Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Don't give up. Work hard. Even Blue Ivy and Stormi were once broke and started with nothing more than being breastfed.. now they are millionaires.
1 Reactions
5 Replies
336 Views
Uchawa! huu umekuwa mfumo mpya wa watu maarufu na makundi mengine ya watu wenye ushawishi hapa nchini kujitafutia kipato baada yakuishiwa maarifa katika taaluma zao husika.Uchawa umegeuka mfumo...
2 Reactions
4 Replies
405 Views
Mambo ambayo hupaswi kufanya Mbele za Watu: ♦️ Usionyeshe furaha yako mbele za watu. ♦️ Usizungumzie watoto wako mbele za watu. ♦️ Usizungumzie afya yako mbele za watu. ♦️ Usizungumzie miradi...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Nilianza degree kwa vigezo vya advance levels, ila kwasasa Naona opportunity zipo kwenye diploma na certificate huku. Kwaiyo namaliza degree nataka kusoma NTA level 5 na 6 ili kukabiliana na soko...
8 Reactions
60 Replies
2K Views
Kwa Yeyote Anayehusika, Ninaandika barua hii kama mkazi wa Tabata Kimanga aliyechanganyikiwa, nikilazimika kupaza sauti yangu dhidi ya hali mbaya ya barabara ya Tabata Kimanga. Kwa moyo mzito na...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Sijawai maindiwa kazini huu mwaka wa 3. Leo nimesikia uchungu sana kukaripiwa. "Mwenzetu leo umetulate down" hii sauti ya mkuu wangu. na wa ngazi ya chini yake jamaa leo umezingua, daah, afu hawa...
7 Reactions
60 Replies
2K Views
Tanzania lazima tujenge utamaduni wa kuhoji, sio kukubali kila tunachoambiwa, na Polisi au hata na serikali. Niliposikia juu ya hii ajali kwanza nilihoji ikiwa ajali ilitokea saa nane usiku na...
17 Reactions
32 Replies
3K Views
Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China. Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class. Picha ya...
0 Reactions
3 Replies
622 Views
Nawahusia vijana na wale waliopo makazini na sehemu nyingine za kutafutia mkate wa kila siku. Chunga kwa namna yoyote ile usiwe sababu ya mwenzako kukosa mkate wake.
3 Reactions
17 Replies
852 Views
Wakuu salamu Mimi Mfanyakazi kutoka Kampuni ya China Tanzania Security (CT) ambayo inahusika na usimamizi wa miundombinu katika Vituo vya Mabasi ya Usafiri wa Haraka (Mwendokasi) (DART) pamoja na...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
China imeunda Jua la Kwanza la Bandia duniani. Jua hilo la bandia linaweza kuangaza nchi yao nzima na kugeuza Usiku kuwa Mchana. Tayari wamelijaribu mara mbili na limefanya kazi kikamilifu. Jua...
19 Reactions
81 Replies
4K Views
Hello Atheists! I want to begin with respect—genuine respect for your intelligence, your questions, and your skepticism. I know many of you value logic over emotion, evidence over tradition. I do...
7 Reactions
78 Replies
3K Views
Unaweza kutana na mtu kwa mara ya kwanza unashangaa hakupendi au kutokukubali tu. Hujamuumiza, hujamfanyia chochote kibaya. Wala sio issue ya first impression wala sio instinct, ila unakuta mtu...
0 Reactions
3 Replies
309 Views
Imenitoka kidogo naomba mwongozo
0 Reactions
3 Replies
278 Views
App ya Maktaba Sauti tumeanza kuandaa audiobooks. Sikiliza. 1&2. UTANGULIZI 3. MTU ALIYETAMANI DHAHABU
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Baadhi ya kampuni za mawasiliano acheni masihara, fungeni cable zenye uwezo wa kurusha 5G, na sio 5G ya maneno matupu wakati vipimo vinaonesha 3G Dunia ya leo sio ya kudanganya watu kwasababu...
0 Reactions
2 Replies
324 Views
Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu: Uchumi Wakazi na Makazi Historia Makabila Fursa za Uchumi Hali ya hewa Mahusiano n.k Nitajibu kila swali leo Mkoa wa Kagera...
16 Reactions
349 Replies
15K Views
Kwa wale mnaofanya kazi na mashirika ya kimataifa bila shaka mnajua sheria kali sana za Ulaya kuhusu rushwa, au dalili za kutoa rushwa au 10%, hasa kwenye mambo ya tenda. Ni wakali sana. Kwa...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
1. Utangulizi Vituo vya mabasi ni sehemu muhimu katika mifumo ya usafirishaji na uchumi wa nchi. Hata hivyo, vituo vingi vya mabasi nchini vimekumbwa na changamoto za usumbufu, wizi, na mazingira...
0 Reactions
2 Replies
356 Views
Katika siasa za Afrika, kuna tofauti kubwa kati ya majeshi ya baadhi ya nchi. Wengine hujiona kama watumishi wa dola, wengine kama watumishi wa watawala, na wachache kama wakombozi wa kweli...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…