Wanafunzi na wakufunzi toka vyuo vikuu nchini Tanzania wameibuka washindi wakuu katika mashindano ya Masuala ya Teknolojia ya Huawei ICT ya mwaka 2024 - 2025 wakiwashinda washiriki wengine zaidi...
Walikuwepo watu wengi, wengine wazungu, wengine waafrika. Nilikuwa nafanya discussion na mwanamke mmoja wa Kizungu. Tulikuwa tunaongea lakini yeye alikuwa mbali kidogo, anaongea sisikii vizuri...
Tumewaona wanyama na binadamu wengi wakizeeka na kufa lakini sio nyoka..
Ni ngumu sana sana kukutana na nyoka mzee.Siri ni moja tu. Nyoka wana hulka ya kujivua gamba (ngozi ya zamani) pale...
Katika Maendeleo ya Teknolojia Kampuni ya Kubwa ulimwenguni Nike imefanikiwa kuzindua muundo mpya wa viatu vya soka kwa kuweza kutoa buti za mpira aina ya hypervenom hydra zikiwa na uwezo wa...
Inashangaza vikampuni ushuzi vya mabasi vimejaa shekilango. Kila baada ya miezi 6 ukirudi unakuta kishafungwa. Unganisheni Nguvu Undeni kampuni kubwa ya Mabasi yenye tija na weledi (...
Habari za wakati huku wanajamvi wa jamii forum. Natumai mu wazima wa AFYA teletele.
Napenda kutumia fursa hii kuwasilisha dukuduku langu kuhusu masuala ya USAJILI wa huduma mbalimbali katika...
Mambo vipi wana JF.
Matumaini yangu wote mko poa,
Uzi huu ni kwaajili ya watu wote, lengo ni kutiana moyo,kufarijiana,kusapotiana na kuleta maneno ya hekima, yenye misemo na methali mbalimbali...
Baada ya kupitia salary scale za majeshi yaliyo Wizara ya mambo ya ndani nimeshtushwa na mshahara anaopokea askari Magereza mwenye degree, diploma na certificate ambapo hulipwa basic salary ya Tsh...
Raia wa Uganda wana wastani mzuri zaidi wa kuishi kuliko majirani zao wengine wa Afrika Mashariki, kulingana na takwimu za hivi karibuni zilizotolewa na Worldometer.
Utafiti huo umezingatia...
Gwajima ameshea link ya mahubiri yake yanayoendelea kufanyika leo jioni licha ya serikali kufungia kanisa lake. Mahubiri hayo yamerushwa LIVE kupitia link hapo chini Jioni hii baada ya Mamlaka...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja kuwa Baadhi ya Shule za Msingi Wilaya Missenyi-Kagera, Walimu wanawaagiza Wanafunzi vyuma chakavu kwa manufaa yao binafsi Mamlaka ya Wilaya...
Ni dhahiri kabisa ccm watu hawapendi hata kidogo kabisa wiki iliyopita nilikuwa geita basi nilikuwa nikifika kijiweni natupia tu Ccm Haina mashiko/ushawishi kabisa Kwa Sasa halafu natulia...
Binafsi naona kuna kila dalili ya waumini wa Gwajima kuendeleza mapambano kwa kufunga barabara zaidi, hasa zile za muhimu za rushhour ya kuelekea mjini.., panaweza pakatokea unprecedented chaos...
Unaenda mwezi wa pili huu wanafunzi ambao wanawaita wanufaika wa HESLB hawajaingiziwa accommodion and meals fund,na isitoshe 90% ya hao walipewa 10 to 40% kwa ajili ya tuition fees hivyo...
Kiongozi wa kidini anawaumini wa vyama vyote hivyo ili awahudumie inabidi awe nyutro.
NI hayo tu. Suala la CCM kuruhusu wachungaji ( mashehe sijaona) KUWA wanachama wake na kuwapa uongozi wa...
Ninapinga kwa nguvu zote hatua zote walizochukua Askari polisi na watu walioko Nyuma ya Tukio la kuvamia na kumzunguka Gwajima.
Polisi wakivalishwa nguo wanajisahau kuwa kazi ya Upolisi ndio...
Habari Tanzania !.
Naomba kupendekeza wazo la kodi hasa toka chanzo kipya " KUSANYIKO LA WATU".
Pawepo na utaratibu wa kutoza Kodi sehemu ambapo mtu au watu au taasisi wanaotaka kunufaika na...
Kwa haya yanaondelea hakuna mskitini wala kanisani mkasema kutakuwa na usalama na sehemu ambazo zitakuwa zinawindwa na kuwekewa maaskari ni zile nyumba za ibada ambazo zinaeleza mwenendo wa nchi...
Wanawake wengi sasa wana nafasi sawa kwenye elimu, ajira, siasa na fursa mbalimbali kama ilivyo kwa wanaume, Hakuna haja ya kuendeleza kampeni zilezile kwa wanawake.
Tunashangaa hadi leo kuona...
Kati ya Kipindi cha Mwezi Julai 2024 hadi Machi 2025, Serikali imetoa misahama ya matibabu ya afya yenye thamani ya Shilingi 34,720,233,085.28 kwa wagonjwa 268,224 wasio na uwezo wa kumudu gharama...