Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je unajua aliomba nini? Jibu mpelekeeni Mfalme wa miaka 20 pale Chadema Mh Mwamba Ahsanteni sana 😁
2 Reactions
9 Replies
382 Views
Yaani Cleopa Msuya amekuwa Waziri Mkuu miaka minne na Makamu miaka mitano ndio amekula asilimia 80 ya mshahara wa makamu kwa miaka 30? Kuna huyo Salim Ahmed Salim ambaye alikuwa Waziri Mkuu kwa...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Serikali kupitia Halmashauri inatoa mikopo kwa ajili ya vikundi vya wajasiriamali na mikopo hiyo haina riba wakati ni kwa ajili ya biashara, maana yake wanufaika wanapata faida, lakini mikopo...
1 Reactions
3 Replies
458 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nawalaumu sana wazazi wangu na Mimi mwenyewe kutozaliwa/kuzaa nje ya Tanzania! Sababu ya kwanza ni kwamba,hivi mzee wangu kweli alishindwa kupiga Swaga...
12 Reactions
48 Replies
2K Views
Sasa hivi ni msimu wa mapera. Kula mapera manne angalau kila siku. Halafu njoo hapa utoe ushuhuda. Facts: 1. Vitamin C – Husaidia kuongeza uzalishaji wa shahawa na kuzuia uharibifu wa seli kwa...
0 Reactions
3 Replies
947 Views
Mtu anapevuka na KUWA na uwezo wa kuzalisha au kuzalishwa mtoto siku hiyo huyo mtu amekuwa mtu mzima. Yaani mtu anaanza kuhesabika ni mtu nzima (adult) akimaliza Darasa la Saba. Umri wa miaka ya...
22 Reactions
98 Replies
3K Views
"A ruler with no understanding will oppress his people, but one who hates corruption will have a long life" (Proverbs 28:16) Kwa Kiswahili: MTAWALA ASIYE NA AKILI HUTESA WATU WAKE, LAKINI...
1 Reactions
1 Replies
226 Views
Taifa lipo confused. Nimegundua hata machawa wenyewe hajaonganika damu kwa damu na maboss wao na itikadi zao. The fact is, jamii yetu imeamua ku-embrace uchawa kwa namna ya kupata urahisi, hata...
1 Reactions
1 Replies
209 Views
Asalamaleku wakuu! Wakuu naombeni mnipe ushauri Kwa hili lililonitokea maana yaonekana nimejichanganya na masikitiko pamoja na majuto yamenijaa hadi pomoni. Kama mnavyojua sasa hivi Kuna...
13 Reactions
86 Replies
3K Views
MARIA SARUNGI: HII NI PROPAGANDA YA KITOTO, TANZANIA HAIJAANZISHA JESHI LA SIRI LA KUUA RAIA Na Nulphin Charles Heche Kupitia kampeni mpya ya upotoshaji iliyoanza Jumatano hii, Maria Sarungi na...
5 Reactions
100 Replies
5K Views
Jamani ndugu zangu wa Tanga kwani alietuloga nani? fursa tunazisikia ila hata hatushtuki wanakuja walowezi wanajizolea fursa na sisi tupo hapa hapa kweli, zinatangazwa zabuni mpo kimya mnakuja...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Hapo zamani niliwahi kuishi na jirani, Tulikuwa tukiishi kwenye nyumba moja iliyogawanywa sehemu mbili. Alionekana mpole, muelewa, mpenda mazoezi na mtu wa kuaminika. Tulikuwa tukiongea mara kwa...
58 Reactions
186 Replies
15K Views
Epuka kutema mate ovyo ovyo kwenye tundu la choo. Hata ukipiga msuaki epuka sana kutema mate kwenye tundu la choo/bafuni. Usipende kuongea chooni/bafuni. Usipende kukaa mda mrefu choo/bafuni...
18 Reactions
169 Replies
10K Views
Naomba msaada kujua mwongozo au kanuni rasmi zinazohusu uanzishaji wa makanisa katika maeneo ya makazi hapa Tanzania. Mimi ni Mkristo na ninaamini kwa dhati katika uhuru wa kuabudu. Hata hivyo...
1 Reactions
2 Replies
347 Views
Baada ya Rais Samia kutangaza kuongeza mshahara kwa 35% kwa wale wenye kima cha chini ambapo hapo awali kima cha chini kilikuwa 370k Kwa maana hiyo 370k imejump hadi 500k. ambao ndio mshahara wa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa mtazamo wangu tangu nimeanza kufatilia siasa nimeona kwamba watanzania wengi wamejaa kwenye uchama na sio Fikra zao binafsi Kila jambo litakalosemwa na kiongozi wa chama alichochagua...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Nina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi. Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini ikiwa ni pamoja na kujenga uzio katika shule mbalimbali za msingi kwa kuzipa kipaumbele shule zenye watoto wenye mahitaji maalumu. Hayo...
0 Reactions
2 Replies
352 Views
Wakuu sana naomba kuuliza salary scales za watumishi wa COSTECH
0 Reactions
6 Replies
913 Views
Mapema leo mida ya Saa 12 asubuhi EATV imepokea taarifa ya kutokea kwa ajali ya gari kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Sam Nujoma, maeneo ya Mwenge Mataa ambapo Lori lililokuwa linatoka...
1 Reactions
0 Replies
482 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…