Hello JamiiForums, ni Kainetics hapa ivi. Kwenye thread hii fupi nitaongelea mambo ambayo ukiyazingatia, basi itakua ngumu sana Kutapeliwa mtandaoni kwa namna yeyote ile.
Mtandao ni sehemu kubwa...
“Mwenye nacho huongezewa, asiye nacho hunyang’anywa hata kile kidogo alicho nacho.”
- Mathayo 13:12 (Biblia).
Inaweza kuonekana kama isiyo na haki, lakini ndani yake imefichwa kanuni ya...
Waziri wa Madini na Mbunge wa Dodoma Mjini, Mhe. Anthony Mavunde, amewataka wanachama wa vyama vya ushirika katika Mkoa wa Dodoma kutumia muunganiko huo kujibu mahitaji ya wananchi ya kijamii na...
MWEKEZAJI wa sekta ya usafirishaji jijini Arusha ,Patrick Mulokozi amelalamikia Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushindwa kumpa ushirikiano kuweza kupata mali zake ambazo ni mabasi mawili aina...
Kwa Asili Mwanadamu Anapofanikisha Jambo Hutamani Ile Furaha Aliyonayo, Ile Shangwe Ijulikane na Kila Mtu Aliyemzunguka.
Kama ni Baba, Mama au Ndugu Atataka Wote Wajue Kuwa Kuna Jambo Kafanikisha...
Anaandika, Robert Heriel Tz
Mtibeli.
Kwa Sisi watibeli mwanamke mzuri ni Yule mwenye akili, Tabia njema, na Mwonekano.
Kuwa na kimoja hakukufanyi uwe mzuri.
Kuwa na viwili hakulifanyi uwe mzuri...
Barabara ya Mbezi Makabe ( Kwa Pesapesa) Jijini Dar es Salaam ina ubovu wa kiwancho cha juu sana
Jiulize watoto wanaendaje shuleni, wafanyakazi wanaendaje kazini?.
Mbunge wake akiwa bungeni...
Habar za jumamosi wana-jamiiforums,
Moja kwa moja naomba nishee nanyi kisa kimoja kinachomkuta mtu wa karibu ambaye aliamua kushea namimi hili jambo lake
Huyu jamaa yangu tulikuw pamoja enzi za...
Sanamu ya Uhuru iliyopo New York ni zawadi kutoka Ufaransa mwaka 1886, ikiwa ni ishara ya uhuru, demokrasia, na marafiki wa mataifa mawili. Hata hivyo, kwa miaka mingi kumekuwa na hadithi na...
Hebu nichambue kwa kina kila hoja kwa kulinganisha na Waarabu na kutoa mifano ya hivi sasa:
1. Mgawanyiko wa Kikoloni na Umoja wa Kiarabu
Waafrika: Ukoloni ulitengeneza mapaka ya kigeni...
Arusha 16 Mei 2025 - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, amezindua rasmi Shule ya Sekondari ya Mfano ya Benki ya CRDB, itayojengwa katika Manispaa ya...
Kushambuliwa kwa Majengo Pacha ya Marekani (Twin Towers) — Tukio la Septemba 11, 2001 (9/11)
Tukio la Septemba 11, 2001, ambalo pia hujulikana kama 9/11, ni mojawapo ya mashambulizi ya kigaidi...
Simba SC tunajiweza Wenyewe kwa kila Kitu kuanzia Kukodi Ndege, kuwapa Hamasa Wachezaji wetu za kuanzia Shilingi Milioni 10 hadi Milioni 20 na hata uwezo wa Kukodi Ndege tena hata ile Air Force...
Bunge la Ulaya limeshamaliza, maneno tumebaki nayo sisi tusiokuwa na kiasi
Kwa wito uliotolewa na Bunge la Ulaya haukuwa na haja ya kusindikizwa na maneno mengi ya Watanzania kilichobaki ni...
Wataalamu wa uchumi, hebu tupe ufafanuzi zaidi na wa kitaalamu kuhusu noti kubwa ya elfu 10,000 kutembea zaidi kwenye mzunguko wa fedha ,kuliko noti nyingine.
Je! ina athari yeyote kiuchumi au...
Serikali imebaini na kuzifungia laini za simu 47,728 pamoja na nambari za Kitambulisho cha Taifa (NIDA) 39,028 baada ya kugundulika kuwa zimehusika katika matukio ya uhalifu wa kimtandao na...
Kama nisingekuwa niliye leo, huenda nisingeweza kuandika maneno haya kwa uhuru, kwa undani na kwa kujiamini. Huenda ningekuwa mtu wa kukata tamaa kwa urahisi, ningeishi maisha ya kuigiza...
Namba za Simu za Kimataifa ni Nini?
Namba za kimataifa ni viambishi namba vinavyowekwa mwanzo wa namba ya simu unapopiga kutoka nchi moja kwenda nyingine. Mfano: Ukitaka kupiga kutoka Tanzania...
USHUHUDA HUU UKUFUNDISHE KITU
👇♨️♨️♨️♨️👇👇
[5/15, 11:59 AM] wione FX: Ngoja sasa nishuhudie mafunuo yangu juu ya semina ya hii ya tano.
Maana jana niliskiliza sikumaliza...sasa asubuhi hii...