Nimejikuta nashawishika kwa mara ya kwanza kuandika uzi humu jukwaani kwani miaka yote nimekuwa msomaji na mchangiaji tu!
Hii ni baada ya jana kupitia uzi wa mkuu TORABORA akiwa haelewi hatma ya...
Wakuu!
Ile ajali ya wabunge ukitazama kama ilikuwa ndogo lakini baadhi ya wabunge hali zao bado ni mbaya hadi wamehamishiwa MOI au tuseme maombi ya baadhi a wabongo?
=====================...
China bhana kila kitu kinawezekana!! Umeshawahi kuwaza siku utembee umbali mrefu kwenda kumtafutia mteja aliyetukana bidhaa zako na kumpiga.
Kuna jamaa mmoja ambaye ni muuzaji wa bidhaa...
Miaka 12 ya utafiti imetoa matokeo chanya Kwa watafiti Wazalendo waliofanikiwa kugundua dawa ya kutoesha nywele na kuzuia Kipara.
My Take
Hongera sana Wazalendo,haya ndio mambo Sasa sio Kila...
Utafiti wa kisayansi uliofanywa miaka 12 na watafiti toka Taasisi ya Watafiti ya Wanyama pori Tanzania (Tawiri) imefanikiwa kupata dawa ya Asilia inayosadia kuotesha nywele na kuzuia kukatika kwa...
Habari za muda huu Wana Jf.
Niende Moja kwa Moja kwenye mada husika, Kuna aina ya watu sijui roho zao zikoje, tuseme ndio roho mbaya au vipi.
Nafahamu tumetofautiana tabia na mienendo kutokana na...
[emoji599]UKIKUTANA NA SIMBA GHAFLA,
FANYA HAYA:...
Achana na simba (kolo).... we're talking about the real Simba
Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa...
Wakuu, heshima zenu. Mna habari kwamba unabii huu nao tayari umetimia?
Mathayo 24:24 – "Kwa maana watatokea Makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate...
Michezo ya wafanyakazi kuelekea kilele cha Mei Mosi 2025 imefunguliwa rasmi tarehe 22 Aprili 2025, katika Uwanja wa CCM LITI mkoani Singida. Uzinduzi huo umehudhuriwa na mamia ya watumishi wa umma...
Na Zurima Ramadhan, Zanzibar
Jamii imetakiwa kuungana kwa pamoja kuwasaidia watoto yatima ili kujenga upendo na mshikamano baina yao.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Taqwa...
Wakuu sio siri kuwa ukivuka miaka 30 kuna mabadiliko ya kimwili lazima uyaone yakikujia kwa kasi ikiwemo kitambi. Kwa wale waliojaliwa riziki kidogo hali huwa mbaya zaidi ndo maana Mzee Janabi...
Ukiwa kwenye usingizi usio fofofo si rahisi kutomsikia mbu akinyemelea damu kwako na haraka utachukua maamuzi ya kumdhuru au kumkwepa na hivyo kusitisha LENGO LAKE.
Ipo hivyo kwa binaadamu pia...
Inasikitisha sana huu uchochezi kufanywa na huyu mtumishi wa Mungu.
Sikutegemea kabisa kuona maneno kama haya yakitolewa na mtu kama huyu
Ningekuwa na mamlaka makanisa kama haya ningeyafutilia...
Hii kila kitu kuwa cha mama, kuitwa cha mama na kukihusianisha na mama imekuwa kero sasa, ukipita barabarani magari yameandikwa SSH 2025 kuta zimechorwa chata hiyo hiyo nk. Sasa hatimaye wamekuja...
Nimejisajili ofisi za NIDA, Arusha, na ninayo soft copy ya kadi ya NIDA. Nilifuatilia hard copy mara kadha lakini sikufanikiwa. Sasa, tangu karibu miaka mitano nimehamia Dsm. Mi ni daktari na...
Dunia iko katika karne ya 21 ambapo maendeleo ya sayansi na Teknolojia kwa sasa yanapewa nafasi kubwa katika kuchagiza maendeleo ya Nchi mbalibali duniani. Tunatambua juhudi kubwa zinazofanywa na...
Dunia iko katika karne ya 21 ambapo maendeleo ya sayansi na Teknolojia kwa sasa yanapewa nafasi kubwa katika kuchagiza maendeleo ya Nchi mbalibali duniani. Tunatambua juhudi kubwa zinazofanywa na...
Risk wanayotake bodaboda ni kubwa sana, bodaboda anatake risk kila siku kwa kuotafuta elfu 1.
Kwa kila safari moja ya sh. Elfu 1, 2, 3 n.k bodaboda anaweka rehani roho yake.
CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: KULAANI KITENDO CHA UDHALILISHAJI NA SHAMBULIZI LILILOHUSISHA WANAFUNZI
Dar es Salaam, 20 Aprili 2025
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...