Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini, Kutokana na ubabaishaji wa wakurugenzi wanaoteuliwa na Rais kuwa wababaishaji napendekeza wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe wanajeshi. Hii ni kutokana kwamba wanajeshi wameonesha...
1 Reactions
16 Replies
722 Views
---------------------------------- Tanzania ina visima vya gesi asilia kama vile: 👉 Songosongo 👉 Mnazi Bay Ajabu ni kuwa bado Hatuwezi kuzalisha gesi yetu ya majumbani (Liquified Petroleum...
4 Reactions
11 Replies
706 Views
Sasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Katika hali ambayo sikutaraji kbsaa ni hiki kitendo cha kunyimwa maji ya kujengea Nimemaliza karibia material karibia zote za kujengea nyumbani kwake na bila wasi wasi, sas ilipowadia kipindi cha...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
"Tutahubiri habari njema ambapo haki inatendeka." Mhashamu Stephano Lameck Musomba, Askofu wa Jimbo Katoliki Bagamoyo.
12 Reactions
35 Replies
2K Views
Video hapa chini Video hii inaonyesha kijana aliyemkopesha mama yake kiasi cha laki 5 na alipoenda kumdai, mama yake kiasi hicho ili arejeshewe, basi mama yake alianza kukumbusha mambo yake yote...
4 Reactions
8 Replies
428 Views
Wakuuuu habari za mida ikiwa ni weekend tulivu kabisa Kwa heshima naandika hapa nilimkopa mke WA MTU pesa sahizi nimeitwa kwa mwenyeketi Nina kesi ya kujibu
14 Reactions
41 Replies
2K Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai Wakazi wa Mtaa wa Makamba, Mbezi Msakuzi wana uhaba wa Huduma ya Maji katika Mtaa wa Makamba kutokana na Mradi kutokamilika kwa maelezo Mhandisi...
2 Reactions
1 Replies
565 Views
Wakuu nasoma chuo X hapa dar Sasa Kuna matatizo kwenye mfumo wangu wa matokeo Matokeo yalivyo yanaonesha Nina incomplete kibao na ada zimeongezeka na muda wa kufanya mithiani imebaki wiki moja...
6 Reactions
25 Replies
942 Views
Katika zama hizi tunazoita za maendeleo, kuna mambo mengi tunashangilia bila kuyachambua kwa undani. Tunaona fahari umeme unaposambaa hadi kijijini, nyumba za nyasi zinavyopungua, na watu...
5 Reactions
1 Replies
363 Views
Kila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui. Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔 Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa...
17 Reactions
69 Replies
2K Views
Mara Wasipofanikiwa kukutumia kwa malengo yao watakuita Bahiri. Iwe ndugu, marafiki au, mpenzi. Katika kitu Hatari kwenye Biashara ni kusifiwa kua unatoa sana Pesa, Biashara lazima ikushinde na...
4 Reactions
9 Replies
543 Views
Baadhi Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam ambalo limefungiwa na Serikali, wamejitokeza eneo la pembezo na Kanisa hilo wakiimba nyimbo mbalimbali za Dini. Hata...
10 Reactions
49 Replies
5K Views
Hii bank nadhani kwa sasa wanabweteka sana hawajali tena wateja wao. Imagine wateja 8 tu wanahudumiwa masaa matatu kwenye huduma za kutoa/kuweka pesa dirishani, hivi mnaajiili vilaza au? Na kama...
0 Reactions
4 Replies
582 Views
Yohana 18:33–38 33 Pilato akaingia tena ndani ya ikulu, akamwita Yesu na kumwuliza, "Ati wewe ndiye Mfalme wa Wayahudi?" 34 Yesu akamjibu, "Je, hayo ni maneno yako au wengine wamekwambia habari...
3 Reactions
54 Replies
2K Views
Zaidi ya shilingi Bilioni 2.4 zimetengwa na serikali kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa mwaka 2025 kwaajili ya Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi na Sekondari. Hayo...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Alikuwa amekaririshwa kwamba kutahiri watoto wake lazima aende kwa Dokta Juma Kariakoo. Anaishi Chanika na hana gari binafsi. Tukamshauri mpeleke pale nguvu kazi hospital tafuta Dokta anae fanya...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Katika mistari hii ya kina ya Seneca, tunaalikwa kuutafakari msingi wa maisha yetu—siyo kwa matukio ya nje, bali kwa namna tunavyoyatafsiri kupitia fikira zetu. Hii ni falsafa ya kweli ya kiungu...
2 Reactions
2 Replies
301 Views
Katika utafiti wangu nimegundua kuwa kwenye maisha ya kujitafuta/utafutaji/kufanya uamuzi, watu wamegawanyika katika makundi matatu. 1. Watu ambao wana kipawa cha kugundua hasara/madhara kabla ya...
2 Reactions
7 Replies
464 Views
Hello, wanaJF; Sote tunajua Serikali imefungia mtandao wa X (Twitter) lakini wao Serikali wanaendelea kuutumia kwa kutoa matangazo yao kwenda kwa Wananchi na watumiaji wa mtandao huo. Sababu zao...
0 Reactions
1 Replies
275 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…