Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu kwa udadisi wangu ningependa kujua kwa watu weneye ujuzi kuhusu sajinu meja au RSM kazi zake na majukumu yake. Sababu sijawahi kumuona Askari toka nazaliwa akiwa na cheo hiko kuanzia kwenye...
1 Reactions
18 Replies
830 Views
Nami pia namjibu Mke wa Gambo kuwa hakuna Eneo ambalo lina Wanawake MABOYA kama la Kaskazini mwa Tanzania ambako anatoka Yeye Mke wa Gambo. Kwanza nilikuwa simjui Mkewe Gambo, ila nilivyomuona tu...
2 Reactions
4 Replies
641 Views
Msaada kuhusu elimu na vyeo jeshini
7 Reactions
216 Replies
57K Views
Idara hizi tunaishi nazo mtaani na zinashiriki wanazengo kama wanataka kujiona kazi zao ni ndugu zao tuweke ajenda kuwa hata ukipata tatizo tukuangalie tu. Nchi hii mnapoipeleka kuna siku hawa...
0 Reactions
2 Replies
288 Views
Samaleko.. Kabla hujawaza kwenda Ulaya, America au Asia kula maisha jitaidi sana uanzie Zanzibar ujionee maajabu ya bei za vitu. Kiufupi Huku Zanzibar ni sawa tu na Ughaibuni, ukiweza kumudu kula...
21 Reactions
140 Replies
10K Views
Kuna kasumba kubwa imewaingia watanzania. Kujadili mpira hasa Simba na Yanga masaa 24 kwa siku 7 kwa wiki hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa. Tumelala kushabikia Simba na Yanga huku nchi...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Hii ni part 2 ya somo letu la ujue umeme katika mwili wa binadamu. Siku ya kwanza nilielezea kwamba maisha ya mwili wa binadamu ni umeme! Yaani kuoana ni umeme, kutembea ni umeme, kusali ni...
5 Reactions
24 Replies
959 Views
Tumeshindwa hata kutengeneza Midoli nchini mpaka tuagize China? Tumirogwa? - Miaka 61 ya Muungano!
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Ataendaje katika hiyo nchi ambayo kwa sasa ina Wapumbavu, Wezi, Washamba, Washirikina na Wauwaji ni wengi sana?
2 Reactions
5 Replies
338 Views
"Hakuna kitu kitakachompata Ibrahim Traoré ilimradi mimi bado niko hai. Marekani au Ufaransa hawana haki ya kumkamata Rais wa taifa huru la Afrika." __ Rais wa Urusi, Vladimir Putin. "Nataka...
14 Reactions
62 Replies
3K Views
Naomba kuuliza, je kuna uwezekano wa kufanya marekebisho kwenye kitambulisho cha taifa katika mwaka, mwezi na tarehe ya kuzaliwa vyote kwa pamoja?
0 Reactions
0 Replies
426 Views
Sisemi uende fisi za halmashauri, manispaa au wilayani. Najua huko kuna matakataka yake, but atleast hawadeal na afya na uhai wa binadamu. Nenda hospital za serikali. Unakufa wanakuangalia...
34 Reactions
122 Replies
4K Views
Kuna harakati nimezikuta toka najiunga jamii forum na bado zinaendelea kwa baadhi ya member kuwadharau na kuwakejeli walimu wa nchi hii Napinga kwa nguvu zote za kuwafanya walimu kama marginal...
16 Reactions
89 Replies
3K Views
Wasalaam wana JF wote. Chama cha Mapinduzi (CCM) kina kila sababu ya kubadili mbinu za kivita. Kama tetesi zinavyoenea kwamba kuna utekaji,kuumizana,kubambikiana kesi,kuuwawa nk mbinu hizi zote...
7 Reactions
27 Replies
811 Views
Nachoka kuwaza. Sasa nimeanza kuona giza… giza nene. Sio la usiku. Hapana. Ni giza la maisha. Giza la matumaini yaliyooza kabla hayajachanua. Giza la haki iliyonyongwa hadharani huku waliopaswa...
1 Reactions
4 Replies
361 Views
Wakuu habari, Miongoni mwa mambo yanayonitafakarisha ni haya hapa: 1. Watu kula na kunywa msibani 2. Watu kupigania chakula msibani 3. Watu kuwashangaa na kuwachukukia wasiokula msibani...
3 Reactions
4 Replies
388 Views
Wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife...
14 Reactions
115 Replies
3K Views
Heshima yenu wakuu, niende moja kwa moja kwenye dilemma yangu. Kwa kujitambulisha, mimi ni ME (23) nipo nasoma chuo X, kuna wakati Lecturer akiwa ametoka kufundisha venue anaelekea parking...
46 Reactions
963 Replies
52K Views
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Azimio la Bunge la Ulaya (8 Mei 2025) Dar es Salaam, 8 Mei 2025 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetambua azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya tarehe 8...
0 Reactions
4 Replies
486 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…