Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

SERIKALI imetoa waraka wa mwongozo mpya kuhusu uendeshaji wa taasisi za kidini nchini wenye mambo tisa ya kuzingatia. Pia, imeonya na kuyabana zaidi madhehebu yanaoibuka bila kuwa na mifumo mizuri...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Ukiwa mwepesi wa mihemuko na mbusu pete ya msimamo wa itikadi kali jibu lako litakuwa ni USA na ISRAEL ila kiukweli maudui wakuu wa Gaza ni: Qatar Iran Yemen Jordan Maana hawa ndio wanaofadika...
4 Reactions
11 Replies
503 Views
Katika tamaduni nyingi za kale, hasa barani Afrika, wazee wetu walithamini sana mwanamke anayehifadhi usafi wa mwili wake – si kwa sababu ya mila tu, bali kwa sababu walijua fumbo la nishati...
0 Reactions
5 Replies
583 Views
Kwema wakuu, Najaribu kuwaza tu hata hili deni lingekuaje, hali ya jamii pia Na vipi kuhusu nyanda zingine. Nawaza tu usichukulie serious sana
3 Reactions
9 Replies
318 Views
Watu Wanaoongoza Kukosa Amani 1. Wanasiasa Hasa wale wa upinzani, mara nyingi hukosa amani katika nchi nyingi za Afrika na zile zinazoongozwa kwa misingi ya kidikteta. Wanakumbwa na ukandamizaji...
1 Reactions
11 Replies
394 Views
Jana jumamosi tarehe 5 ilikuwa ni graduation kwa wanafunzi wa form Six Baobab high school Bagamoyo. Kuna tatizo Sugu kuhusu huduma ya vyakula siku ya visiting day au mahafali huruhusiwi kwenda na...
57 Reactions
160 Replies
7K Views
Leo ni siku ya mwisho ya mwezi wa 5 tunaelekea nusu ya mwaka 2025. Nini unajivunia, umefanikiwa nacho, umekifurahi zaidi au kimekuboa, kimekurudisha nyuma, kimekukasirisha mpaka sasa ndani ya...
5 Reactions
52 Replies
1K Views
Nimeona wengi hamuelewi maana ya Ponjoro ama kwa udogo wa umri wenu au mnaishi vijijini kama Lucas Mwashambwa Ponjoro walikuwa ni wale watoto wa Kidosi ambao ukimvuta nywele anaanza kutetemeka...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Hiki ni kitabu kipya kilichoandikwa na Msemakweli Kainerugamba. Kati ya mambo mengine mwandishi anatoa orodha ya majina ya watu vyeti bandia. Baadhi ya “mafisadi wa elimu” ni viongozi wakubwa...
1 Reactions
23 Replies
9K Views
Chama Tawala kina mizizi mikubwa sana hapa Tanzania na hakuna njia ya kupambambana nacho ili kukiondoa,iwe kwa boksi la kura au hata nje ya boksi la kura but kwa bahati mbaya mno viongozi...
3 Reactions
23 Replies
788 Views
Karibia kila nchi ina namna ya kumuita Yesu kwa jina lake, mm mtanzania nikiomba nasema Katika jina la Yesu alafu mwingine anasema in Jesus nama ama Yoshua, to me it feels like maombi yanaenda kwa...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Huu unahisi ni wimbo gani?
1 Reactions
2 Replies
483 Views
Kitaa kwa kitaa tukizungumza na wakazi wa mtaa wa Kombo kuhusu umuhimu wa amani ya Taifa letu. https://youtu.be/iczf_ktTHX8 Amani ya Tanzania inaanza na sisi , Kuilinda Amani ya nchi yetu ni...
1 Reactions
1 Replies
196 Views
Baadhi ya Walimu katika Shule za Msingi Mugana A na Katarabuga ziliyopo Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera wanawaagiza Wanafunzi vyuma chakavu ambavyo vimekuwa vikiuzwa kwa ajili ya manufaa yao...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Hii video nmetumiwa,sijui ni wapi.. Ila hii style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua na wanawake kumbe vibaka Naona hapo mzee kabananishwa katulia Ova
16 Reactions
83 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Ni wakati mwingine tena tunakukaribisha katika mtanange wa mkubwa hatua ya Nusu final katika Kombe la wimbi la UTEKAJI TANZANIA. Timu zilizoko uwanjani leo ni kati ya KENGE FC vs PONJORO FC, huku...
1 Reactions
0 Replies
322 Views
Kuna wadada kwnye usafiri wa uma ni wakorofi balaa hawarushi mateke wala ngumi ila ni wachokozi tu unapata gari unaingia mtu anakaa mbele yako anajisogeza na anakuletea mzigo makusudi kila...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Dereva Mtanzania aliyekuwa akiendesha lori, Juma Ally Maganga (45) ambaye alikuwa akishikiliwa na Mamlaka za kiusalama nchini Sudan Kusini kwa tuhuma za kugonga mtu na kusababisha kifo cha mtu...
3 Reactions
58 Replies
4K Views
  • Closed
Na Tauceti Rigel Ni lini jamii itaamka kutoka usingizi wa kina, na kukubali kuwa baadhi ya tamaduni zinazofichwa nyuma ya pazia la dini ni vazi la unyama wa wazi? Swali hili linapaswa...
6 Reactions
0 Replies
672 Views
Eti wanavuka mpaka kuja Tanzania kufanyakazi bila vibali. Kazi yenyeweeeee!!! Wee acha tu. You can not solve local challenges by importing solutions; you are likely to put a square bolt in to a...
6 Reactions
89 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…