Baadhi ya Bodaboda wa Bongo ni miyeyusho sana. Ukiwa katika pitapita zako karibu na kituo chao,ukiinua kichwa kutazama upande wao, bam! ,Wamewasha pikipiki zao zote,chapu kukufuata, kabla hata...
Barani Afrika, baadhi ya viongozi wenye ushawishi mkubwa si tu kwamba ni vigogo wa kisiasa, bali pia ni matajiri wakubwa. Miongoni mwao ni Mfalme Mohammed VI wa Morocco ambaye utajiri wake...
Tukirudi nyuma Israel ilifunga anga hadi marekani akatengeneza bandari ya mda ili kufikisha msaada gaza.
Leo hii mchina kapeleka msaada tena kupitia anga na jets za kivita kwa rada na mifumo ya...
Salaam Wakuu,
Ule mtaro uliokuwa umeziba maji wazibua, maji yalikuwa yametuama na kusababisha kero kubwa yameweza kwenda. Hii isiishie hapo.
Barabara ya eneo hilo itengenezwe, na njia za mitaani...
1. Hoja ya Yesu si Mungu kwa sababu alilala (Marko 4:38):
Andiko hili linaonyesha ubinadamu wa Yesu — alikuwa na mwili wa kibinadamu, alichoka na akahitaji usingizi.
Mungu wa kweli hawezi kulala...
Serikali imethibitisha kuwa inaendelea na hatua za awali kuelekea ujenzi wa daraja la kudumu linalounganisha Kijiji cha Negero katika Wilaya ya Kilindi, mkoani Tanga, ili kuboresha miundombinu na...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Mjini kimeonesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara inayounganisha maeneo ya Ilomba na Machinjioni, chini ya mradi wa...
Najiuliza hawa DDC wanapata wapi uharali wa kupima viwanja maeneo ya Mbopo, Mabwepande na Tegeta A. Nadhani sheria za ardhi zinakiukwa na naona kuna mgogoro mkubwa unakuja huko mbeleni. Wizara ya...
Wakuu siku nyingine kwenye chumba chako
Chimba weka sehem ya kuwekea vitu vya thaman juu ukubwa wa tiles moja au mbili alafu unarudishia tilesvizuri kwa ajili kutunza mali zako
Na pia kuna...
Aisee nimepita Veta mtwara kumsalimia my young sister. Story nilizo Kuta hapo kuhusu vibinti vya hapo ni hatari sana aisee..
Vibinti vidogo lakini vina mambo makubwa.
Bora hata Veta Lindi...
Taasisi ya Saratani Ocean Road, leo Mei 22, 2025 imepata ugeni wa kutembelewa na Dkt. Idrissa Traoré ambae ni mratibu wa Kitaifa wa Mpango wa Afya wa Rais wa Burkina Faso pamoja na ujumbe wake...
Na Murugesh Madkannu, BBC Tamil
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Nilipokuwa mtoto, kulikuwa na miti na vichaka vingi kuzunguka nyumba yetu. Jioni moja kulitokea tukio. Umeme ulikatika wakati...
Ebana wanajamvi inakuwaje?
Kampuni ya ulinzi Bond security Arusha imefunga mageti yote ya Hospitali ya Selian Jijini Arusha na kuondoka.
Kampuni hiyo ilifanya hivyo kwa kudai malimbikizo ya...
Katika jamii yoyote inayojitambua, wakili ni zaidi ya mtaalamu wa sheria—ni mhimili wa maadili, sauti ya wanyonge, na mlinzi wa utu. Lakini leo, mbele yetu amesimama kiumbe mpya: wakili msomi...
Na Astrosecrets Tz +255 672 803 722
Tulipozaliwa, hatukupewa nafasi ya kuchagua mazingira yetu. Tulijikuta tayari mikononi mwa wazazi au walezi, ndani ya jamii yenye mila, imani, na mfumo wake...
Nini Maana ya Kila Silaha Itakayofanyika Juu Yako Haitafanikiwa
Neno la Mungu
Katika Isaya 54:17, Neno la Mungu linasema, “kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa, na kila ulimi...
Habari wakuu
wait and prove me wrong
TOP SECRET | LEVEL OMEGA CLEARANCE]
1. Mei 5, 2025 – “Blackout Test” ya kidunia (Mitandao na Umeme)
Mpangaji: World Economic Forum + AI Central Intelligence...