Wakati Wewe mwanao anafuatwa na Mdada wa Kazi au anarudi mwenyewe kutoka Shuleni, basi huko Kaizirege Bukoba Kuna Mzazi katuma Helicopter kumchukua Mwanae kutoka Shuleni baada ya kupata Likizo...
Huyu baba ana watoto wengi sana, lakini hajali kuwatunza. Anadai ana mapesa mengi na mali nyingi. Lakini watoto wake wakiugua hawaambii waende hospitali, badala yake anawahimiza waende kwa waganga...
Manung'uniko yamezidi. Lawama zimejaa. Kelele zimeongezeka. Eti kwanini Mungu anatuacha tunateseka? Eti kwanini anatuacha tunaumia, tunaugua, tunakufa..?
Ulisoma kitabu gani wewe kwamba Mungu...
Wenzetu Ijumaa ni mapumziko labda mkuu THE BIG SHOW na Malaria 2 mtupe mwongozo
Kenya serikali yao ndio imetangaza hapa tunaogopa kuchanganya dini na siasa
Ahsanteni sana ππΉπΏ
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata dereva Yahaya Bakari Idd (43) mkazi wa Gongo la Mboto Mkoa wa Dar es salaam baada kusababisha ajali iliyotokea Juni 5, 2025 katika eneo la Mataa ya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, ametoa wito kwa Waandishi wa habari kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuwaelimisha na kuwakumbusha Watanzania juu ya umuhimu wa tunu...
Na Astrosecrets Tz
Mtoto ni baraka mtoto ni nuru mtoto si uwanja wa mashindano ya mitihani wala si kigezo cha kutimiza ndoto zako zilizofeli. Mtoto wako ni nafasi mpya ya mwanga kuja duniani, na...
Kitendo cha kuwepo kwa matabaka kati ya wenye dhiki na matajiri au kitendo cha matajiri wengi kujitenga kimakazi na kwenye mambo mengi na masikini huwa kinatafsiriwa kama dharau na kujisikia kwa...
Picha hii ni ya aliyewahi kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hayati Dkt John Pombe Magufuli na Mke wake Mama Janeth Magufuli.
Vijana wenzangu, maisha ni safari tuamini mchakato...
" Aisee ndugu yangu ukitaka jambo Lako liende wewe nenda kafanyiwe Dua na watoto yatima. Yani majibu ni papo kwa papo. Dua zao Mungu anazipokea hapo hapo "
Hayo si maneno yangu, bali ni maneno ya...
Japo wengi wenu hamuamini juu ya Unabii, lakini Unabii ni really na Manabii wa kweli wapo.
Sasa kama wewe ni Mchungaji, Padre ama Mwijilisti na huamini kwenye Unabii sio tatizo letu.
Mungu...
Enzi hizo Dodoma washua wote wanaishi uzunguni
Watoto wa kishua wanasoma stockley
Kina sie tunasoma amani, na mlimwa ambazo ndio zilikuwa shule bora mjini
Club ilikuwa ni NK pamoja na shilla disco...
π₯ TUKIO: KUZUKA KWA KIONGOZI WA KIROHO ATAKAYEDAI KUWA NA UWEZO WA MIUJIZA YA KUPONYA MAGONJWA HATARI NA KUFUFUA WAFU
π Tarehe inayotabiriwa: Kati ya Septemba 13 na Oktoba 4, 2025
π Mahali...
Wananchi wa Kata ya Chomachankola iliyopo wilayani Igunga mkoani Tabora, wamekataa uwekwaji wa mradi wa skimu ya umwagiliaji katika eneo lililotengwa kwa ajili ya mradi, wakidai kuwa eneo hilo...
Sauti Ya Watu β Nay Wa Mitego
UTANGULIZI:
Hii sio sauti ya kiharakati wala
Ukombozi wa musa na fimbo yake
Bali haya ni maumivu ya mnyonge
Anaye wakilisha walala hoi wenzake
Kwenye kinywa...
Tunaishi katika dunia ambayo inatufundisha kupambana kila siku. Tunapambana na hali ngumu, tunapambana na mawazo, tunapambana na watu, na hata na nafsi zetu. Tunaambiwa: "Usikubali kushindwa."...
Habari mbaya za kusikitisha zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mama wa msanii Hawa Hussen almaarufu Carina, Fatma Maruzuku amefariki dunia.
Mama Carina amefariki leo baada ya mwanae kufariki...