Habari wakuu
Kwako mama Samia Suluhu na waziri wa ardhi wa JMT
Dar es salaam imekuwa ni kijiji ambacho kimezungukwa na Bar kila kona, Kelele na kumbi za sherehe huku beach zetu nazo ni chafu...
Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Banson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe
KAMA NI KWELI; WAMEKOSEA: KAMA SI KWELI; WAMEKOSEA
Leo 8/5/2025, siku Papa wa 267 (Papa Leo Xiv) amechaguliwa...
Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye maada, hivi ni Kwa nini kada ya ualimu inapewa salary kiduchu kulinganisha na kada nyingine au kazi yao haina direct impact kwenye jamiii? Naomba kuwasilisha
Pitapita yangu nikakutana na habari za huyu millard ambaye kwa sasa uwezi kumuona mambo ya ukweli yupo na kusubiri matukio tu.
Nisioongee sana kwa mtu mwenye akili ya utanda wazi hapa kaunda nini...
Tanzania ndio nchi pekee wanasubiri ufanye jambo wakiona lina lipa nawao wanaiga copy and paste bila kubadilisha.
mfano USA aliyebuni viungo vya KFC uwezi kukuta mwengine anafanya kama wewe...
Habari wadau hili suala nimelivumilia ila nimeshindwa kulingana na masuala ya afya
Wauza mabucha wa Mtwara wakitaka kufunga bucha wanafanya usafi wa kudeki. Kisha wanachukua spray ya kuulia...
Utafiti wa Finscope 2023 unaonyesha kati ya Watanzania 10 tegemezi na wasio na njia ya kupata kipato, saba ni wanawake. Wadau na wachumi wamesema bado kuna ombwe katika kupima mchango wa wanawake...
Tumsifu Yesu Kristo.
Katika kipindi ambacho Kanisa Katoliki linakabiliwa na changamoto nyingi za kijamii, kisiasa na kiutamaduni duniani kote, uteuzi wa Kardinali Robert Prevost kama Papa mpya –...
Kuzaliwa tanzania kuna changamoto nyingi sana.Haya yote yanafanyika na watu wenye upeo mdogo sana waliokuwa na madaraka makubwa.
Zamani kulikuwa na taratibu kama unataka kwenda jeshini ilikuwa...
Fr Nkwera alianza kupata maono akiwa Chuo Kikuu Dar, alianzisha huduma ya maombezi. Aliomba kwa Yesu Kristo kupitia kwa mama Bikira Maria. Wagonjwa walipona na vichaa walirudi katika hali zao...
Mtaro wa Meli wa Stad, ambao kwa sasa unajengwa kwenye Rasi ya Stad magharibi mwa Norway, unakaribia kuwa mtaro wa kwanza kamili wa meli duniani—utendaji mkuu wa uhandisi wa kisasa. Mtaro huu...
Gas hutusaidia kutunza mazingira yetu, misitu yetu, pia ni salama endapo kanuni za kiusalama zitafuatwa ikiwapo, kuweka madirisha makubwa katika majiko yetu!
==========
Your Gas Stove Might Be...
Habari za wikendi wakuu.
Hivi karibuni nimehama mtaa niliokuwa nakaa, sasa kule nilikohama kuna kinyozi wangu mmoja ni fundi sana, nikifika nakaa tu sijielezi chochote, halafu ananipatia kweli...
Elon Musk tajiri namba moja duniani na boss wa Tesla huwapa masharti wanawake ambao anawabebesha mimba.
Sharti la Kwanza kutotangaza mimba. Na kujifungua kwa njia ya opereshen C-section. Na kama...
Salamu naomba wajuvi wa mambo mtusaidie hili kuna jumbe zina sambaa kwenye mitandao ya kijamii zikiwa na link ya ajira za tume huru ya uchaguzi nimejaribu kuingia kwenye link tajwa ila naona kama...
Wakuu,
Kijana mdogo unakuta hana kazi yeyote, kwanza shule ameishia njiani, anarandaranda mtaani, stori za matajiri zote anazo, mpira, wanawake zote anazo ila ukimwambia kuhusu shughuli gani...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs C. Mwambegele, kwa masikitiko makubwa ametangaza kifo cha Mjumbe wa Tume hiyo, Mhe. Jaji Rufani Mwanaisha A. Kwariko...
Ndugu wadau wote wapenda amani naomba msaada wa post yoyote iwe maandishi au video ya mdude ambayo ilipelekea kutafutwa ama kuuliziwa na Afande Shabani na Afande Veda.
Tafadhari itusaidie kujua...
Habari wanajukwaa!
Nimeyaangalia matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012, aisee! Kwa wote waliofaulu mwaka huo nawapa heshima yenu.
Nimeyaangalia matokeo ya mara ya kwanza (Original) na ya mara...