Jana wakati natoka Manyara kuelekea Tanga nikapita Arusha, sasa nikakutana na matangazo kuwa mkutano wa 153 wa IPU unafanyika kuanzia kesho jumatatu tarehe 5 mpaka tarehe 9 Oktona, pale katika...
TABORA: Kliniki ya Ardhi Kidijiti mkoani Tabora imehitimishwa kwa mafanikio makubwa, huku wananchi wakiondoka na tabasamu baada ya kukabidhiwa jumla ya Hati Milki za Ardhi 389, hatua inayochangia...
KASULU
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ameendelea na ukaguzi wa maeneo ya uwekezaji ambapo ametembelea eneo la mradi wa kilimo cha miwa na uzalishaji...
Kuna kipindi kwenye maisha unafika mahali unakaa kimya, si kwa sababu huna cha kusema, bali kwa sababu umechoka kueleza unachopitia.
Unaamka asubuhi, lakini moyo hauna furaha. Unaendelea na siku...
Wananchi wa Mkoa wa Kagera wamejitokeza kwa wingi katika kliniki ya ardhi iliyofanyika mkoani humo, ambapo huduma mbalimbali za sekta ya ardhi zimetolewa, ikiwemo utoaji wa hati za miliki za ardhi...
Kwa kawaida kumekuwa na mitazamo hasi kuhusu uhuru wa mapenzi na ndoa.Hali hii imefanya waungwana wa KATAA NDOA wawe na wakati mgumu wanapokuwa wanaelezea facts zao kuhusu UPUUZI na UNYONYAJI...
Nipo Mkoa wa Shinyanga, Wilaya ya Kishapu, ambako baadhi ya vijiji havina maji kabisa. Mfano ni Kijiji cha Kiloleli, ambapo wananchi wengi hununua ndoo moja ya maji kwa Sh1,500.
Hali ni mbaya...
Laana ni nguvu ya kiroho inayoandama maisha ya mtu asifanikiwe kwenye maisha na kuwa na maisha magumu kupititiza.Kuna vyanzo mbali mbali vinavyoleta laana kwenyeaisha ya watu duniani,nitaorodhesha...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Misri hawana mvua ila wana pesa nyingi kutuzidi. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria na sisi (Tanzania) tuwape maji ya ziwa...
Naomba kupaza sauti yangu kama mkazi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. Tumekaa takribani wiki tatu sasa bila kupata maji. Hali ni ngumu sana na wananchi tunateseka kwa...
Habari wana JF
Nimeanzisha mjadala huu kwa ajili ya kubadilishana uzoefu kuhusu usafi wa nyumbani.
Kila mmoja ana changamoto yake katika usafi; wengine wanapata shida kuondoa uchafu kwenye...
Tumsifu yesu kristu.
Tupo ndani ya octoba (mwezi wa kumi), ni mwezi ambao kanisa katoliki liliuchagua kuwa mwezi maalumu wa rozari takatifu kwa ajili ya kumuenzi mama bikira aliye mama wa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake...
April 28 ya mwaka 1984 Salim Ahmed Salim aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania mpaka pale Novemba 5 ya mwaka 1985 alipomaliza muda wake.
Anabakia kuwa Mzanzibar pekee kuwahi kushika madaraka...
Salamu
Nimeamka na mafua,nimepiga dawa aina ya cetrizeni ilikua saa 2 asubuhi, ilipofika saa 5 asubuhi shetani akanipitia nikapiga toti ya konyagi,nimeenda saa 7 nimepiga konyagi ndogo nzima na...
TAARIFA KWA WANACHAMA WA JF
Nimeona ni vyema kuweka jambo hili wazi. Mimi siungi mkono upande wowote wala sina ugomvi binafsi na mwanachama yeyote hapa JF. Mimi ni mimi, sina mtu mwingine nyuma...