Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari Tanzania !. Naomba kupendekeza wazo la kodi hasa toka chanzo kipya " KUSANYIKO LA WATU". Pawepo na utaratibu wa kutoza Kodi sehemu ambapo mtu au watu au taasisi wanaotaka kunufaika na...
0 Reactions
41 Replies
2K Views
Kwa haya yanaondelea hakuna mskitini wala kanisani mkasema kutakuwa na usalama na sehemu ambazo zitakuwa zinawindwa na kuwekewa maaskari ni zile nyumba za ibada ambazo zinaeleza mwenendo wa nchi...
2 Reactions
2 Replies
299 Views
Wanawake wengi sasa wana nafasi sawa kwenye elimu, ajira, siasa na fursa mbalimbali kama ilivyo kwa wanaume, Hakuna haja ya kuendeleza kampeni zilezile kwa wanawake. Tunashangaa hadi leo kuona...
3 Reactions
12 Replies
569 Views
Kati ya Kipindi cha Mwezi Julai 2024 hadi Machi 2025, Serikali imetoa misahama ya matibabu ya afya yenye thamani ya Shilingi 34,720,233,085.28 kwa wagonjwa 268,224 wasio na uwezo wa kumudu gharama...
0 Reactions
1 Replies
329 Views
Baada ya Mbunge wa Chama tawala nchini Tanzania ambaye pia ni Askofu kuitaka serikali kukomesha mambo ya utekaji na mauaji nchini Tanzania na kutishia kuwataja watekaji hao, Serikali ilijibu kwa...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Juu kumejaa harufu ya uozo, Viti vya fahari vimevamiwa na wezi, Mikono michafu inachora sera, Kisha wanadai tusiwe na lawama. Wanasema tusubiri neema itoke, Lakini miguu yao iko juu ya vichwa...
2 Reactions
2 Replies
251 Views
Katika maisha, watu watakuwa na kitu cha kusema kila wakati. Ikiwa unasimama imara au unainama, mtu mahali fulani bado atazungumza. Kwa hivyo chaguo ni lako. Je, utakuwa punda mkimya kila mtu...
1 Reactions
1 Replies
276 Views
Habari, Baada ya Mzalendo John Pombe Magufuli kuchukua madaraka alijitahidi kuboresha huduma za maji Kwa maeneo ya Ilala ilikuwa ni nadra sana maji kukatika, lakini Cha ajabu na masikitiko...
0 Reactions
4 Replies
436 Views
Sisi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Sayansi ya Data kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika. Tunaomba msaada wa haraka kuhusu changamoto kubwa ya fedha zilizokwisha lipwa na bado...
0 Reactions
1 Replies
634 Views
Katika maisha haya ya dunia, kila binadamu anakutana na mitihani. Iwe tajiri au masikini, mwanamume au mwanamke, kijana au mzee — kila mmoja amebeba msalaba wake. Na mitihani hii haiji kwa bahati...
1 Reactions
5 Replies
591 Views
Napata shida ya kununua umeme toka asbh kuna mtu anaexperience hili tatizo au ni mm tu?
0 Reactions
3 Replies
298 Views
Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesema Serikali inatakiwa kuelekeza nguvu katika kudhibiti matumizi ya Dawa za P2 kwa maelezo kuwa zimekuwa na athari kubwa katika kizazi cha Wanaotumia...
0 Reactions
4 Replies
692 Views
Pale makoroboi stand ya dalala, kuna tuta(bump) kubwa, baada ya tuta hilo kuna mashimo makubwa sana katikati ya barabara. Cha ajabu kwenye tuta hilo na chini ya tuta hilo utakuta zimepaki dalala...
0 Reactions
1 Replies
463 Views
Imagine unatakiwa kwenda kuwatawanya watu wasikusanyike kwenye Kanisa la ufufuo na uzima wakati na wewe ni muumini wa hapo hapo. Pole sana kaka yangu, nilikuambia twende ualimu ukakataa. Ona sasa!
3 Reactions
11 Replies
727 Views
Wadau hamjamboni nyote? Msiwe na wasiwasi wadau! --.be thou faithful unto death, and I will give thee a crown of life Ufunuo wa Yohana 2:11
0 Reactions
2 Replies
279 Views
Kila kijana sasa amekuwa comedian. Ukifuatilia vizuri sio kwamba ni watu wenye furaha au hata kujikimu sana basi tu wanafanya hivi ili wafariji nafsi zao kwa kujiconnect na watu na kutengeneza...
2 Reactions
2 Replies
396 Views
Silaha zote zitumike, wanaoongea waziwazi, keyboard warriors na wenye imani mbalimbali tuendeleze mapambano. Hapa tuweke maombi yetu ya kiimani dhidi ya utekaji, mauaji na ukandamizaji...
0 Reactions
4 Replies
299 Views
Kuamini kwenye MAJINI ni dalili za uchawi
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Na, Kalamu ya Jenerali, Mbalali Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na...
3 Reactions
17 Replies
950 Views
Wananchi wakisaidia kuwatoa abiria waliopata ajali ya bajaji iliyoanguka katika eneo la Ubungo Maji, mchepuko wa Barabara ya Morogoro. Kwa mujibu wa mashuhuda, bajaji nne zimeanguka katika eneo...
1 Reactions
8 Replies
612 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…