Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

UTANGULIZI Majukumu ya msingi ya Jeshi la Magereza ni kuwapokea na kuwahifadhi gerezani watu wote wanaoletwa gerezani kwa mujibu wa sheria za nchi na kuendesha program mbalimbali zenye kulenga...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Kila siku
14 Reactions
64 Replies
3K Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuwa na watoto wenye Akili na maarifa ni Jambo ambalo kila mzazi analitaka kwa Mtoto wake kwani ni Jambo linalofurahisha lakini linalofanya mzazi ajivunie watoto...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wakuu waJF NImekuwa nikipenda sana kufatilia mambo yanayo wahusu wanyama ila kuna hawa wanaitwa Crocs. MAMBA ni mnyama ninae mfahamu kwa ufupi tu, kwamba ni mnyama hatari sana ana...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Hii ni kutokana na sababu zifuatazo 1. Skendo ya Sitti Mtemvu na alivyokuwa anamtetea na kusema huu ni upepo tuu utapita huku akijua ya kwamba Sitti alidanganya umri 2. Amekwisha zeeka kiasi...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kabla ya haya mambo ya smartphone, vijana wa kipindi hicho wapenda mambo ya siasa na mambo ya dunia tulikuwa hatubanduki DW Swahili, BBC Swahili na VOA. Nakumbuka Jumamosi moja hivi miaka ya...
1 Reactions
7 Replies
447 Views
Na Mwandishi Wetu, Manyara. Bilionea David Mulokozi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brands Limited ametoa zawadi ya Bajaji mpya kwa Dereva wa bajaji Abel Rajabu ambaye ameweka...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimesoma bandiko kuhusu china kufungua mtambo wa matumizi ya Thorium kutengeneza clean energy na kupunguza matumizi ya Uranium ambayo inatoa hewa chafu. Ikumbukwe nchi ya machawa na wanafiki...
1 Reactions
8 Replies
412 Views
Jamani nawaambia ukweli kabisa! Umasikini wa wananchi upo ndani ya mikono ya wadhalimu. Na wadhalimu ni kazi ya ibilisi! Kila mamlaka za dunia hii zina nguvu ya kiroho! Wenzenu wapagani...
3 Reactions
9 Replies
556 Views
Moderator msibadili maneno makili yaloandika Wala kuufunga Uzi huu ili watu wajifunze yaliyokusudiwa ...πŸ™πŸ™πŸ™ Ujinga ni kuto kujua jambo, mjinga akielimishwa hubadirika na kuwa mweredi. Mpumbavu...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Vijana wengi wapo idle hawana kazi wana bet tu Naomba serikali iondoe Kodi kwenye uingizaji wa mashine za uzalishaji Vile vile Kuna ukiritimba wa uagizaji hasa wa zana za kilimo na pembejeo, Kuna...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Nasikitika sana kwa kitendo cha Shirika la Posta kuuza Sanduku langu la Posta la biashara kwa mtu mwingine bila taarifa, mpaka sasa hakuna msaada niliopata zaidi ya kuzungushwa, inawezekana...
2 Reactions
77 Replies
3K Views
1. Tupo hapa uwanja wa Ujamaa - Ikwiriri tukitizama bila chenga tukio kubwa duniani. 2. Asante Chama Chetu kwa kutuwekea TV kubwa hapa uwanjani bila malipo
2 Reactions
15 Replies
956 Views
Wakuu kwema Hizi mvua mvua zinazonyesha hapa Bariadi leo nimeshuhudia graduates anayeishi kwa dada yake akipewa maelekezo na shemeji yake (mme wake na dada yake), ahamishe trip nne za mchanga...
23 Reactions
88 Replies
4K Views
Matukio mengi ya mauji hufanyika sirini lakini huja kuwa dhahiri tena kwenye mwanga mkali Wazungu wanasema " no perfect murder" Murder ikitendeka na isijulikane labda vyombo vya uchunguzi...
44 Reactions
172 Replies
9K Views
Padri wa Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma, Parokia ya Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Novatus Bideberi, ametoa ufafanuzi kuhusu sababu ya baadhi ya waumini wa Dini ya Kikristo kutokula nyama siku ya...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
SHEREHE ZA UFUNGUZI WA SEKONDARI MPYA ZA MUSOMA VIJIJINI Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, anawakaribisha wanafunzi, wazazi na wanavijiji kwenye sherehe za kufungua...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Utangulizi. Habari hizi za Mfalme wa Babeli Nebkadineza na Mfalme Dario( Darius) wa Waajemi na Wamedi zinapatikana ktk Biblia Kitabu cha Daniel sura ya 1, 2, 3 na 6. Tangu dunia imekuwepo...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Hakuna tena vizuizi vyovyote vya kisayansi vinavyotuzuia kutoa nakala yawanadamu. (Human cloning) Mnamo mwaka wa 2018, wanasayansi wa China walifanikiwa kuunda nakala ya macaque wawili wanaokula...
3 Reactions
16 Replies
844 Views
Soma hapa kufahamu namna ya kudhibiti maumivu na sumu ukiwa nyumbani. NGE-- Maumivu yake ni ya masaa 24 na sumu inadumu kwa muda mfupi, Na Ukumwona ukimuua hapo mwisho wa sumu yake. Au wanasema...
3 Reactions
10 Replies
776 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…