezi ndio upo wakati natembea nikagundua mwanga ni mweupe wa...
Daktari Bingwa wa Macho katika Hospitali ya Rufaa ya Bombo, Dkt. Hussein Abbas, amesema takribani asilimia 50 ya wagonjwa wanaofika hospitalini hapo kwa ajili ya matibabu wanakabiliwa na matatizo...
Kwa kinachoendelea kule kwa aliowakabidhi kijiti na malumbano yaliopo mpaka sasa ni kama kuna nguvu 2 za mvutano.
Sasa ili kuokoa jahazi moja ningeanzisha chama alafu ile timu inavyokinzana na...
Ndugu Watanzania wenzangu,
Leo nasimama mbele yenu kwa moyo wa shukrani, upendo na tumaini kuu, nikitangaza Habari Njema si habari ya siasa, biashara, wala maendeleo ya kidunia, bali habari ya...
Wote ni mashahidi kuwa Sensa ya mwaka huu ilikuwa na promo sana ukilinganisha na zilizopita, na dhumuni kubwa ni kuongeza hamasa kwa wananchi ili waweze kushiriki.
Ila kama ilivyokuwa kwa post...
Kama umekuwa ukijiuliza maswali kama hayo, leo ni siku yako ya kujua maana ya kuokoka na pengine ndiyo siku yako na wewe ya kuokoka.
Kuokoka ni neno tu la kawaida la Kiswahili lenye maana ya...
Najua hoja yangu itaibua ukinzani wa kitheolojia na niko tayari kwa hilo hata kama majibu hayatakuwa timely kwa sababu ya majukumu mengine. Mungu ametuumba na kutupa FREE WILL. Kazi ya kuona free...
Umar ibn Al-Kathab na Salahdini na Taifa la Israel.
...... hawa walikuwa ni majemedari wakubwa sana katika Waislam na historia yao inajulikana kimataifa. Umari alikuwa ni sahaba wa pili wa...
Wadau wa JF, poleni na pilika za maisha.
Najua dunia hii ni ya mbio—asubuhi unakimbiza noti, jioni unatafakari makato ya kodi, na usiku unalala na ndoto za mafanikio. Kila mtu anahangaika, lakini...
Hii shida ya mitandao ya simu imekuwa sikio la kufa kila siku linazuka jipya.
Hasa mitandao ya Yas na Airtel ilikuwa shida tupu!
Soma Pia: Changamoto ya Mawasiliano mtandao wa Yas
Kuna nini...
Kuna vitu vinachekesha.
Kwamba kwenye hilo group mtafundishwa jinsi ya kujiponya magonjwa na kuwa matajiri😁😁.
Na huwezi amini kuna watu wanajaa.
Stori za kitoto kibao, Ama kweli kukosa elimu ni...
Nina ndugu wengi kidogo ila kwasababu fulani nimekuwa karibu na huyu ndugu mmoja kuliko ndugu wengine.
Anajua maisha yangu almost 80%. Baada ya kufanya uchunguzi wa kina nimebaini kuwa ana chuki...
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (MB),akizisisitiza Halmashauri kuhakikisha kuwa tozo zinazowekwa kwenya zao la Parachichi haziwakandamizi wakulima.
Bashe ameeleza hayo katika Mkutano Mkuu wa...
Ni muhimu kwa serikali ikafanya maboresho kwenye kuajiri wafanyakazi wa TRA hii itaongeza ufanisi
Wapewe mikataba ya miaka 15 baada ya hapo waajiriwe wengine