Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hi ni mara ya pili natoa elimu ya Angel number lakini mod wamekua wakifuta kila siku its oky.. Leo natoa somo moja ambalo kama una roho nyepese usije jaribu hata kidogo. Ikifika sa nane usiku...
19 Reactions
253 Replies
10K Views
Viongozi wa Dini kutoka madhehebu mbalimbali mkoani Arusha leo wameungana katika ibada maalum ya Ijumaa Kuu kumuombea Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, kwa ajili ya uongozi wake...
2 Reactions
12 Replies
598 Views
PART 1 : SIMULIZI YA MIKASA YA KUTISHA ALIYOPITIA GEORGE S. SHEMTOI https://m.youtube.com/watch?v=fhYfd7vVx-A George S. Shemtoi akisimulia mkasa : Kupigwa Risasi, Kukatwa Mapanga na Kufungwa...
3 Reactions
3 Replies
656 Views
Wasalaam Maisha ya Mwanadamu yamejaa tabu, ni lazima upambane, muujiza wa maisha yako upo katika bidii na juhudi katika kuzitatua changamoto zinazokujia Matatizo yanayokusonga yataisha tuu ama...
12 Reactions
75 Replies
3K Views
Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri. Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi...
15 Reactions
167 Replies
11K Views
Leo ndio nimejua kuwapikipiki kumbe sio nzito kabisa aisee tumebeba Mimi na boda boda mahali tumepita boda kajichanganya kusimama boda imezima basi tumebeba juu juu aisee ni nyepesi sanaaaaaa I...
4 Reactions
3 Replies
337 Views
Wakuu wasalaamu!! Kama kichwa kinavyojieleza nimepata safari ya haraka sana, sasa nimepitia nyuzi mbalimbali kuhusu kuchelewa kwa passport na usumbufu uliopo uhamiaji hasa ukiwa mkoani. Ipo hivi...
7 Reactions
119 Replies
5K Views
Linapokuja swala la userious kwenye uwekezaji wachina hawako seriously kabisa. Mpaka sasa tangu wameanza kuingia hapa Tanzania sijaona mradi hata mmoja walio wekeza zaidi ya kamari na kufungua...
2 Reactions
14 Replies
705 Views
Commercial Plot inauzwa Buguruni Mataa Location Eneo linatazama Mataa ya Buguruni -Eneo lina fremu za Biashara -Eneo lina Barabara mbili moja kushoto ingine kulia ya kuelekea Vingunguti...
3 Reactions
14 Replies
860 Views
Nyumba hii kodi bei ndogo ila kutokana na jeografia yake kama kichwa cha habari utakubaliana nayo.
1 Reactions
9 Replies
627 Views
Ili kutekeleza kwa vitendo kauli mbiu" Baba Ushakua, Jitegemee" nilienda kupanga chumba huku maeneo ya Tandale. Nyumba ina vyumba 16, vinane nyumba kubwa na 8 mabanda ya uani, choo kimoja cha...
42 Reactions
605 Replies
127K Views
Wajenzi na wazee wa fursa. Ramani hii hapa.. Simple design but very unique Hii joint inafaa nje kidogo ya mji mahali palipotulia na penye parking ya kutosha Swali la Kizushi: Je kuna haja ya...
14 Reactions
82 Replies
2K Views
Benki ya CRDB wamekuja na huduma mpya inayoitwa Ada Loan. Ni bonge la ubunifu, lakini tatizo ni kwamba maafisa masoko wameifanya kuwa huduma ngumu sana kwa mteja kuipata. Mfumo wa benki unazitaka...
2 Reactions
5 Replies
877 Views
Wafungwa waliohukumiwa kifo huwa wanaitwa ‘Death row inmates’, na mara nyingi hawajui watatekelezewa hukumu yao lini. Sasa tofauti ya wafungwa wa ‘Death row’ na binadamu wote kwa ujumla ni ipi...
5 Reactions
10 Replies
618 Views
Wakati Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line ikiwa kwenye maandalizi ya kuanza safari zake za Dar -Tanga, Tanga-Dar kila siku, tayari baadhi ya wamiliki wa mabasi wenyeji wameanza 'kukuna vichwa'...
2 Reactions
3 Replies
794 Views
Kuna maeneo hapa Dsm ukijitambulisha kuwa unaishi huko automatic utaonekana wewe ni mtu wa hovyo, Low IQ, au low class hata kama una kipato kizuri tu Mfano wa maeneo hayo ni[emoji1313] 1.Mbagala...
17 Reactions
68 Replies
4K Views
Watu saba wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa katika ajali ya gari la kubeba wagonjwa (ambulance) kugongana na toyo katika eneo la Luganga, lililopo katika Halmashauri ya Mji Mafinga, Wilaya...
0 Reactions
1 Replies
598 Views
Kuna matapeli Wengi Sasa hivi Mfano. 1. LBL 2. TERRAOIL Wote lao ni moja
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Ndugu zangu wa DAWASA tunapokea maji yenu lakini hayana ubora unaostahili ni hatari sana kwa afya za binadamu 1. Sidhani kama yanafanyiwa usafi (Cleanliness) 2.Yanatibiwa(Treatment) 3. Maji...
3 Reactions
3 Replies
426 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…