Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu! Kama kichwa cha uzi kinavyojibainisha, kwenye jamii ya leo kumekuwa na mabinti au wanawake wengi wasiotambua thamani yao. Ndo maana leo hii huko mashuleni, vyuoni na makazini...
1 Reactions
0 Replies
306 Views
Shalom! Kama Kuna mtu amewaloga watanzania hasa wa tabaka la chini naomba awasamehe sana maana wanateseka sana. 1. Juzi baada ya kesi ya Lisu kuahirishwa watanzania wawili (mmoja Mzee mmoja...
10 Reactions
102 Replies
4K Views
Mbona kuna watu wanaeneza chuki ya kidini miongoni mwa watu? Sasa mtu kuvaa kanzu na barakashia kuna muathiri vp mwanafunzi na wale wanaowafundisha? Watu wachache ebu acheni kueneza udini.Unafiki tu
1 Reactions
2 Replies
163 Views
. Hii inaonyeshwa wazi kwa kutumia mifano kama motherland, mother nature, mother tongue, na mother earth—hizi zote ni dhihirisho za nguvu za uzazi na uundaji zinazomilikiwa na kike. Kwa maana hii...
2 Reactions
0 Replies
228 Views
Mkoa wa Lindi unatarajiwa kuwa lango kuu la uchimbaji wa madini kutokana na kuonekana kuwa na aina zaidi ya 10 za madini mbalimbali yanayopatikana kwa wingi ikiwemo madini ya kimkakati kama Kinywe...
0 Reactions
8 Replies
711 Views
Na ili niweze kuwa na access ya kupromote hiyo video natakiwa kuwa na vitu gani? With much thanks in advance
5 Reactions
4 Replies
499 Views
NYUMBA YA MKAPA YAGEUZWA KUWA HOTELI? Nyumba ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa iliyopo Obama Drive, Sea View. jijini Dar es Salaam ambayo geti lake huwa linafungwa imeonekana ikiwa geti wazi huku...
39 Reactions
96 Replies
7K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amesema ukosefu wa chombo cha kuwasimamia Madalali katika sekta ya ardhi umekuwa ukisababisha ongezeko la migogoro mingi katika...
0 Reactions
3 Replies
362 Views
Kwema wakuu Kama title inavyosomeka ningependa kujuzwa, kati ya Mbunge na Mkuu wa wilaya yupi ana mamlaka zaidi ya kiutawala/kiuongozi? Naelewa mbunge yupo kwenye mhimili wa bunge(legislature)...
3 Reactions
75 Replies
3K Views
Katika historia ya nchi yetu, viongozi wengi wa juu wamekuwa wakitegemea sana ushauri wa watu wa karibu — wasaidizi wao wa kisiasa, wataalamu, na washauri wa kila aina. Ushauri huu unapaswa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Kumekuwa na ongezeko la foleni kubwa jijini Dar es Salaam, hasa kwenye barabara za kutoka Mwenge kwenda Tegeta, Mwenge kwenda Buguruni, na Posta kuelekea Mwenge, hasa nyakati za asubuhi na jioni...
3 Reactions
5 Replies
617 Views
Uganda imegundua zaidi ya tani milioni 31 za dhahabu, na wastani wa tani 320,000+ za dhahabu iliyosafishwa zikiwa zimefichwa chini ya ardhi yake.. Kuthaminiwa kwa matone ya taya ya $ 12, ugunduzi...
1 Reactions
4 Replies
347 Views
Hili ni kuhusu kuchaguliwa kwa Papa Leo wa Kumi na Nne, kutoka kwa Jaji mmoja nchini Kenya ambaye si Mkatoliki Hon. Jaji Aggrey Kuna aina ya hekima isiyopiga kelele. Haijitafutii umaarufu...
2 Reactions
6 Replies
592 Views
Tanzania imejengwa juu ya misingi thabiti ya amani, umoja, na mshikamano. Hii ndiyo sababu leo tunasafiri, tunasoma, tunafanya biashara, na tunaishi bila hofu ya vita wala machafuko – tofauti na...
3 Reactions
2 Replies
343 Views
Siku za hivi karibuni nimesikia Masheikh mbalimbali na waumini wa kawaida wakiomba dua mbaya dhidi ya watu walio kinyume nao katika upande wa msimamo wa siasa. Ningependa kufahamu kama haya ni...
0 Reactions
2 Replies
322 Views
Hii umenisgangaza sana sijajua kwanini wakuu labda wengine mnifafanulie naona baada ya kushinda janabi kuwa mkurugenzi wa WHO africa naona taasisi nyingi za kiislamu zinampongeza tofauti na...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini kama yanatokea kwenye nchi iliyobalikiwa madini kama tanzania! Wanafunzi wanasomea madini kwa maana ya (Mineral Processing, mining science na mining...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Mara zote huwa nikiwakandia Hawa jamaa zetu wanaoishi nje ya nchi naonekana (ga) kama si Muungwana lakini ukweli ni kwamba,Hawa jamaa Wana Vichwa vigumu zaidi ya Kamongo ! Ninao jamaa kadhaa...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? This reminded me of James Hadley chase best novel "The way the cookie crumbles".
2 Reactions
8 Replies
446 Views
Ezekiel Malongo is no more... amefariki katika Hospital ya Mwananyamala usiku wa leo kwa Malaria... Nimepokea ujumbe wa Message kutoka kwa staff mwenzie wa TBC FM.
7 Reactions
185 Replies
72K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…