Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Namba za Simu za Kimataifa ni Nini? Namba za kimataifa ni viambishi namba vinavyowekwa mwanzo wa namba ya simu unapopiga kutoka nchi moja kwenda nyingine. Mfano: Ukitaka kupiga kutoka Tanzania...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
USHUHUDA HUU UKUFUNDISHE KITU 👇♨️♨️♨️♨️👇👇 [5/15, 11:59 AM] wione FX: Ngoja sasa nishuhudie mafunuo yangu juu ya semina ya hii ya tano. Maana jana niliskiliza sikumaliza...sasa asubuhi hii...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Haleluya Haleluya Haleluya. Nimejifunza: KUFANYA JAMBO SAHIHI KATIKA WAKATI USIO SAHIHI SIYO SAHIHI. MUNGU wetu ni MUNGU wa ratiba ni MUNGU WA wakati hafanyi mambo kienyeji maana yake kama...
2 Reactions
0 Replies
248 Views
KUKATAA MAARIFA NI KUMKATAA MUNGU ✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️ Kuanzia wiki hii unapopiga simu hakikisha pia umeandika semina kama alama ya kumtaka Mungu Hii ni kwa faida Yako Ili hata Mungu akikuponya...
1 Reactions
0 Replies
204 Views
Watu wengi hupenda kuchukulia ujanja kwa mtazamo hasi. Watu wengi husema ujanja ni udanganyifu, kuiba, au hila za kukwepa sheria. Lakini ukweli ni tofauti. ujanja ni akili tofauti tofauti...
2 Reactions
3 Replies
372 Views
Wakuu, Kumbe haya magari ya kupaa yalikuwa tayari mda mrefu na mlikuwa hamsemi? Hivi karibuni kampuni ya Klein Vision imetangaza kwamba itaanza kuuza yale magari ya kupaa yaani flying cars...
6 Reactions
20 Replies
860 Views
Kwa muda mrefu sasa, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ikisisitiza kuwa haina dini. Kauli hii ina mizizi katika katiba ya nchi, ambayo inatoa uhuru wa kuabudu na kulinda usawa wa...
4 Reactions
9 Replies
636 Views
Trump akitembelea msikiti mkubwa wa Sheikh Zaidi huko Abu Dhabi. Wanauliza mbona huyu kafiri hajavua viatu? Nani alikuambia tajiri anavua viatu? Maskini ndio anaitwa kafiri na sio rahisi...
21 Reactions
114 Replies
6K Views
Naomba nielimishwe kuhusu senene wa bukoba. Je wanaharibika baada ya muda Gani? Na kwanini wapo bukoba ZAIDI kuliko maeneo mengine?
5 Reactions
11 Replies
844 Views
— Ukweli wa Kiroho Tunaopaswa Kuujua Binadamu kila mmoja anazaliwa na kusudi, karama, na nguvu ya kipekee aliyojaliwa nayo kiroho. Kipaji ni zawadi ni zawadi takatifu, ama tunaweza kusema.kipaji...
2 Reactions
0 Replies
266 Views
Mnamo mwaka 1973, dunia ilishuhudia tukio la kihistoria ambalo lilibadilisha mwelekeo wa siasa za kimataifa na uchumi wa dunia. Mhusika mkuu wa tukio hili alikuwa Mfalme Faisal bin Abdulaziz Al...
1 Reactions
3 Replies
516 Views
KUNA WATU WANAUMIA WAKONA MAENDELEO YA TANZANIA Serikali ya Tanzaniaimeendelea kushirikiana na wadau mbalimbaliikiwemo Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Chinakatika kuboresha huduma za uchukuzi...
0 Reactions
3 Replies
463 Views
Leo ninaandika kwa hasira. Hasira ya kuona taifa linalodhoofika kimya kimya, kizazi kinachoumia huku wazazi wakijifunika blanketi la visingizio. Ninaandika kwa huzuni—kwa sababu tunaangalia taifa...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Barabara hii imekuwa ikitengenezwa lakini hata miezi miwili haiishi inafumuka, ina matuta kuliko Barabara za Changarawe wakati ni barabara kubwa (cross country road). Ukifika eneo la karibu na...
0 Reactions
2 Replies
604 Views
Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, ameitaka Serikali kuweka mfumo huru wa kupima matumizi ya vifurushi vya data ili kumaliza malalamiko ya wananchi dhidi ya watoa huduma za mitandao ya simu...
0 Reactions
4 Replies
367 Views
Wanajamvi kama kichwa kilivo. Nimeitoa huko mtandao wa us embassy hapa Tanzania. Kuna mkulungwa alimshambulia askari polisi anayelinda ubalozi wa US pale msasani na kutaka kupora bunduki. Lakini...
1 Reactions
10 Replies
951 Views
MSIKILIZE KWA MAKINI MH. JAFO ALIVYOMSHUKIA MBUNGE LUHAGA MPINA https://youtu.be/6cgETStbjyQ?si=Y9udHaNAYD8ZoIfE Soma pia Mpina amvaa Waziri Jafo Bungeni: Wizara ifutwe, bidhaa Feki zimejaa, ni...
0 Reactions
4 Replies
498 Views
Daladala zinazofanya biashara ya kusafirisha abiria kati ya Kigamboni kwenda Kongowe -> Mkuranga -> Toangoma kupitia Mjimwema zimegoma kufanya kazi baada ya kuwa na kipande kibovu hivyo kulazimika...
0 Reactions
2 Replies
504 Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari , Jerry Silaa amesema Watumiaji wa intaneti nchini wameongezeka kutoka milioni 37.3 April, 2024 hadi milioni 49.3 April, 2025 sawa na ongezeko la...
0 Reactions
3 Replies
370 Views
kama Hakimu ananifanyia mambo ya kuninyima haki yangu naweza kumpeleka katika mamlaka gani kumshitaki (siyo mahakamani). Unaona kabisa kuwa huyu hakimu ana ubia na mshindani wangu . Mamlaka yake...
1 Reactions
0 Replies
107 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…