Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wananchi wa Kijiji na Kata ya Mangae, Tarafa ya Mlali, Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wameanza kunufaika na mradi mkubwa wa maji uliotekelezwa na Wakala wa maji safi na usafi wa Mangira...
0 Reactions
0 Replies
292 Views
Wakuu naombeni mniambie wilaya za zamani zaidi hapa nchini yaani zile kongwe ambazo labda wakoloni walizianzisha mara tu walipofika au labda sisi baada ya kupata uhuru tukazianzisha.
3 Reactions
45 Replies
2K Views
MBUNGE DEODATUS MWANYIKA: SERIKALI IWALINDE WANANCHI DHIDI YA WAWEKEZAJI KWENYE AJIRA "Watu wa Jimbo la Njombe Mjini ni mashuhuda wa mafanikio makubwa ya kuwasogezea wananchi huduma mbalimbali ya...
0 Reactions
1 Replies
294 Views
Ifikapo Mwezi Mei 2025, Whatsapp itaweza kuacha kufanya kazi Kwenye baadhi ya Simu za Android na iphone. Whatsapp ambayo ni mtandao wenye watumiaji zaidi ya bilioni mbili kwa Mwezi ikiwemo...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Je hii ni kwa wote au ni mtazamo wake? Anamaanisha kutawaliwa au kuongozwa Karibuni tujadili
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Its all about mindest guys, nyakati zimebadirika, mahitaji na matakwa ya jamii yamebadirika haijalishi ni sehemu gani. Hakuna sijui eti ukifanya maisha ulipozaliwa hautoboi, mbona mnaendaga dar...
1 Reactions
3 Replies
256 Views
Habari za asubuhi ndugu zanguni, Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private. Lakini naona kama hii kazi...
64 Reactions
212 Replies
12K Views
Swali huwa najiuliza toka Miaka mingi Hivi Usalama wa Taifa huwa wanasoma Comment za watu Katika Mitandao ya kijamii, kuhusu comment za Raia wanavyouona Uchaguzi ktk Nchi ya Tanzania. Je Wao kama...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Wanabodi, Nayaandika haya sio kwa kufurahisha bali ni mambo yaliyonikuta na sitaki kuyakumbuka kabisa lakini kwa yaliyomtokea shahidi namba 13 wa upande wa jamuhuri Kamanda Swilla kwa kuugua...
65 Reactions
237 Replies
49K Views
Wakuu kwema. Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani, Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna...
10 Reactions
94 Replies
3K Views
Hero wenu Lissu amekamatwa na nyinyi mmekaa Kimya hamfanyi chochote. Please ingieni barabarani Lissu aachiwe. Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno
3 Reactions
25 Replies
923 Views
Watanzania wengi sana hupenda kuonekana bize bila kujali matokeo, Kuna watu hawaendi popote, hawana kazi yoyote, lakini kila asubuhi wanawahi kuamka tu waonekane nao wana mambo mengi. Mtu yuko...
6 Reactions
14 Replies
792 Views
Enzi hizo tunasoma Songea Boyz tunakwea KISWELE COACH Stendi mnazi mmoja breki ya kwanza Comfort Hotel - Kitonga (Kula dakika 10 Tu) chuma inatambaa. Daah. Hakika miaka imeenda. **Zamani raha sana
5 Reactions
50 Replies
2K Views
Ivi ukiwa na kifurushi Cha bando la mwezi halotel alafu katikati ya mwezi ukaongeza kifurushi Cha siku moja. Kwenye matumizi inakuwaje kitaanza kutumika kipya mpaka kiishe alafu ndio Cha zamani...
1 Reactions
4 Replies
452 Views
Gazeti Huru lililojaa hikma na elimu Kwa kizazi hiki na kijacho ligaiwe bure MASHULENI, airport na stendi za mabasi.
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Majuzi kati tulikuwa hosptali kumwona magonjwa flan Akaibuka ndugu mmoja tuongee na kiboko ya wachawi atamponya nkajaribu kumwonyesha clips alizorekodi na kutuita wajinga Wale ndugu wakaendelea...
5 Reactions
13 Replies
663 Views
Wafanyakazi wa Tanesco walimpenda sana bosi wao,wamesikika wakisema bora angekufa nanii..... Ishi na watu vizuri
6 Reactions
12 Replies
1K Views
TV Imaan inarusha vipindi vya kuelimisha jamii. Ingefaa itengewe fungu kila mwaka kwa ajili ya kutanua wigo wa Matangazo yake duniani.
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Naomba kujua chimbo la TV nzur ,smart ambazo bei NI nafuu
1 Reactions
1 Replies
434 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…