Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mnamo mwaka wa 1992, mpiga picha wa Kanada aitwaye Scott Gardner alipiga picha ya chura wa kipekee kutoka Ontario ambaye hakuwa na macho usoni mwake; badala yake, macho yake yalikuwa ndani ya...
1 Reactions
8 Replies
571 Views
Kuna namna mtu huharibika polepole. Hakuruki shimoni — anateleza kwa utulivu. Na hilo ndilo tatizo kubwa zaidi. Karibu kwenye tafakari ya kina kuhusu hali inayowaathiri watu wengi — bila hata wao...
10 Reactions
10 Replies
842 Views
Salaam, Shalom! Mhubiri anasema, Kila jambo na wakati wake. 1. MWANAKONDOO. Mfalme aliacha kiti Cha Enzi, akavaa mwili wa Mwanadamu akaonekana maskini, asiye na utukufu kwa kazi maalum ya...
1 Reactions
4 Replies
317 Views
Bila ya kupepesa macho Serikali haipaswi kufanya biashara ama kupata faida Japo inaweza ikawa na taasisi zenye malengo ya kibiashara kwenye maeneo mahususi au ikanunua hisa kwenye makampuni kwa...
2 Reactions
23 Replies
874 Views
SUALA zima la kusimamisha sehemu za Siri limekuwa na changamoto nyingi hahahahha Mume alimwambia mkewe Mwaka huu wote sitosimamisha tafadhali pika Nile nilale usingizi wa pono ila wewe kuwa na...
1 Reactions
3 Replies
362 Views
Matusi yamekua mengi sana mitandaoni na hao wasanii Wajinga Wajinga wanaojiita kioo Cha jamiii Nimesikitishwa sana na hii video ya gigy money akiwa ndani ya Gari akiimba na Wenzake nyimbo yenye...
1 Reactions
8 Replies
530 Views
NGARA Leo tarehe 10 Juni 2025 Kamati ya Pamoja ya Wataalamu ya Uimarishaji Mpaka wa Tanzania na Rwanda (JTC) imetembelea eneo la mto Kagera lililopo wilayani Ngara mkoa wa Kagera ikiwa ni sehemu...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Japani ni nchi moja ya aajabu sana na nchi zengine za asia zenye wazee ambao wanapenda kuwa maisha yao ya uzee kuwa nzengo. Ijalishi alikuwa nani ila ndio wanakuwa mstari wa mbele kutumikia uzee...
0 Reactions
2 Replies
276 Views
Mimi ni Mtumishi X kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Singida, kumekuwa na tatizo la Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kushikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hata kabla hujafungua kinywa au hata kabla simu yako uliyopiga haijapokelewa, tayari unaonekana unataka kutaja shida usizoweza kuzitatua sababu ya kukosa pesa hivyo unataka kuomba msaada, Ukiona...
4 Reactions
7 Replies
408 Views
Mahakama ya Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam imemhukumu ALLY SELEMANI IDDI kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la Kuzini na Maharimu (mtoto wake ) Hukumu hiyo...
11 Reactions
100 Replies
5K Views
Wajuvi habari zenu? Baada ya kujishauri kwa muda mrefu kuhusu biashara ya kufanya ili walau nipate kipato nimeona suluhisho ni biashara ya stationary. Na hapa nimeona kuwa wengi huwa wanakuwa na...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Wanasiasa wanachota Mabilioni ambazo ni Kodi za walalahoi (Mazombi) bila huruma. Wanaanzisha biashara kubwa kubwa nchini na ng'ambo. Kwann wasiwepo Forbes list of Billionaires ili tujivunie vya kwetu?
8 Reactions
20 Replies
921 Views
Najua inaumiza sana Mzazi kupokea Taarifa za Binti yake kupata ujauzito ile hali angali mwanafunzi, Lakini siku zote panapo maamzi ya hasira lazima kuna galama zake pia. Sheria zipo kwa ajili ya...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Kuna taarifa kwamba kwa mara nyingine tena ajali mbaya imetokea jana mteremko wa Mbalizi, Mbeya, na inasemekana watu 28 wamekufa kwa ajali iliyosababishwa na kugongwa na kukandamzwa na gari kubwa...
9 Reactions
65 Replies
3K Views
Kuna ripoti ya watu mbalimbali kulalamika juu ya ubovu wa pete zilizopo kwenye kamera ya Samsung Galaxy S25 Ultra ambapo zinaanguka zenyewe hazina uimara nini shida.!! Imepita miezi kadhaa toka...
0 Reactions
4 Replies
460 Views
Ilitokea zamani kidogo ila kovu lipo mpaka leo, ni kipindi nilikuwa na miaka 23 naishi ghetto. Nilikuwa nimetoka banda la mpira kutazama mechi ya Uefa, saa ilikuwa takriban sita usiku. Nilitembea...
23 Reactions
48 Replies
3K Views
Ndugu wanajamii forums habarini za Mchana? Nashauri/napendekeza kwa Mamlaka zinazohusika (TAMISEMI) kubadilisha WAKUU wa Shule za Serikali kila baada ya muda fulani ikiwezekana iwe kila baada ya...
4 Reactions
16 Replies
812 Views
Na Mwandishi wa Habari Hub Zanzibar. Hadi sasa ni nchi 22 tu duniani kote ndio zina mwanamke kama mkuu wan chi kati ya nchi 119, hii inasababishwa na hali ya kijamii kwenye suala la kuchagua na...
0 Reactions
1 Replies
400 Views
Nawasalimu kwa jina la Gwajimanizer, hili la uchangishaji wa fedha kwa wanachi wa kata ya kishili jijini Mwanza ili kuwezeaha kuleta mwenge wa uhuru, ivi serikali sI huwainatenga kiasi kwaajili ya...
0 Reactions
3 Replies
378 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…