Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wenzetu nchi kubwa kama unataka bucha za nyama za vibudu zipo. Kama unataka za dini zako zipo. Kama unataka za wahadizabe zipo yani wanyama pori. Hapa nacho sema bucha nyingi za tanzania...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) leo Mei, 31, 2025 amewaongoza mamia ya Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo...
0 Reactions
7 Replies
694 Views
Mafuta haya ya nazi ya MINARA yanayotengenezwa Mombasa nchini Kenya ni mafuta ya asili ya nazi kutoka mwambao wa pwani ya Afrika mashariki, Mombasa. Haya mafuta niliwahi kuleta dukani kwangu...
0 Reactions
31 Replies
10K Views
Baba Mtakatifu Leo XIV amemteuwa mtanzania Monsinyori Romanus Mbena kuwa ni Mkuu wa Ofisi ya Baraza la Kipapa la Huduma ya Upendo, ambaye hadi kuteuliwa kwake amekuwa akihudumu kama Afisa Mshauri...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwanaume umeshajua we ni mnene, bonge, kiriba tumbo na upo irregular. Sasa,kwanini una-watia aibu wanaume wenzio kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika mfereji wote mpaka chini? Kwanini unavaa nguo...
17 Reactions
37 Replies
2K Views
Kufanikiwa kumekuwa moja wapo ya sababu ya kufanya maadui waongezeke kwani kadri neema zinavyoongezeka ndivyo hivyo hivyo maadui wanaongezeka. Swali kubwa ni kuwa Kuna mantiki yoyote kumchukia mtu...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Pale Ubungo Plaza nilifanyiwa hivyo mara ya kwanza....nikasema poa ngoja na kesho nije nione ...ikawa yale yale... Nikaa siku mbili nikaenda tena na laki mbili nikafika dirishani kwa yule dada...
16 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna wimbi kubwa la wamama wanakuja mjini kuomba wakiwa na nguvu zao wala si wahitaji kwa maana wana uwezo kufanya kazi haya maeneo niliyotaja wamefanya kama vijiwe vyao yaaani wanasumbua sana...
4 Reactions
7 Replies
459 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Mhe. Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya, akisaini kitabu cha maombolezo kwa heshima ya aliyekuwa Daktari Bingwa wa Radiolojia...
3 Reactions
6 Replies
723 Views
Mtu kalipia zaidi ya miezi 2 huu unaenda wa tatu ila hakuna huduma, majibu mnayonipa ni ya hovyo huduma kwa wateja ni ya ovyo umeme kufungiwa nyumbani kwake mpaka anyooshe mkono au? Kuna watu...
2 Reactions
5 Replies
376 Views
Kinachonishangaza ni kwamba wanafanya uchaguzi mwaka 2027, but wapo busy as if uchaguzi unafanyika July 2025!... Jamii ya magharibi ilituweza sana kutupatia mfumo ambao baadhi bila kujielewa...
1 Reactions
16 Replies
620 Views
https://youtube.com/live/YybY9DT4-As?feature=share https://www.youtube.com/watch?v=sS8BGd_1yRA&pp=ygUKbWFlbGV6byB0dg%3D%3D Leo Mei 30, 2025 ni Siku ya pili ya Mkutano wa Afrika wa Utawala wa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
●Maulid Kitenge, Shaffih Dauda na DJ Joozy wapata sehemu ya Uzoefu katika Maisha kwa kwenda Munich Kwa Hisani ya Kampeni ya Heineken ya "Cheers to the Hardcore Fans" Dar es Salaam, Tanzania...
1 Reactions
2 Replies
435 Views
Anonymous
Habari, Stendi ya Mbezi Chini kumekuwa kero kiukweli, sio magari au watembea kwa miguu yaani wafanyabiashara wamepanga bidhaa zao hadi kwenye barabara kabisa. Wengine wameegesha kabisa mabanda...
3 Reactions
9 Replies
739 Views
Ndugu zangu hii naiona wilaya ya Nkasi iliyoko mkoani Rukwa , wilaya hii ni ngumu sana kupata uhamisho hasa kupitia mfumo wa Ess ambao uliletwa mbali na shughuli nyingine kumrahisishia mtumishi...
1 Reactions
8 Replies
697 Views
Tangu mazuji app yenu haifanyi kazi, Simbanking nako haifanyi kazi, mpigiwa simu mnadai IPO kwenye matengenezo. Matengenezo gani hayo hayamaliziki? Mnaboa mnooo
2 Reactions
7 Replies
436 Views
Nilishawahi kuandika kuhusu hii shule, walimu hawafundishi, hawaingia darasani, headmaster haonekani shuleni, hajui kinachoendelea ktk shule anayoiongoza. Inaumiza, inasikitisha jinsi watoto wa...
10 Reactions
68 Replies
4K Views
Helllo JF.... Nilikuwa na wazo... Tanzania (serikali) iwe na mtandao unaotoa distant couurses za ufundi... Ziwe free ku tackle shida ya ajira... Nimeona course kama Graphic designs...
10 Reactions
34 Replies
1K Views
WAKAGUZI wa Migodi ya Madini na Baruti wametakiwa kufanya kazi kwa weledi, kuongeza ufanisi na kufuata taratibu na sheria za nchi katika utoaji wa huduma. Hayo yamesemwa leo Mei 29, 2025 na...
1 Reactions
3 Replies
362 Views
Tarehe 17 may,2025. Kuna mwananchi mmoja kata ya Reha,Kijiji Cha Nessae wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro alichomwa moto na mwanachi. Jeshi la polisi lipo kimya na tunazo Taarifa kua wanataka...
1 Reactions
6 Replies
547 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…